Nje ya Mada
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,399
- 491
Hahahahah... Jenga mbavu jemedarimbavu nene wengine! uanaume sio kila mahala!
Hahahahah... Jenga mbavu jemedarimbavu nene wengine! uanaume sio kila mahala!
club hutakiwi.kuwa na huruma na pesa! wahudumu wenyewe vinywaji vya kupima unachakachuliwa vibaya mnoo!mambo ya club za usiku ni balaa aisee, kuna siku moja nilienda club moja ipo mbezi mwisho inaitwa Gody aisee kuna wahudumu pale sijui jamaa anawatowaga wapi wazuri haswa afu wamevaa vinguo hivyo utafikiri wanakukaribisha twende wote chumbani paja ziko nje nje ka mafenesi aisee nikajisemea moyoni hapa mm hapanifai watu wanajichagulia mademu watakavyo.. kweli dunia hii tuwe makni sana unaweza kula hela ya ada ya shule ya mwanao unahonga mademu wa club afu kesho unastika huna pesa zakulipa ada... acheni aiseee tutulizane home na wake zetu jamani.
Jamaa una misifa had unaboa!!kwahyo unamin walimh wrote umewazid kipato???kiaz kwel wwsijadharau kazi wala kipato! nimekueleza ukweli halisi! kama week end moja nilikuwa natumia laki tatu zinaisha na mshahara wa mwalimu hauzidi laki tano,ataishi vipi? hujui kuwa walimu Tanzania wanalipwa mishahara kidogo?! najua ninachokisema.fixed income earner maisha ya starehe kama hizo vigumu.kuzimudu labda uishi nje ya kipato.
Umeona hee!!dk 10 hahaha!!kwa pumz gan mlev tu hyo!!mkuu ngumi za uswahilini uweze kumudu dakika 10! Embu hacha masihara hizo pumzi utoe wapi sema ilikua dkk1
soma nilichoandika na unachokisema kama vinalingana! mimi nimeongelea facts kama ww ni mwl unaweza kumudu maisha ya anasa je ww unawakilisha waalimu wote? hata mimi siwezi kujilinganisha na wanaoenda casino kucheza kamari,ile ni level nyingine ya juu yangu! kuna madaraja katika jamiiJamaa una misifa had unaboa!!kwahyo unamin walimh wrote umewazid kipato???kiaz kwel ww
Dah jamaa kaniua sana
Kataka kuchukua ujiko kamvagaa francis cheka dah naimagine dem wake alimwangaliaje baada ya ile.kauli ya utaniua
kamasi na kijasho chembamba, mixer manundu kadhaaakungetokea akaanzisha vurugu pale ingekuwa aibu kwakuwa msichana aliyenipa company hakujua na kutarajia hali ibadilike.hata kwenda club ukakaa saa moja na kusepa inaleta maswali.Hiyo haikuwa aibu maana na yeye pia alitoka na boy mwingine ili kukukomesha, cha ajabu akakuona na wewe umefanya kulipiza na kumbidi awe mpole kwa kudanganya family friend ili muende sawa.
Mungu alikuepushia na mabalaa.kungetokea akaanzisha vurugu pale ingekuwa aibu kwakuwa msichana aliyenipa company hakujua na kutarajia hali ibadilike.hata kwenda club ukakaa saa moja na kusepa inaleta maswali.
..... dakika 10 za kwanza. ..... umezidisha chumviHapa tupo pamoja sana....Mi sintosahau siku moja tumeenda Club tupo watatu tukiwa kwenye dance floor tunacheza nikamkanyaga jamaa mmoja bahati mbaya yupo na demu wake na machalii wengine...Tukazinguana pale mabaunsa wakaja tukaachanishwa jamaa akaniambia kama vp twende nje tukafundishane adabu nikamwambia twende boya tu wewe...Duh jamaa kumbe ni bondia bwana tukapiga mkono hapo nje hakuna mtu anaamua...watu wametuzunguka wameeka round, kama dk 10 za kwanza jamaa nikaona nammudu kabisa baada ya dk 10 ile nimeanza kuchoka jamaa akafungulia ngumi alizipiga hadi nikasema hapa ntakufa..nampa 1 ananipa 3 safi..Nikaona isiwe tabu nikamwambia asee jomba wacha ujinga utakuja niua nanii.. watu wakanicheka mno jamaa wakaja wakaamua sababu jamaa ni bondia akanifuata akaniambia hata ivyo umejitahidi twende zetu ndani...Sikuweza rudi Club tena nimeiva mwili mzima.. Toka siku hiyo nilipunguza sana ugomvi ugomvi.
Miss youuuuuu kaka mtumishi. Mwanzo na mwisho leo kupotea hivyo tehHa haaaa mkuuu ulienda kupima kwanza kila hujarudia kidumu chako?
JF never cease to amuse me! mnapenda next episode!
the important part was the club scene,the rest the readers can fill in the gaps.Well, if you are amused by the question that means you are hiding a very important part of the story.
I am not asking for the next episode but the part between the night where you met your girlfriend with another man and the next day where you had a muyual reconciliation. Trust me, the rest of your story is just just a chain but the link is on that night. Face the fact, she had an affair with her " family friend" .
Anyway, your generation doesnt hold the purity of sex and chastity, so its okay for a woman or man to sleep around and pretends like nothing has happened.
God have mercy!
I misss you all'..... I miss jf....Miss youuuuuu kaka mtumishi. Mwanzo na mwisho leo kupotea hivyo teh