Recent content by siWA baRAFU

  1. siWA baRAFU

    Employment Opportinity

    Clalon Technologies Co. LTD (CTCL) is an ICT company located in Dar es Salaam. We seek for candidates to occupy two vacant positions namely; 1.Accountant and Office Administrator. 2. Office Assistant. Both positions are based in Dar es Salaam (Head office). Typical work duties 1...
  2. siWA baRAFU

    Employment Opportinity

    Clalon Technologies Co. LTD (CTCL) is an ICT company located in Dar es Salaam. We seek for candidates to occupy two vacant positions namely; 1.Accountant and Office Administrator. 2. Office Assistant. Both positions are based in Dar es Salaam (Head office). Typical work duties 1...
  3. siWA baRAFU

    Watu Muhimu katika Historia ya Nchi yetu

    Kwa kweli kama historia ilibadilishwa kwa nia ya kuwafunika baadhi wa washiriki wa harakati za uhuru na mapinduzi.. basi kuna haja ya historia hiyo kuangaliwa upya.. otherwise ni batili especially pale tunapomkubali mtu mmoja ambaye bila the rest asingefanya kitu..
  4. siWA baRAFU

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Shukrani sana mkubwa..kama ulivyosema ndani ya JF hatuonani, ila michango yetu ni identity tosha..wapo humu humu..once again shukrani..
  5. siWA baRAFU

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Mkubwa..sio wote waliopo nnje ni kwamba wamekimbia makwao..WA(T)upo wenye uwezo wa kufanya mambo mbali mbali ya maana..lakini hatukubaliani na jinsi mfumo unavyoenda na hivyo tunaona ni rahisi kufanya kazi na hawa wanaotukubali na ku appreciate uwezo wa vichwa vyetu, na hivyo kutupa dhamana ya...
  6. siWA baRAFU

    Wapemba Waanza Kukamatwa

    This is a perfect idea..the logic that the Goverment should fear people comes from the fact that its been elected by the people and thereby granted the authority to lead and provide development to their people..But this contradicts to the African contextual view of this body..namely government...
  7. siWA baRAFU

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Wakubwa, ni vyema kama tukiweza ku-maintain focus ya mada..hizi disorders chache zipo katika jamii..kwa hiyo Mkubwa Mushi achana na huyo..shusha mambo ya kueleweka hapa...ujumbe unawafikia..si unaona wanavyokuwa wakali..kumbe na wao wanafika huku sio...safi sana
  8. siWA baRAFU

    News Alert:...... Uteuzi cabinet

    Mkubwa, i will be heading there soon, for a research work and would like to meet some of the JF comrades pia..Hope you enjoyed the rainy season..
  9. siWA baRAFU

    News Alert:...... Uteuzi cabinet

    Mkubwa shukrani..hii ndio kasi mpya ninayoitaka mie na wachovu wenzangu wengi huku newala..Thanks once again..
  10. siWA baRAFU

    JK ,EL, kitimutimu?

    Mie naona suala la kusimamisha watendaji mbele ya wananchi ni suala la kawaida tu katika utendaji..hii ni mojawapo ya technique za uongozi katika ku-promote pre-emptiveness, especially wa watendaji wa mikoa..actually maswali mengi kama hayo mwananchi wa kawaida hutakiwa kuyauliza kupitia SLP..je...
  11. siWA baRAFU

    CUF watishia kujilipua

    Hayo ya kujilipua..kwa kweli nisingependa yatokee..ila hili suala la watu wa pemba kurudi kwao pia nachukulia kama suala la localization of the development efforts in a collactive manner..kutokana na ukweli kwamba wapemba wengi wamekuwa wakisifika sana kwa kuendesha biashara mbali mbali haswa...
  12. siWA baRAFU

    ATCL: Another Richmond!

    Mkubwa Shkamoo Hii hoja yako nimeikubali sana..Bwana Zitto shukrani sana kwa uwepo wako hapo at your capacity kama Mwenyekiti wa tume ya Mashirika ya Umma. Hili suala la hawa watendaji wakuu wa mashirika ya umma kuwepo madarakani kwa muda mrefu licha ya kuboronga katika maeneo mbali mbali...
  13. siWA baRAFU

    Siri mpya EPA: Vigogo BoT waliamua 'kufa na mafisadi'

    Currently as to my understanding, hawa jamaa wa usalama wa taifa wana jukumu moja tu..kufanikisha yale yote ya wanaowapa kula na madaraka ya kusimamia taasisi hiyo..Usalama ilikuwa zamani..hao akina chenge na lowasa wangekuwa wanaongelea jela..hata kwa fununu tu..lakini siku hizi aahh..kama...
  14. siWA baRAFU

    Tukubali tu: Sisi wajinga... (I know, it hurts)

    Nionavyo mimi ni kwamba tutaimba sana kuhusu hiyo competency lakini mwisho wa siku hakutokuwa na mabadiliko iwapo tu hawa local contractors, either hawapewi ushirikiano wa kutosha ama hawawezeshwi kwa njia moja au nyingine kuongeza ujuzi na pia kujenga uwezo wa kiushondani na makampuni ya ujenzi...
Back
Top Bottom