timetoloveyourself
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 206
- 206
- Thread starter
- #81
Lara 1 tenaHivi Lara 1 Yuko wapi?? Wanaoweza kumuita mnisaidie.. Iko namna atatusaidia ktk Uzi huu.

Lara 1 tenaHivi Lara 1 Yuko wapi?? Wanaoweza kumuita mnisaidie.. Iko namna atatusaidia ktk Uzi huu.

Weka Akiba ya maneno mama Mtumishi... As I told you, siko mbali Sana, ni jimboni kwa Mdee.Harusi tena?
Na baba mtumishi au na mwingine?
Baba mtumishi arudi kwa mama watoto wake aisee
Ni wewe nini umekuja na I'd nyingine?Weka Akiba ya maneno mama Mtumishi... As I told you, siko mbali Sana, ni jimboni kwa Mdee.
Yes, yaani Yule kuna jinsi anaweza kuongea ukamuelewa ktk scenario yako.. Sisi wengine hatujui kujieleza Sana tukaeleweka.. Ila all in all umemkosea mwanamke mwenzio.Lara 1 tena![]()
Ha ha ha haaaaaaa... Sina ID zaidi ya hii my dear, halafu sijawahi kumtongoza Mtu yeyote humu.. Kama Yupo ajitokeze.. Nawaogopa Sana wanawake wa humu coz mnaakili nyingi.Ni wewe nini umekuja na I'd nyingine?
Tafadhali mrudie mama watoto mimi ukinikamata hutochomoka
Wapo yani sio wakaka sio wadada,haya kila mtu ana arobaini yake ngoja tuone siku ya kuumbukaSema wewe mama.
Humu ndani shida tena wapo hadi wadada design hizi hizi.
Mtaumbuka halafu mbadili I'd
wewe inaoneka huna mpango wa kumuacha,kama mtu unataka kumwacha mtu wala hakuna need ya kuminclude huyo thirdpersone ambae ni nkewe,kama mtu humtaki hautaentantain chochote kile ,yani umblast hapa ili tuamini kuwa kweli wewe upo serious na kukomesha hii tabia,Yaani ungekuwa na huyu jamaa alivokuwa anafanya wakati hajui nimemjua anakaa na mkewe ungecheka na kulia wakati huo huo. Na Nilipomweleza akaanza kulaumu shetani huku akifunga na kuomba aisee. Yaani kama hadithi vile sijui ana nini. Unajua amenikatisha tamaa kuwaamini tena watumishi.
Sikuwa na namna ikabidi nimweleze mkewe very technical na at the mean time zile weakness alivokuwa ananieleza za mkewe nikawa namshauri mkewe pasipo kujua ajirekebishe ili jamaa ampende zaid. Nae mwishowe akawa anasema dah mama fulani siku hizi yuko poa sana. Mimi na furahi huku naumia kumkosa MBEBA box. Anyway nilidhamiria amrudie mkewe.
Na sasa ninataka apunguze drama humu ndani lol.
Nina imani ni kipindi cha mpito na akiniona niko serious kutokuwa nae hadi nimemleta humu anaweza ni Acha kabisa na atambue umuhimu wa mkewe
Ooohh! ! ! Kumbe eeehh! !wewe inaoneka huna mpango wa kumuacha,kama mtu unataka kumwacha mtu wala hakuna need ya kuminclude huyo thirdpersone ambae ni nkewe,kama mtu humtaki hautaentantain chochote kile ,yani umblast hapa ili tuamini kuwa kweli wewe upo serious na kukomesha hii tabia,
yani hii mitandao ilijengwa makusudi kushawishi watu watende dhambi,........Kaaazi kweli kweli..kitu hua naamini,kumchomoa mume/mke kupitia hii mitandao ya kijamii hua ni kubahatisha sana,ndiyo maana zama zile ulipokua mjini wazazi waliendelea kuamini mtu wa kuishi na mwanao yupo mazingira walipo wao,late say kijijini,tulikua tukiambiwa umekua sasa tunakutafutia mke huku kutoka familia yenye heshima uje uoe!!! na kama ni kijana kweli ataenda bush na kubeba wa ubavu wake alietafutiwa na wazazi wake au wazee wenye heshima wa ukoo wake au hata marafiki.kusudi kujua tabia ya mlengwa na familia yake wana nidhamu ya kibinadamu na hofu ya MUNGU,sasa jambo hlo ni gumu kwa leo hii,utawezaje kumpata wa kweli kupitia jf,fb,insta,tweet na kwingineko?la hasha ndugu zanguni dunia imekua kichaa na huu uzungu tunaouiga.huwezi kutoa mume/mke humu kwenye mitandao na ukimpata utakua nae lakini yamkini siku moja ukalia.ASANTE
Ungeomba ushauri kabla ya kuamua kwenda kwa mke wake, hili ujue jinsi ya kumuacha mtu ki silence bila kuathiri upande wa pili, Hapo umechangia kuibomoa hiyo ndoa badala ya kuiimarisha.Mimi tena nimeisambaratisha? Ulitaka niendelee kudanganyika? Ni yeye mwenyewe ametaka kuvunja nami natumia jitihada kadhaa kurudisha. Yeye ndio anataka apewe talaka.
Huoni kama nimemsaidia aachwe sasa ili aendeleze ubazazi?Ungeomba ushauri kabla ya kuamua kwenda kwa mke wake, hili ujue jinsi ya kumuacha mtu ki silence bila kuathiri upande wa pili, Hapo umechangia kuibomoa hiyo ndoa badala ya kuiimarisha.
Watu wanaigiza tu lakini ukweli wanaujua,shida maadili yamepolomoka.huyu dada amekua na fikla zipi za kumpigia mke wa huyo jamaa kama kweli hamhitaji huyo bwana?coz alipojua shida ya huyo mtumishi kua anadanganya na ako na mke alipaswa kukaa kimya tu na kubrock mawasiliano nae,kweni angemlazimisha vipi?sa angalia,simu yake kwa mke wa huyo mtumishi imesababisha ndoa kuingia mgogoro,unadhani hyo dhambi haitajiludi kwake?lazima siku1 itakula kwake kama malipo hata kama huyo bwana nae alikua ni mdhambi,huyu mtoa mada pia ndo kainogesha dhambi mpaka kupelekea mke wa huyo bwana aliekua hana hili wala lile juu yao kuikimbia nyumba,hyo lazima imlipe hapa hapa duniani.mtoa mada ulipaswa kukaa kimya na kushika hamsini zako usonge mbele na wanaume wale unaokutana nao face to face mahali pa heshima,hao ndo wangekufaa,hapa umefanya makosayani hii mitandao ilijengwa makusudi kushawishi watu watende dhambi,........
ukiangalia asilimia kubwa ya boys wanajiunga mitandao ya kijamii nia yao kubwa ni kutafta waschana,...
ni wachache wenye nia ya ku increase skills na knowledge humu,.....
wanasahau mke mwema anatoka kwa Bwana
Dada ulilofanya ni sahihi watu wanatafuta excuse tu kwakua uliemfanyia hivo ni mwanaume, title yako inasema 'fake life' hebu wang'amue kwanza hilo, endelea na maisha yako tuMkuu hii I'd mpya ya early last year. I'd hiyo anayoijua zimejaa pm.
Kikubwa hujui nimeumia jitihada kiasi gani kumkwepa.
Halafu kwanini umuache mkewe practically?
Huoni tatizo na kiufupi nilivomwambia namweleza mkewe yeye hata hajutii anaona raha tu ili mkewe a give up.
We huoni tatizo kwa huyu ndugu. Nimeleta huu uzi uwaponye na wengine jamani. Huyu jamaa si bure atakuwa na spirit mbaya zimemuingia ati. .nasisitiza sijavunja ndoa yake hata kidogo anataka kuivunja yeye na mkewe yuko tayari waendelee yeye hataki anasisitiza mungu wake kamuonyesha mimi![]()
Kosa kubwa kudhihirisha ubazazi wa mtumishiWatu wanaigiza tu lakini ukweli wanaujua,shida maadili yamepolomoka.huyu dada amekua na fikla zipi za kumpigia mke wa huyo jamaa kama kweli hamhitaji huyo bwana?coz alipojua shida ya huyo mtumishi kua anadanganya na ako na mke alipaswa kukaa kimya tu na kubrock mawasiliano nae,kweni angemlazimisha vipi?sa angalia,simu yake kwa mke wa huyo mtumishi imesababisha ndoa kuingia mgogoro,unadhani hyo dhambi haitajiludi kwake?lazima siku1 itakula kwake kama malipo hata kama huyo bwana nae alikua ni mdhambi,huyu mtoa mada pia ndo kainogesha dhambi mpaka kupelekea mke wa huyo bwana aliekua hana hili wala lile juu yao kuikimbia nyumba,hyo lazima imlipe hapa hapa duniani.mtoa mada ulipaswa kukaa kimya na kushika hamsini zako usonge mbele na wanaume wale unaokutana nao face to face mahali pa heshima,hao ndo wangekufaa,hapa umefanya makosa
Haya ndugu.kwaheliKosa kubwa kudhihirisha ubazazi wa mtumishi
Aisee
Kumbe mnaona fahari tu mtu awe mzinifu simply mkewe hajui lol.
Ingekuwa ni huyo mama ndio anafanya ubazazi mngemnyooshea sana vidole nyie wanaume wapenda ngono
Aibu kwenu.
Unadhani huyo mtumishi anajuta basi? Anaona raha tu alikuwa anatafuta namna ya kuachwa.
Ningekuwa namuhitaji nisingemtaka amrudie mkewe.Haya ndugu.kwaheli
Ushaona manyoya afu unauliza kuku wangu yupo wapi??Ilishawahi lala na huyo mume wa mtu?
Dah, kwahiyo wanawake wa humu wanagongeka kumbe??? Ngoja nijipange..Ushaona manyoya afu unauliza kuku wangu yupo wapi??