Duka la dawa linauzwa lipo Tabata bima (new camp bar). Duka lipo katikati ya St Mary School na St Mary College.
Duka lina kila kitu na limekamika. Njoo tuzungumze. kwa mawsiliano zaidi 0767337400/ 0713337400.
hata mimi nasumbuliwa na tatizo kama hili kinanisumbua zaidi ya mwezi mmoja. nimefanya full blood picture wameniambia hakuna tatizo. nineenda pale ekenywa nimepima wameniambia nina allergy wakasema nisile nyama ya ng'ombe, viazi mviringo, nisitumie manukato yoyote ile na nisile nyama mbichi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.