SAKATA LA UUZAJI WA UDA: Hakuna atakayesalimika

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,869
1,225
MBUNGE WA CHALINZE ADAIWA KUMILIKI KAMPUNI YA UDA, ALIPATA MTAJI KUTOKA UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM.
Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .

Maswali ya kujiuliza ni kama ifuatavyo:

i. Saimon Group ni nani.
ii. Nguvu za kuligawa hata Bunge anazitoa wapi.
iii. Nani yuko nyuma yake.
iv. Ni akina nani ni wana hisa wa Saimon Group.
v. Ni kwanini magari yake yote 300 yalipewa tax exemption.

Some clue lead.

i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .

ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni Maswa Magharibi, ( Saimon Kisena, Shinyanga Mjini,( Masele ) na Meatu,( Salum Mbuzi ) .

iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na usheee...

iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa UDA ni sehemu ya Kampuni husika .

Naomba tujadili kwa lengo la kutafuta majibu ya maswali hapo juu.
Nitaendelea baadae …

Safari_ni_Safari
Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi

Updates :
UDA ni kitu gani kwa wasiokuwa nataarifa za kina Someni makala hii...

SAKATA LA UUZAJI WA UDA: Hakuna atakayesalimika

Na Jacob Daffi – Imechapwa 12 October 2011

KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Ma-- kuchunguza ubinafsishaji wa shirila la usafiri jijini (UDA), kuvunjwa kwa bodi ya shirika hilo na kuuzwa kwa mali zake, imeagiza kufikishwa kwenye mkono wa sheria aliyekuwa meneja wa shirika hilo, Victor Millanzi.

Katika ripoti ambayo imeipata, kamati imeagiza meneja huyo achunguzwe na vyombo vya dola kutokana na ushiriki wake katika kulihujumu shirika hilo. Aidha, ripoti imesema hatua ya Ma-- kukabidhi UDA mikononi mwa muwekezaji – kampuni ya Simon Group Ltd., – ni "kinyume cha utaratibu."

Dk. Ma-- aliunda kamati hiyo Juni mwaka huu. Ripoti inatuhumu Millanzi kuuza kinyume cha taratibu rasilimali za UDA zinazohamishika na zile zisizohamishika kama sehemu ya mkakati wake wa kukabiliana na hasara.

Hata hivyo, Millanzi katika taarifa yake mbele ya wajumbe wa Kamati amekana madai yote dhidi yake na kusema, "Nilichokiteleza nilikifanya kwa mujibu wa sheria na taratibu za kuendesha UDA."

Meya hakupata ridhaa (Resolution) ya mkutano wa madiwani. Yumkini mwanahisa wa pili mkubwa, Hazina naye hakuridhia maamuzi ya kikao hicho wala wakurugenzi wa bodi ya UDA."

Kamati ya Ma-- imeeleza, "uuzaji wa rasilimali za UDA haukufuta sheria za manunuzi ya umma (PPRA) ya mwaka 2004; wala hakukufanyika tathimini ya mali zake kabla ya kuuzwa."

Hadi kufikia 30 Juni 2010, shirika hilo la umma lilikuwa likiendeshwa kwa hasara ya Sh. 1.4 bilioni.

Kamati hiyo imebaini mali zisizohamishika za shirika hilo zilizouzwa kwa kile inachoita kiholela kwa nyakati tofauti kuanzia mwaka 1997 hadi mwaka 2010, ni pamoja na nyumba iliyoko kiwanja Na. 10 eneo la Jangwani Beach. Nyumba hiyo imeuzwa mwaka 1997 kwa Harold John kwa thamani ya Sh. 40 milioni.

Nyumba nyingine ni ile iliyopo Na. 60 iliyoko katika eneo la Oysterbay, ambayo imeuzwa kwa Sh. 120 milioni (1997) na ile iliyoko kitalu Na. 354, eneo la Masaki, Kinondoni, ambayo imeuzwa mwaka 2001 kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa thamani ya Sh. 600 milioni.

Katika uza uza hiyo, kimo kiwanja kilichoko kitalu Na. 261 eneo la Ubungo kilichouzwa mwaka 1998 kwa Shirila la Maendeleo la Dar es Salaam (DCC) kwa Sh. 800 milioni, viwanja Na. 1-21 vilivyoko block V, katika Manispaa ya Ilala, vilivyouzwa mwaka 2003 kwa DCC kwa Sh. 350 milioni, kiwanja Na. 38 kilichoko Oysterbay kilichouzwa mwaka 2005 kwa kampuni ya Century Properties Ltd kwa Sh. 516.2 milioni na nyumba Na. 54 iliyoko Ilala iliyouzwa 2009 kwa Trans Ocean Supplies Ltd kwa Sh 180 milioni.

Aidha, Kamati hiyo imebaini kuwapo kwa mikataba kadhaa yenye utata ya pango ya majengo na maeneo ya wazi yanayomilikiwa na UDA. Katika maeneo mengi, hata bei hicho kinachoitwa "bei ya pango," haikuzingatia ukubwa wa eneo. Vitega uchumi vingi vimeuzwa kwa bei ya kutupa.

Kwa mfano, menejimenti ya UDA, chini ya Millanzi na Bodi ya Wakurugenzi iliyokuwa chini ya Idd Simba, ilipangisha watu mbalimbali kuanzia kwenye jengo la utawala yalipo makao makuu ya UDA, Kurasini, Dar es Salaam hadi maeneo ya wazi yaliyoko katika karakana zake.

Wapangaji hao wanaiolipa kodi ya kutupwa, ni pamoja na Nagla General Shipping Services Ltd., aliyepangishwa kwenye jengo la utawala eneo lenye ukubwa mita za mraba 19 kwa Sh. 7,500 kwa mwezi.

Wengine ni F.A.Agencies (T) Ltd., anayelipa Sh 7,200 kwa mwezi, Rafad Complex Ltd (kituo cha basi kati), anayelipa Sh. 8,400 kwa mwezi na Lake Corridor Petroleum Ltd anayeendesha kantini ya UDA kwa malipo ya Sh. 7,429 kwa mwezi. Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imekodishwa eneo lingine la ufundi lenye ukubwa wa mita za mraba 140 ambapo inalipa Sh. 3,000 kwa mwezi.

Nyingine ni kampuni ya Mupingwa Petroleum Ltd iliyokodishiwa ofisi za UDA zilizoko bandarini kwa Sh. 4,800 kwa mwezi, Koru Freght Ltd iliyokodisha ghala la UDA kwa malipo ya Sh 2,457 kwa mwezi, huku kampuni hiyo ikiwa imepangishwa eneo la wazi katika viwanja vya makao makuu ya UDA lenye ukubwa wa mita za mraba 370 kwa Sh. 2,485 kwa mwezi.

Wapangaji wengine na kiasi wanacholipa kwa mwezi kikiwa katika mabano, ni pamoja na Seleman Keraba (Sh. 850 kwa mwezi), Mak Consult Engineering (Sh. 4,312), Macbean Sea Trading (Sh 7,200), Koru Freight Ltd (Sh. 6,000), Koru Freight pia imepanga eneo la mita za mraba 164.52 kwa Sh. 3000, Shibat Enterprises Ltd (Sh. 7,000) na Exaud Epiana aliyepewa karakana kwa kodi ya Sh. 6,000 kwa mwezi.

Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo, viwango vya soko kwa sasa vya kukodi katika maeneo ya mijini, na hasa jijini Dar es Salaam, ni kati ya dola 7 hadi 12, sawa na karibu Sh. 10,500 hadi Sh. 18,000 kwa kila mita moja ya mraba kutegemeana na eneo lilipo jengo husika linalopangishwa.

Ripoti hiyo imebainisha wazi kwamba baadhi ya wapangaji hao wa maeneo ya UDA wameyapangisha kwa makampuni mengine ambayo wao wanawatoza bei kubwa zaidi na hivyo makampuni hayo kujinufaisha zaidi kupitia mgogo wa shirika hilo.
Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imetajwa kama mfano wa makampuni ambayo yameingia mikataba ya kukodishwa ofisi au maeneo ya wazi, lakini wakaamua kupangisha kwa watu wengine bila kupata idhini wala kibali cha UDA.

Wakati kampuni ya Koru Freight imepanga eneo la wazi lenye ukubwa wa mita za mraba 1,916, kamati imebaini kwamba kampuni hiyo imekuwa ikilipia eneo la mita za mraba 370 tu.

"UDA iliingia ubia na Africarriers tarehe 13/10/2009 kuendeleza kiwanja Na 437/129 kilichopo Mtaa wa Sokoine (kilipo kituo cha mabasi cha Stesheni). Makubaliano hayo yamebainika kuwa na mapungufu kadhaa, ikiwa ni pamoja na kutokuwapo nyaraka zozote zinazoonyesha jinsi mwekezaji huyu alivyopatikana, hivyo kutia shaka iwapo sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 na kanuni zake za mwaka 2005 zilizingatiwa," inasema sehemu ya ripoti hiyo.

Upungufu mwingine uliotajwa na ripoti hiyo katika mkataba wa ubia huo wa UDA na Africarriers, ni kampuni hiyo kutaka kwamba baada ya mradi wa ujenzi wa ghorofa ndani ya kiwanja hicho cha kituo cha Stesheni kukamilika, mwekezaji huyo atatakiwa kumiliki hisa asilimia 75 na UDA ibakiwe na hisa 25 tu.

Aliyekuwa Meneja huyo wa UDA, Millanzi, ambaye alitimuliwa na Ma-- Juni mwaka huu, kabla ya kuivunja pia Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba, anadaiwa kujichotea Sh. 40,622,651.80 kama malipo ya kiinua mgongo chake hata kabla ya kumaliza mkataba wake wa kuliongoza shirika hilo.

Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo ya Ma--, mkataba wa utumishi wa meneja huyo ulipaswa kufikia ukomo 30 Juni 2011, lakini hata kabla ya kufikia mwisho wa mkataba huo yeye alikwishajilipa tayari kiinua mgogo chake.

Malipo hayo yanaelezwa kulipwa kwa awamu tatu. Tarehe 19 Mei 2011 kupitia vocha Na 21, alijilipa Sh. 25,000,000, tarehe 25 Mei 2011, akajilipa Sh. 5,800,000 na 30 Mei 2011, ambapo amejilipa Sh. 9,822,651.80 kupitia hundi Na. 930322.

Katika utetezi wake wa maandishi mbele ya kamati kuhusu tuhuma za kujilipa mafao kabla ya mkataba kumalizika, Milanzi alisema, "Siyo kweli. Mimi niliajiriwa UDA mwaka 2006, tarehe 1 Juni. Hivyo mkataba wangu uliisha 30 Mei 2011."

Anasema, "Nilitoa notisi ya mwezi mmoja na taratibu zetu (UDA) malipo yanafanywa kwenye mwezi wa mwisho uliotoa notisi."

Hata hivyo, nyaraka zilizopo zinaonyesha Milanzi alisaini mkataba wa ajira tarehe 29 Juni 2006, wenye Kumb. Na UDA/A.1/6. Ulipaswa kumalizika 30 Juni 2011.

Mgogoro kuhusu menejimenti nzima ya UDA uliibuka mapema Juni mwaka huu baada ya Meya Ma-- kuamuru kumfuta kazi Millanzi, pamoja na kuivunja Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba kukabiliwa na tuhuma za ufujaji wa fedha zilizokuwa zimewekezwa na mwekezaji mpya ndani ya shirika hilo.

Hata hivyo mwananchi mmoja wa mjini nzega ndugu Masalu Shadrak Masasi ameliambia gazeti habari motomoto kuwa nchi hii ukibahatika kuwa na madaraka ni vyema usiwe mjinga kama viongozi walikuwa wakati wa Nyerere, wote ni masikini achilia mbali watoto wao,... unakumbuka enzi ya akina Lawi Sijaona,akina Mosses Nnaye, Ibrahimu kaduma, Moringe sokoine na wengine wengine akina Joseph Butiku, hii nchi kwisha habari yakealimaliza ndu Masasi kwa hudhuni kubwa.
- in
Magu Kahangara, Mwanza, Tanzania.

source MOTOMOTO
Mtoto wa Rais wa Tanzania Ridhwani Kikwete na kashfa za Ufisadi

Simon Group na Ridhiwani

Kikwete wana uhusiano gani?

Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki
kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .
i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .
ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni
Maswa Magharibi ( Saimon Kisena ) , Shinyanga Mjini ( Masele ) na Meatu ( Salum Mbuzi ) .
iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni
fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na
usheee....
iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa
UDA ni sehemu ya Kampuni husika .
Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko
Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi.
UDA ni kitu gani kwa wasiokuwa nataarifa za kina Someni makala hii.....
SAKATA LA UUZAJI WA UDA: Hakuna atakayesalimika
Na Jacob Daffi - Imechapwa 12 October 2011
KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Ma------ kuchunguza ubinafsishaji wa
shirila la usafiri jijini (UDA), kuvunjwa kwa bodi ya shirika hilo na kuuzwa kwa mali zake, imeagiza kufikishwa kwenye mkono wa
sheria aliyekuwa meneja wa shirika hilo, Victor Millanzi.
Katika ripoti ambayo ----------- imeipata, kamati imeagiza meneja huyo achunguzwe na vyombo vya dola kutokana na ushiriki wake
katika kulihujumu shirika hilo.
Aidha, ripoti imesema hatua ya Ma------ kukabidhi UDA mikononi mwa muwekezaji – kampuni ya Simon Group Ltd., - ni "kinyume
cha utaratibu."
Dk. Ma------ aliunda kamati hiyo Juni mwaka huu. Ripoti inatuhumu Millanzi kuuza kinyume cha taratibu rasilimali za UDA
zinazohamishika na zile zisizohamishika kama sehemu ya mkakati wake wa kukabiliana na hasara.
Hata hivyo, Millanzi katika taarifa yake mbele ya wajumbe wa Kamati amekana madai yote dhidi yake na kusema, "Nilichokiteleza
nilikifanya kwa mujibu wa sheria na taratibu za kuendesha UDA."
Meya hakupata ridhaa (Resolution) ya mkutano wa madiwani. Yumkini mwanahisa wa pili mkubwa, Hazina naye hakuridhia maamuzi
ya kikao hicho wala wakurugenzi wa bodi ya UDA."
Kamati ya Ma------ imeeleza, "uuzaji wa rasilimali za UDA haukufuta sheria za manunuzi ya umma (PPRA) ya mwaka 2004; wala
hakukufanyika tathimini ya mali zake kabla ya kuuzwa."
Hadi kufikia 30 Juni 2010, shirika hilo la umma lilikuwa likiendeshwa kwa hasara ya Sh. 1.4 bilioni.
Kamati hiyo imebaini mali zisizohamishika za shirika hilo zilizouzwa kwa kile inachoita kiholela kwa nyakati tofauti kuanzia mwaka 1997
hadi mwaka 2010, ni pamoja na nyumba iliyoko kiwanja Na. 10 eneo la Jangwani Beach. Nyumba hiyo imeuzwa mwaka 1997 kwa
Harold John kwa thamani ya Sh. 40 milioni.
Nyumba nyingine ni ile iliyopo Na. 60 iliyoko katika eneo la Oysterbay, ambayo imeuzwa kwa Sh. 120 milioni (1997) na ile iliyoko5/28/2014 Mtoto waRais waTanzania Ridhwani Kikwete nakashfa zaUfisadi
http://www.habari5.com/zilizopita/item/4892-mtoto-wa-rais-wa-tanzania-ridhwani-kikwete-na-kashfa-za-ufisadi 3/7
kitalu Na. 354, eneo la Masaki, Kinondoni, ambayo imeuzwa mwaka 2001 kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa thamani ya
Sh. 600 milioni.
Katika uza uza hiyo, kimo kiwanja kilichoko kitalu Na. 261 eneo la Ubungo kilichouzwa mwaka 1998 kwa Shirila la Maendeleo la
Dar es Salaam (DCC) kwa Sh. 800 milioni, viwanja Na. 1-21 vilivyoko block V, katika Manispaa ya Ilala, vilivyouzwa mwaka 2003
kwa DCC kwa Sh. 350 milioni, kiwanja Na. 38 kilichoko Oysterbay kilichouzwa mwaka 2005 kwa kampuni ya Century Properties
Ltd kwa Sh. 516.2 milioni na nyumba Na. 54 iliyoko Ilala iliyouzwa 2009 kwa Trans Ocean Supplies Ltd kwa Sh 180 milioni.
Aidha, Kamati hiyo imebaini kuwapo kwa mikataba kadhaa yenye utata ya pango ya majengo na maeneo ya wazi yanayomilikiwa na
UDA. Katika maeneo mengi, hata bei hicho kinachoitwa "bei ya pango," haikuzingatia ukubwa wa eneo. Vitega uchumi vingi vimeuzwa
kwa bei ya kutupa.
Kwa mfano, menejimenti ya UDA, chini ya Millanzi na Bodi ya Wakurugenzi iliyokuwa chini ya Idd Simba, ilipangisha watu mbalimbali
kuanzia kwenye jengo la utawala yalipo makao makuu ya UDA, Kurasini, Dar es Salaam hadi maeneo ya wazi yaliyoko katika
karakana zake.
Wapangaji hao wanaiolipa kodi ya kutupwa, ni pamoja na Nagla General Shipping Services Ltd., aliyepangishwa kwenye jengo la
utawala eneo lenye ukubwa mita za mraba 19 kwa Sh. 7,500 kwa mwezi.
Wengine ni F.A.Agencies (T) Ltd., anayelipa Sh 7,200 kwa mwezi, Rafad Complex Ltd (kituo cha basi kati), anayelipa Sh. 8,400 kwa
mwezi na Lake Corridor Petroleum Ltd anayeendesha kantini ya UDA kwa malipo ya Sh. 7,429 kwa mwezi. Kampuni ya Lake
Corridor Petroleum Ltd imekodishwa eneo lingine la ufundi lenye ukubwa wa mita za mraba 140 ambapo inalipa Sh. 3,000 kwa
mwezi.
Nyingine ni kampuni ya Mupingwa Petroleum Ltd iliyokodishiwa ofisi za UDA zilizoko bandarini kwa Sh. 4,800 kwa mwezi, Koru
Freght Ltd iliyokodisha ghala la UDA kwa malipo ya Sh 2,457 kwa mwezi, huku kampuni hiyo ikiwa imepangishwa eneo la wazi
katika viwanja vya makao makuu ya UDA lenye ukubwa wa mita za mraba 370 kwa Sh. 2,485 kwa mwezi.
Wapangaji wengine na kiasi wanacholipa kwa mwezi kikiwa katika mabano, ni pamoja na Seleman Keraba (Sh. 850 kwa mwezi),
Mak Consult Engineering (Sh. 4,312), Macbean Sea Trading (Sh 7,200), Koru Freight Ltd (Sh. 6,000), Koru Freight pia imepanga
eneo la mita za mraba 164.52 kwa Sh. 3000, Shibat Enterprises Ltd (Sh. 7,000) na Exaud Epiana aliyepewa karakana kwa kodi ya
Sh. 6,000 kwa mwezi.
Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo, viwango vya soko kwa sasa vya kukodi katika maeneo ya mijini, na hasa jijini Dar es Salaam, ni
kati ya dola 7 hadi 12, sawa na karibu Sh. 10,500 hadi Sh. 18,000 kwa kila mita moja ya mraba kutegemeana na eneo lilipo jengo
husika linalopangishwa.
Ripoti hiyo imebainisha wazi kwamba baadhi ya wapangaji hao wa maeneo ya UDA wameyapangisha kwa makampuni mengine
ambayo wao wanawatoza bei kubwa zaidi na hivyo makampuni hayo kujinufaisha zaidi kupitia mgogo wa shirika hilo.
Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imetajwa kama mfano wa makampuni ambayo yameingia mikataba ya kukodishwa ofisi au
maeneo ya wazi, lakini wakaamua kupangisha kwa watu wengine bila kupata idhini wala kibali cha UDA.
Wakati kampuni ya Koru Freight imepanga eneo la wazi lenye ukubwa wa mita za mraba 1,916, kamati imebaini kwamba kampuni
hiyo imekuwa ikilipia eneo la mita za mraba 370 tu.
"UDA iliingia ubia na Africarriers tarehe 13/10/2009kuendeleza kiwanja Na 437/129 kilichopo Mtaa wa Sokoine (kilipo kituo cha
mabasi cha Stesheni). Makubaliano hayo yamebainika kuwa na mapungufu kadhaa, ikiwa ni pamoja na kutokuwapo nyaraka zozote
zinazoonyesha jinsi mwekezaji huyu alivyopatikana, hivyo kutia shaka iwapo sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 na kanuni zake za
mwaka 2005 zilizingatiwa," inasema sehemu ya ripoti hiyo.
Upungufu mwingine uliotajwa na ripoti hiyo katika mkataba wa ubia huo wa UDA na Africarriers, ni kampuni hiyo kutaka kwamba
baada ya mradi wa ujenzi wa ghorofa ndani ya kiwanja hicho cha kituo cha Stesheni kukamilika, mwekezaji huyo atatakiwa kumiliki
hisa asilimia 75 na UDA ibakiwe na hisa 25 tu.
Aliyekuwa Meneja huyo wa UDA, Millanzi, ambaye alitimuliwa na Ma------ Juni mwaka huu, kabla ya kuivunja pia Bodi ya UDA
iliyokuwa chini ya Idd Simba, anadaiwa kujichotea Sh. 40,622,651.80 kama malipo ya kiinua mgongo chake hata kabla ya kumaliza
mkataba wake wa kuliongoza shirika hilo.
Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo ya Ma------, mkataba wa utumishi wa meneja huyo ulipaswa kufikia ukomo 30 Juni 2011, lakini
hata kabla ya kufikia mwisho wa mkataba huo yeye alikwishajilipa tayari kiinua mgogo chake.
Malipo hayo yanaelezwa kulipwa kwa awamu tatu. Tarehe 19 Mei 2011 kupitia vocha Na 21, alijilipa Sh. 25,000,000, tarehe 25 Mei
2011, akajilipa Sh. 5,800,000 na 30 Mei 2011, ambapo amejilipa Sh. 9,822,651.80 kupitia hundi Na. 930322.
Katika utetezi wake wa maandishi mbele ya kamati kuhusu tuhuma za kujilipa mafao kabla ya mkataba kumalizika, Milanzi alisema,
"Siyo kweli. Mimi niliajiriwa UDA mwaka 2006, tarehe 1 Juni. Hivyo mkataba wangu uliisha 30 Mei 2011."
Anasema, "Nilitoa notisi ya mwezi mmoja na taratibu zetu (UDA) malipo yanafanywa kwenye mwezi wa mwisho uliotoa notisi."5/28/2014 Mtoto waRais waTanzania Ridhwani Kikwete nakashfa zaUfisadi
http://www.habari5.com/zilizopita/item/4892-mtoto-wa-rais-wa-tanzania-ridhwani-kikwete-na-kashfa-za-ufisadi 4/7
Hata hivyo, nyaraka zilizopo zinaonyesha Milanzi alisaini mkataba wa ajira tarehe 29 Juni 2006, wenye Kumb. Na UDA/A.1/6.
Ulipaswa kumalizika 30 Juni 2011.
Mgogoro kuhusu menejimenti nzima ya UDA uliibuka mapema Juni mwaka huu baada ya Meya Ma------ kuamuru kumfuta kazi
Millanzi, pamoja na kuivunja Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba kukabiliwa na tuhuma za ufujaji wa fedha zilizokuwa
zimewekezwa na mwekezaji mpya ndani ya shirika hilo.
source: Habari5.com
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
26,335
2,000
Kaka hii kitu iko tayari hapa JF. Hao Motomoto wameitoa hapa!!
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
11,100
2,000
Ma------ ndie muuazaji no. moja wa UDA anachokifanya ni usanii tu, pale tunajua wakubwa ndio wenye mradi ule! Angalia mabasi yao yanafanya safari kote yapendako na Sumatra hawayakamati yule mchaga shiro akikamata daladala zetu anatukomalia kinoma hadi tulipe mafaini makubwa mbona hakamati UDA? anajifanya jasiri sana si akamate na UDA kama ana ubavu?
 
nndondo

JF-Expert Member
Feb 1, 2010
1,251
2,000
Wote tunajua kuwa habari ya UDA ni wizi mwingine tena wa mbumbumbu kikwete na familia yake. Uzuri ni kwamba hawana pa kutokea. Ushamba umewashika pabaya na ndio maana walihitaji a person of their own moral authority to undertake the same. Huyo simon wa malampaka hana uwezo wa kuendesha kampuni ndio maana UDA imebaki shimo la panya. Huwezi eti kuwapa fursa wazawa kwa kuwaibia Mali za umma. Watarudisha Mali zenu na The Hague lazima waende hawa
 
wa hapahapa

JF-Expert Member
Aug 22, 2012
6,830
2,000
hizi scandal mbona zinaisha kmyakmya.

inamaana hazikufika mahakamani ?!
au ndio wapo huru kufanya ufisadi.
 
TAU 1

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
506
500
MBUNGE WA CHALINZE ADAIWA KUMILIKI KAMPUNI YA UDA, ALIPATA MTAJI KUTOKA UNIVERSITY OF DAR-ES-SALAAM.
Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .

Maswali ya kujiuliza ni kama ifuatavyo:

i. Saimon Group ni nani.
ii. Nguvu za kuligawa hata Bunge anazitoa wapi.
iii. Nani yuko nyuma yake.
iv. Ni akina nani ni wana hisa wa Saimon Group.
v. Ni kwanini magari yake yote 300 yalipewa tax exemption.

Some clue lead.

i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .

ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni Maswa Magharibi, ( Saimon Kisena, Shinyanga Mjini,( Masele ) na Meatu,( Salum Mbuzi ) .

iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na usheee...

iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa UDA ni sehemu ya Kampuni husika .

Naomba tujadili kwa lengo la kutafuta majibu ya maswali hapo juu.
Nitaendelea baadae …

Safari_ni_Safari
Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi

Updates :
UDA ni kitu gani kwa wasiokuwa nataarifa za kina Someni makala hii...

SAKATA LA UUZAJI WA UDA: Hakuna atakayesalimika

Na Jacob Daffi – Imechapwa 12 October 2011

KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Ma—— kuchunguza ubinafsishaji wa shirila la usafiri jijini (UDA), kuvunjwa kwa bodi ya shirika hilo na kuuzwa kwa mali zake, imeagiza kufikishwa kwenye mkono wa sheria aliyekuwa meneja wa shirika hilo, Victor Millanzi.

Katika ripoti ambayo imeipata, kamati imeagiza meneja huyo achunguzwe na vyombo vya dola kutokana na ushiriki wake katika kulihujumu shirika hilo. Aidha, ripoti imesema hatua ya Ma—— kukabidhi UDA mikononi mwa muwekezaji – kampuni ya Simon Group Ltd., – ni “kinyume cha utaratibu.”

Dk. Ma—— aliunda kamati hiyo Juni mwaka huu. Ripoti inatuhumu Millanzi kuuza kinyume cha taratibu rasilimali za UDA zinazohamishika na zile zisizohamishika kama sehemu ya mkakati wake wa kukabiliana na hasara.

Hata hivyo, Millanzi katika taarifa yake mbele ya wajumbe wa Kamati amekana madai yote dhidi yake na kusema, “Nilichokiteleza nilikifanya kwa mujibu wa sheria na taratibu za kuendesha UDA.”

Meya hakupata ridhaa (Resolution) ya mkutano wa madiwani. Yumkini mwanahisa wa pili mkubwa, Hazina naye hakuridhia maamuzi ya kikao hicho wala wakurugenzi wa bodi ya UDA.”

Kamati ya Ma—— imeeleza, “uuzaji wa rasilimali za UDA haukufuta sheria za manunuzi ya umma (PPRA) ya mwaka 2004; wala hakukufanyika tathimini ya mali zake kabla ya kuuzwa.”

Hadi kufikia 30 Juni 2010, shirika hilo la umma lilikuwa likiendeshwa kwa hasara ya Sh. 1.4 bilioni.

Kamati hiyo imebaini mali zisizohamishika za shirika hilo zilizouzwa kwa kile inachoita kiholela kwa nyakati tofauti kuanzia mwaka 1997 hadi mwaka 2010, ni pamoja na nyumba iliyoko kiwanja Na. 10 eneo la Jangwani Beach. Nyumba hiyo imeuzwa mwaka 1997 kwa Harold John kwa thamani ya Sh. 40 milioni.

Nyumba nyingine ni ile iliyopo Na. 60 iliyoko katika eneo la Oysterbay, ambayo imeuzwa kwa Sh. 120 milioni (1997) na ile iliyoko kitalu Na. 354, eneo la Masaki, Kinondoni, ambayo imeuzwa mwaka 2001 kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa thamani ya Sh. 600 milioni.

Katika uza uza hiyo, kimo kiwanja kilichoko kitalu Na. 261 eneo la Ubungo kilichouzwa mwaka 1998 kwa Shirila la Maendeleo la Dar es Salaam (DCC) kwa Sh. 800 milioni, viwanja Na. 1-21 vilivyoko block V, katika Manispaa ya Ilala, vilivyouzwa mwaka 2003 kwa DCC kwa Sh. 350 milioni, kiwanja Na. 38 kilichoko Oysterbay kilichouzwa mwaka 2005 kwa kampuni ya Century Properties Ltd kwa Sh. 516.2 milioni na nyumba Na. 54 iliyoko Ilala iliyouzwa 2009 kwa Trans Ocean Supplies Ltd kwa Sh 180 milioni.

Aidha, Kamati hiyo imebaini kuwapo kwa mikataba kadhaa yenye utata ya pango ya majengo na maeneo ya wazi yanayomilikiwa na UDA. Katika maeneo mengi, hata bei hicho kinachoitwa “bei ya pango,” haikuzingatia ukubwa wa eneo. Vitega uchumi vingi vimeuzwa kwa bei ya kutupa.

Kwa mfano, menejimenti ya UDA, chini ya Millanzi na Bodi ya Wakurugenzi iliyokuwa chini ya Idd Simba, ilipangisha watu mbalimbali kuanzia kwenye jengo la utawala yalipo makao makuu ya UDA, Kurasini, Dar es Salaam hadi maeneo ya wazi yaliyoko katika karakana zake.

Wapangaji hao wanaiolipa kodi ya kutupwa, ni pamoja na Nagla General Shipping Services Ltd., aliyepangishwa kwenye jengo la utawala eneo lenye ukubwa mita za mraba 19 kwa Sh. 7,500 kwa mwezi.

Wengine ni F.A.Agencies (T) Ltd., anayelipa Sh 7,200 kwa mwezi, Rafad Complex Ltd (kituo cha basi kati), anayelipa Sh. 8,400 kwa mwezi na Lake Corridor Petroleum Ltd anayeendesha kantini ya UDA kwa malipo ya Sh. 7,429 kwa mwezi. Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imekodishwa eneo lingine la ufundi lenye ukubwa wa mita za mraba 140 ambapo inalipa Sh. 3,000 kwa mwezi.

Nyingine ni kampuni ya Mupingwa Petroleum Ltd iliyokodishiwa ofisi za UDA zilizoko bandarini kwa Sh. 4,800 kwa mwezi, Koru Freght Ltd iliyokodisha ghala la UDA kwa malipo ya Sh 2,457 kwa mwezi, huku kampuni hiyo ikiwa imepangishwa eneo la wazi katika viwanja vya makao makuu ya UDA lenye ukubwa wa mita za mraba 370 kwa Sh. 2,485 kwa mwezi.

Wapangaji wengine na kiasi wanacholipa kwa mwezi kikiwa katika mabano, ni pamoja na Seleman Keraba (Sh. 850 kwa mwezi), Mak Consult Engineering (Sh. 4,312), Macbean Sea Trading (Sh 7,200), Koru Freight Ltd (Sh. 6,000), Koru Freight pia imepanga eneo la mita za mraba 164.52 kwa Sh. 3000, Shibat Enterprises Ltd (Sh. 7,000) na Exaud Epiana aliyepewa karakana kwa kodi ya Sh. 6,000 kwa mwezi.

Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo, viwango vya soko kwa sasa vya kukodi katika maeneo ya mijini, na hasa jijini Dar es Salaam, ni kati ya dola 7 hadi 12, sawa na karibu Sh. 10,500 hadi Sh. 18,000 kwa kila mita moja ya mraba kutegemeana na eneo lilipo jengo husika linalopangishwa.

Ripoti hiyo imebainisha wazi kwamba baadhi ya wapangaji hao wa maeneo ya UDA wameyapangisha kwa makampuni mengine ambayo wao wanawatoza bei kubwa zaidi na hivyo makampuni hayo kujinufaisha zaidi kupitia mgogo wa shirika hilo.
Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imetajwa kama mfano wa makampuni ambayo yameingia mikataba ya kukodishwa ofisi au maeneo ya wazi, lakini wakaamua kupangisha kwa watu wengine bila kupata idhini wala kibali cha UDA.

Wakati kampuni ya Koru Freight imepanga eneo la wazi lenye ukubwa wa mita za mraba 1,916, kamati imebaini kwamba kampuni hiyo imekuwa ikilipia eneo la mita za mraba 370 tu.

“UDA iliingia ubia na Africarriers tarehe 13/10/2009 kuendeleza kiwanja Na 437/129 kilichopo Mtaa wa Sokoine (kilipo kituo cha mabasi cha Stesheni). Makubaliano hayo yamebainika kuwa na mapungufu kadhaa, ikiwa ni pamoja na kutokuwapo nyaraka zozote zinazoonyesha jinsi mwekezaji huyu alivyopatikana, hivyo kutia shaka iwapo sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 na kanuni zake za mwaka 2005 zilizingatiwa,” inasema sehemu ya ripoti hiyo.

Upungufu mwingine uliotajwa na ripoti hiyo katika mkataba wa ubia huo wa UDA na Africarriers, ni kampuni hiyo kutaka kwamba baada ya mradi wa ujenzi wa ghorofa ndani ya kiwanja hicho cha kituo cha Stesheni kukamilika, mwekezaji huyo atatakiwa kumiliki hisa asilimia 75 na UDA ibakiwe na hisa 25 tu.

Aliyekuwa Meneja huyo wa UDA, Millanzi, ambaye alitimuliwa na Ma—— Juni mwaka huu, kabla ya kuivunja pia Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba, anadaiwa kujichotea Sh. 40,622,651.80 kama malipo ya kiinua mgongo chake hata kabla ya kumaliza mkataba wake wa kuliongoza shirika hilo.

Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo ya Ma——, mkataba wa utumishi wa meneja huyo ulipaswa kufikia ukomo 30 Juni 2011, lakini hata kabla ya kufikia mwisho wa mkataba huo yeye alikwishajilipa tayari kiinua mgogo chake.

Malipo hayo yanaelezwa kulipwa kwa awamu tatu. Tarehe 19 Mei 2011 kupitia vocha Na 21, alijilipa Sh. 25,000,000, tarehe 25 Mei 2011, akajilipa Sh. 5,800,000 na 30 Mei 2011, ambapo amejilipa Sh. 9,822,651.80 kupitia hundi Na. 930322.

Katika utetezi wake wa maandishi mbele ya kamati kuhusu tuhuma za kujilipa mafao kabla ya mkataba kumalizika, Milanzi alisema, “Siyo kweli. Mimi niliajiriwa UDA mwaka 2006, tarehe 1 Juni. Hivyo mkataba wangu uliisha 30 Mei 2011.”

Anasema, “Nilitoa notisi ya mwezi mmoja na taratibu zetu (UDA) malipo yanafanywa kwenye mwezi wa mwisho uliotoa notisi.”

Hata hivyo, nyaraka zilizopo zinaonyesha Milanzi alisaini mkataba wa ajira tarehe 29 Juni 2006, wenye Kumb. Na UDA/A.1/6. Ulipaswa kumalizika 30 Juni 2011.

Mgogoro kuhusu menejimenti nzima ya UDA uliibuka mapema Juni mwaka huu baada ya Meya Ma—— kuamuru kumfuta kazi Millanzi, pamoja na kuivunja Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba kukabiliwa na tuhuma za ufujaji wa fedha zilizokuwa zimewekezwa na mwekezaji mpya ndani ya shirika hilo.

Hata hivyo mwananchi mmoja wa mjini nzega ndugu Masalu Shadrak Masasi ameliambia gazeti habari motomoto kuwa nchi hii ukibahatika kuwa na madaraka ni vyema usiwe mjinga kama viongozi walikuwa wakati wa Nyerere, wote ni masikini achilia mbali watoto wao,... unakumbuka enzi ya akina Lawi Sijaona,akina Mosses Nnaye, Ibrahimu kaduma, Moringe sokoine na wengine wengine akina Joseph Butiku, hii nchi kwisha habari yakealimaliza ndu Masasi kwa hudhuni kubwa.
— in
Magu Kahangara, Mwanza, Tanzania.

source MOTOMOTO
Mtoto wa Rais wa Tanzania Ridhwani Kikwete na kashfa za Ufisadi

Simon Group na Ridhiwani

Kikwete wana uhusiano gani?

Kumekuwa na kizungumkuti kikubwa sana kuhusu kampuni ya Saimon Group na hisa za shiriki la UDA , na kizungumkuti hiki
kinatokana na ukweli kuwa hisa hizo ziliuzwa kihuni huni , kuna harufu kubwa ya rushwa nk .
i. Ni kuwa Saimon Kisena , aligombea Ubunge Jimbo la Maswa Magharibi mwaka 2010 na alishindwa na Shibuda kwenye kura za maoni ila jina la Shibuda lilikatwa na kamati kuu, ndipo Shibuda kaenda Chadema .
ii. Wakati wa Kampeni , Ridhiwani Kikwete alifanya kazi kubwa sana ya kampeni kwenye majimbo matatu nchini ambayo yalikuwa ni
Maswa Magharibi ( Saimon Kisena ) , Shinyanga Mjini ( Masele ) na Meatu ( Salum Mbuzi ) .
iii. Saimon Kisena , anamiliki Ginnery ya Pamba iliyoko Malampaka , na Ginery hii ilinufaika na fedha za stimulus package ambazo ni
fedha za umma , na mpaka leo bado hakuna taarifa rasmi za ni akina nani walinufaika na fedha hizi kiasi cha shilingi trilioni moja na
usheee....
iv. Kuna taarifa za uhakika kuwa Ridhiwani Kikwete ,ni share holder wa Saimon kwenye Ginnery hiyo , na hata kwenye umilikaji wa
UDA ni sehemu ya Kampuni husika .
Mwaka 2010 Simon Kisena akigombea nafasi ya kuwa mgombea ubunge ndani ya CCM alidiriki kumpiga mtama OCD wa huko
Maswa na OCD yule ndiye akaadhibiwa kwa kuhamishwa kituo cha kazi.
UDA ni kitu gani kwa wasiokuwa nataarifa za kina Someni makala hii.....
SAKATA LA UUZAJI WA UDA: Hakuna atakayesalimika
Na Jacob Daffi - Imechapwa 12 October 2011
KAMATI ya baraza la madiwani iliyoundwa na Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk. Didas Ma------ kuchunguza ubinafsishaji wa
shirila la usafiri jijini (UDA), kuvunjwa kwa bodi ya shirika hilo na kuuzwa kwa mali zake, imeagiza kufikishwa kwenye mkono wa
sheria aliyekuwa meneja wa shirika hilo, Victor Millanzi.
Katika ripoti ambayo ----------- imeipata, kamati imeagiza meneja huyo achunguzwe na vyombo vya dola kutokana na ushiriki wake
katika kulihujumu shirika hilo.
Aidha, ripoti imesema hatua ya Ma------ kukabidhi UDA mikononi mwa muwekezaji – kampuni ya Simon Group Ltd., - ni “kinyume
cha utaratibu.”
Dk. Ma------ aliunda kamati hiyo Juni mwaka huu. Ripoti inatuhumu Millanzi kuuza kinyume cha taratibu rasilimali za UDA
zinazohamishika na zile zisizohamishika kama sehemu ya mkakati wake wa kukabiliana na hasara.
Hata hivyo, Millanzi katika taarifa yake mbele ya wajumbe wa Kamati amekana madai yote dhidi yake na kusema, “Nilichokiteleza
nilikifanya kwa mujibu wa sheria na taratibu za kuendesha UDA.”
Meya hakupata ridhaa (Resolution) ya mkutano wa madiwani. Yumkini mwanahisa wa pili mkubwa, Hazina naye hakuridhia maamuzi
ya kikao hicho wala wakurugenzi wa bodi ya UDA.”
Kamati ya Ma------ imeeleza, “uuzaji wa rasilimali za UDA haukufuta sheria za manunuzi ya umma (PPRA) ya mwaka 2004; wala
hakukufanyika tathimini ya mali zake kabla ya kuuzwa.”
Hadi kufikia 30 Juni 2010, shirika hilo la umma lilikuwa likiendeshwa kwa hasara ya Sh. 1.4 bilioni.
Kamati hiyo imebaini mali zisizohamishika za shirika hilo zilizouzwa kwa kile inachoita kiholela kwa nyakati tofauti kuanzia mwaka 1997
hadi mwaka 2010, ni pamoja na nyumba iliyoko kiwanja Na. 10 eneo la Jangwani Beach. Nyumba hiyo imeuzwa mwaka 1997 kwa
Harold John kwa thamani ya Sh. 40 milioni.
Nyumba nyingine ni ile iliyopo Na. 60 iliyoko katika eneo la Oysterbay, ambayo imeuzwa kwa Sh. 120 milioni (1997) na ile iliyoko5/28/2014 Mtoto waRais waTanzania Ridhwani Kikwete nakashfa zaUfisadi
http://www.habari5.com/zilizopita/item/4892-mtoto-wa-rais-wa-tanzania-ridhwani-kikwete-na-kashfa-za-ufisadi 3/7
kitalu Na. 354, eneo la Masaki, Kinondoni, ambayo imeuzwa mwaka 2001 kwa Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) kwa thamani ya
Sh. 600 milioni.
Katika uza uza hiyo, kimo kiwanja kilichoko kitalu Na. 261 eneo la Ubungo kilichouzwa mwaka 1998 kwa Shirila la Maendeleo la
Dar es Salaam (DCC) kwa Sh. 800 milioni, viwanja Na. 1-21 vilivyoko block V, katika Manispaa ya Ilala, vilivyouzwa mwaka 2003
kwa DCC kwa Sh. 350 milioni, kiwanja Na. 38 kilichoko Oysterbay kilichouzwa mwaka 2005 kwa kampuni ya Century Properties
Ltd kwa Sh. 516.2 milioni na nyumba Na. 54 iliyoko Ilala iliyouzwa 2009 kwa Trans Ocean Supplies Ltd kwa Sh 180 milioni.
Aidha, Kamati hiyo imebaini kuwapo kwa mikataba kadhaa yenye utata ya pango ya majengo na maeneo ya wazi yanayomilikiwa na
UDA. Katika maeneo mengi, hata bei hicho kinachoitwa “bei ya pango,” haikuzingatia ukubwa wa eneo. Vitega uchumi vingi vimeuzwa
kwa bei ya kutupa.
Kwa mfano, menejimenti ya UDA, chini ya Millanzi na Bodi ya Wakurugenzi iliyokuwa chini ya Idd Simba, ilipangisha watu mbalimbali
kuanzia kwenye jengo la utawala yalipo makao makuu ya UDA, Kurasini, Dar es Salaam hadi maeneo ya wazi yaliyoko katika
karakana zake.
Wapangaji hao wanaiolipa kodi ya kutupwa, ni pamoja na Nagla General Shipping Services Ltd., aliyepangishwa kwenye jengo la
utawala eneo lenye ukubwa mita za mraba 19 kwa Sh. 7,500 kwa mwezi.
Wengine ni F.A.Agencies (T) Ltd., anayelipa Sh 7,200 kwa mwezi, Rafad Complex Ltd (kituo cha basi kati), anayelipa Sh. 8,400 kwa
mwezi na Lake Corridor Petroleum Ltd anayeendesha kantini ya UDA kwa malipo ya Sh. 7,429 kwa mwezi. Kampuni ya Lake
Corridor Petroleum Ltd imekodishwa eneo lingine la ufundi lenye ukubwa wa mita za mraba 140 ambapo inalipa Sh. 3,000 kwa
mwezi.
Nyingine ni kampuni ya Mupingwa Petroleum Ltd iliyokodishiwa ofisi za UDA zilizoko bandarini kwa Sh. 4,800 kwa mwezi, Koru
Freght Ltd iliyokodisha ghala la UDA kwa malipo ya Sh 2,457 kwa mwezi, huku kampuni hiyo ikiwa imepangishwa eneo la wazi
katika viwanja vya makao makuu ya UDA lenye ukubwa wa mita za mraba 370 kwa Sh. 2,485 kwa mwezi.
Wapangaji wengine na kiasi wanacholipa kwa mwezi kikiwa katika mabano, ni pamoja na Seleman Keraba (Sh. 850 kwa mwezi),
Mak Consult Engineering (Sh. 4,312), Macbean Sea Trading (Sh 7,200), Koru Freight Ltd (Sh. 6,000), Koru Freight pia imepanga
eneo la mita za mraba 164.52 kwa Sh. 3000, Shibat Enterprises Ltd (Sh. 7,000) na Exaud Epiana aliyepewa karakana kwa kodi ya
Sh. 6,000 kwa mwezi.
Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo, viwango vya soko kwa sasa vya kukodi katika maeneo ya mijini, na hasa jijini Dar es Salaam, ni
kati ya dola 7 hadi 12, sawa na karibu Sh. 10,500 hadi Sh. 18,000 kwa kila mita moja ya mraba kutegemeana na eneo lilipo jengo
husika linalopangishwa.
Ripoti hiyo imebainisha wazi kwamba baadhi ya wapangaji hao wa maeneo ya UDA wameyapangisha kwa makampuni mengine
ambayo wao wanawatoza bei kubwa zaidi na hivyo makampuni hayo kujinufaisha zaidi kupitia mgogo wa shirika hilo.
Kampuni ya Lake Corridor Petroleum Ltd imetajwa kama mfano wa makampuni ambayo yameingia mikataba ya kukodishwa ofisi au
maeneo ya wazi, lakini wakaamua kupangisha kwa watu wengine bila kupata idhini wala kibali cha UDA.
Wakati kampuni ya Koru Freight imepanga eneo la wazi lenye ukubwa wa mita za mraba 1,916, kamati imebaini kwamba kampuni
hiyo imekuwa ikilipia eneo la mita za mraba 370 tu.
“UDA iliingia ubia na Africarriers tarehe 13/10/2009kuendeleza kiwanja Na 437/129 kilichopo Mtaa wa Sokoine (kilipo kituo cha
mabasi cha Stesheni). Makubaliano hayo yamebainika kuwa na mapungufu kadhaa, ikiwa ni pamoja na kutokuwapo nyaraka zozote
zinazoonyesha jinsi mwekezaji huyu alivyopatikana, hivyo kutia shaka iwapo sheria ya manunuzi ya mwaka 2004 na kanuni zake za
mwaka 2005 zilizingatiwa,” inasema sehemu ya ripoti hiyo.
Upungufu mwingine uliotajwa na ripoti hiyo katika mkataba wa ubia huo wa UDA na Africarriers, ni kampuni hiyo kutaka kwamba
baada ya mradi wa ujenzi wa ghorofa ndani ya kiwanja hicho cha kituo cha Stesheni kukamilika, mwekezaji huyo atatakiwa kumiliki
hisa asilimia 75 na UDA ibakiwe na hisa 25 tu.
Aliyekuwa Meneja huyo wa UDA, Millanzi, ambaye alitimuliwa na Ma------ Juni mwaka huu, kabla ya kuivunja pia Bodi ya UDA
iliyokuwa chini ya Idd Simba, anadaiwa kujichotea Sh. 40,622,651.80 kama malipo ya kiinua mgongo chake hata kabla ya kumaliza
mkataba wake wa kuliongoza shirika hilo.
Kwa mujibu wa ripoti ya kamati hiyo ya Ma------, mkataba wa utumishi wa meneja huyo ulipaswa kufikia ukomo 30 Juni 2011, lakini
hata kabla ya kufikia mwisho wa mkataba huo yeye alikwishajilipa tayari kiinua mgogo chake.
Malipo hayo yanaelezwa kulipwa kwa awamu tatu. Tarehe 19 Mei 2011 kupitia vocha Na 21, alijilipa Sh. 25,000,000, tarehe 25 Mei
2011, akajilipa Sh. 5,800,000 na 30 Mei 2011, ambapo amejilipa Sh. 9,822,651.80 kupitia hundi Na. 930322.
Katika utetezi wake wa maandishi mbele ya kamati kuhusu tuhuma za kujilipa mafao kabla ya mkataba kumalizika, Milanzi alisema,
“Siyo kweli. Mimi niliajiriwa UDA mwaka 2006, tarehe 1 Juni. Hivyo mkataba wangu uliisha 30 Mei 2011.”
Anasema, “Nilitoa notisi ya mwezi mmoja na taratibu zetu (UDA) malipo yanafanywa kwenye mwezi wa mwisho uliotoa notisi.”5/28/2014 Mtoto waRais waTanzania Ridhwani Kikwete nakashfa zaUfisadi
http://www.habari5.com/zilizopita/item/4892-mtoto-wa-rais-wa-tanzania-ridhwani-kikwete-na-kashfa-za-ufisadi 4/7
Hata hivyo, nyaraka zilizopo zinaonyesha Milanzi alisaini mkataba wa ajira tarehe 29 Juni 2006, wenye Kumb. Na UDA/A.1/6.
Ulipaswa kumalizika 30 Juni 2011.
Mgogoro kuhusu menejimenti nzima ya UDA uliibuka mapema Juni mwaka huu baada ya Meya Ma------ kuamuru kumfuta kazi
Millanzi, pamoja na kuivunja Bodi ya UDA iliyokuwa chini ya Idd Simba kukabiliwa na tuhuma za ufujaji wa fedha zilizokuwa
zimewekezwa na mwekezaji mpya ndani ya shirika hilo.
source: Habari5.com
Wote hao wataabika siku moja!principle yao ya kulindana kwa gharama za wa TZ zitawaumbua,eeeh mola tupe subra...
 
Sumve 2015

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
3,596
2,000
hizi scandal mbona zinaisha kmyakmya.

inamaana hazikufika mahakamani ?!
au ndio wapo huru kufanya ufisadi.

Zilifika, Hossea alichakachua ushahidi baada ya DPP Judge Feleshi kumuunganisha Kisena kwenye mashtaka na akina Simba, TAKUKURU walipeleka file la hiyo kesi kwa Feleshi na wakampeleka Kisena kama shahidi, Dr Feleshi akamjumuisha Kisena kwenye mashtaka baada ya kujilidhisha ana kesi ya kujibu, Hossea kwa kuwa tiari alishakuwa compromised akavuruga ushahidi kitu kilichopelekea DPP Feleshi kuiondoa kesi mahakamani mpaka hapo baadae file litaporejeshwa kwa DPP tena.
 
Kassim Awadh

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
884
195
Ridhiwani Kikwete tena? daa familia hii iko busy na kujilimbikizia mali mpaka basi. tutakoma watanzania, wallah!!!
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
3,503
2,000
PAC gani na lini? Muda umekwisha tena hamna uwezo wa kuirudisha UDA kwenye muliki ya umma.
 
ng'adi lawi

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
2,955
2,000
PAC gani na lini? Muda umekwisha tena hamna uwezo wa kuirudisha UDA kwenye muliki ya umma.

Kama kuna jinai hakuna ukomo wa mashtaka na ushahidi unaweza kukusanywa upya. Kila chenye mwanzo kina mwisho. Hata ccm na hao watuhumiwa.
 
Mp Kalix2

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
5,946
2,000
Haya madudu yoten yaliyofanywa kwa mwamvuli wa UKADA na kunufaisha mtu mmoja au kikundi cha watu ,UKAWA wanatakiwa kuyafanyia kazi.

[h=2]Kashfa ya UDA ina mizizi ya ‘ukada wa CCM’[/h] Waandishi Wetu

KATI ya mijadala iliyozua hisia kali hivi karibuni katika kikao cha Bunge kinachoendelea mjini Dodoma, ni ule wa juu ya kuuzwa kinyemela kwa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) kwa kampuni ya

[h=3]Raia Mwema | UDA[/h]
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom