Recent content by siz

  1. S

    Natafuta chuo au fundi wa kutengeneza mashine za photocopy, printer nk. Nahitaji kufundishwa ufundi huo

    Njoo nikifundishe mimi nimefunsishwa na DIT ila hii course haipo kwa kila mtu
  2. S

    Nafasi ya kazi ya kuuza duka la vifaa vya Kompyuta Arusha

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za kompyuta na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri kwa wateja( high capable in customer care). Awe anajua...
  3. S

    Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA Arusha Mjini

    Nafasi ya kazi kuuza duka la vifaa vya TEHAMA: Kituo cha kazi: Arusha mjini Mwisho wa kupokea maombi: 14 May 2021 Taarifa kuhusu kazi: Anahitajika mfanyakazi wa kuuza duka la vifaa vya TEHAMA (Computer networking accessories). Kazi za kufanya: • Kuuza vifaa vya data kwa wateja watakaofika...
  4. S

    Natafuta msichana wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta

    Habari natafuta mtu wa kuuza duka la vifaa vya kompyuta ambapo vile vile dukani hapo inatolewa huduma za kiufundi. Vigezo Awe mkazi wa Arusha Mjini. Awe anajua kufanya troubleshooting za kompyuta. Awe anajua vizuri spea za laptop na desktop na jinsi ya kubadilisha. Awe anajua kutoa kauli nzuri...
  5. S

    Kuna anayewafahamu KADCO, nimeitwa kwenye usaili

    Write your reply...nicheki 0718210314
  6. S

    Kuna anayewafahamu KADCO, nimeitwa kwenye usaili

    Write your reply...niaje
  7. S

    Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO) Job Vacancy Announcement May 2018

    Write your reply...uongo mimi niliona matokeo waliofaulu written walikuwa 42 tu ambao ndo walikuwa wanaenda piga oral
  8. S

    Namna ya Kuanzisha na Kuendesha Biashara ya Kufua Nguo | Laundromat Business

    Ndugu wadau, mimi ni mtumishi wa serikali kada ya auxiliary police nataka kufanya biashara ya udobi kwa kutumia mashine kama kuna mwenye kujua changamoto zake na faida zake msaada pls.
  9. S

    Askari wa jiji mbaroni wakijifanya maofisa Uhamiaji

    kuna mgambo wa jiji na askari polisi wa jiji hao wanaofanana na uhamiaji ni askari polisi wa jiji wapo majiji yote tanzania mtoa habari hujui kina cha habari umekurupuka
  10. S

    Msaada jinsi ya kujiunga na auxiliary police na malipo yao yakoje?

    auxiliary police ni tofauti na mgambo
  11. S

    Msaada jinsi ya kujiunga na auxiliary police na malipo yao yakoje?

    Habari mimi ni mtafuta kazi naomba kuuliza hawa auxiliary police wanajiunga vipi na depo wanapigia wapi na malipo yao nataka nijiunge elimu yangu ni diploma umri ni miaka 24
  12. S

    Waraka wa kurudishwa kazini

    uhakiki mwingine unakuja huo sasa
  13. S

    Waraka wa kurudishwa kazini

    Pole mm nipo kazini
  14. S

    Waraka wa kurudishwa kazini

    acha uongo kwa makundi kivipi bwana kama hujui kitu kaa kimya
  15. S

    hizi tutazisoma mpaka za kiarabu

    jamani watu tumesoma kwa shida inafikia mtu unatembea toka ubungo mpaka posta kutafuta degree sababu ya ugumu wa maisha unapata ajira serikali inasitisha ajira kupisha uhakiki mpaka leo mambo hayaeleweki watoto wa masikini mnatuua jamani kila jitihada zinashindikana tu.
Back
Top Bottom