Recent content by SIXWEEK

  1. SIXWEEK

    Mheshimiwa Rais una imani na Jeshi la Polisi lakini...

    Mi nadhani hata km we ndo polisi umekabidhiwa lindo LA bandarini kwa upepo huh lazima uwe na nidhamu!!
  2. SIXWEEK

    Hii ni too much au ni ushamba wangu?

    Ukitoa kwa mkupuo itakuumiza sana,cha msingi to a kidogo kidogo kila mwenz!!afu siku ya harus niite tuirudishe hela yetu!!tuchape ugimbi na tule vyuku tufidie hela yako mkuu!!na kwaito tutacheza sanaaaa.
  3. SIXWEEK

    CLUB: Nilivyoepuka aibu na tafrani

    Umeona hee!!dk 10 hahaha!!kwa pumz gan mlev tu hyo!!
  4. SIXWEEK

    CLUB: Nilivyoepuka aibu na tafrani

    Jamaa una misifa had unaboa!!kwahyo unamin walimh wrote umewazid kipato???kiaz kwel ww
  5. SIXWEEK

    Nini Faida ya u fake katika maisha?

    Ushaona manyoya afu unauliza kuku wangu yupo wapi??
  6. SIXWEEK

    Njia za kufuata ili kuachana na unywaji wa Pombe na Ulevi uliopitiliza

    WOMEN,WHISKY & WAR.SO SIWEZ ACHA POMBE NA SIFIKIRII.
  7. SIXWEEK

    Tetesi: Kanisa jipya Dar, Waumini wasali wakiwa uchi

    Daaah''ninavyozijua ngunga zangu,yan tuwe uchi afu mbele yangu kuwe na muumin wa kike kafungasha balaa!!nadhan mahubir yatakua km wanampigia mbuzi gitaa!
  8. SIXWEEK

    Siku mama alipokuta kondom kwenye suruali yangu

    Mi mwanangu namkumbuka nimekusanya nguo naenda kufua!!afu wazee na masista na madogo wametulia sebuleni!!bhas mwanangu napita pakiti ya ndom ikaanguka!!ikalia paa wote wakakodoa macho!!nikauliza haaa nan kaniwekea afu nmewakazia macho wadogo zangu!!jibu likatoka kwa bi mkubwa,mshenzi ww kwan...
  9. SIXWEEK

    CUF yatangaza kutoshiriki Uchaguzi wa Marudio Zanzibar

    Mmmh!!mdomo uliponza kichwa!!
  10. SIXWEEK

    Video: Ni nani aliye-record hili tukio la Ujambazi wa NMB Bank Mbeya?

    Ni zoez lakin wajejitahid sana!!sasa waeke na zoez la majambaz wakivamia na kuondoka na pikpik km boxer tuone wanatumia njia gan??mana siku hiz hawatumii magar tena!!Ila nawapongeza madereva wa magar yote mawili has wa defender mana na ile nyomi afu kwenye kona shaaaaa!!wametisha!
  11. SIXWEEK

    Amuua mwenzake kwa kipigo baada ya kumkuta akimtongoza dada yake

    Siku hiz bhana mambo ya kupiganapigana haya unaweza juta maisha yako yotee!!
  12. SIXWEEK

    Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

    OK nimekupata kwahyo uchaguz unarudiwa!!nilidhan anavuliwa ubunge afu anapewa alokata rufaa!!thax bro kwa taarifa!!
  13. SIXWEEK

    Gari inauzwa

    Hahahahaba
  14. SIXWEEK

    Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

    Samahan kwa hili swali!!je kuna mbunge ambaye ashawai kukata rufaa na akashinda ubunge!!na kwahyo yule aloapishwa na kuwa mjengoni anavuliwa au??
  15. SIXWEEK

    Natafuta wimbo wa Rafael alikuwepo by Fred Saganda

    Ni jinsi gani??ni namna gani tutaishi duniani paka siku tunasema buriani,jamaa anaimba kwa lafudhi ya kichaga Hiv,MASAWE alikuepo,kimaro alikuepo,mushi alikuepo kawataja wengi sanaa!!
Back
Top Bottom