Nadhani mnajua mm siletagi chai hapa sasa nyumba nnayokaa kigamboni kuna mwana kahamia juzi tu hana miezi 2 baada ya kutoka kuowa akachukua apartment pale akahamia na mkewe wameanza maisha mapya na mkewe kajaza nyuma usipime very beautiful
Saaa hii nyumba kuna mwana anakaa jamaa mishe zake ni...
Na niliwaambja mawakala wao ndio wamenichanganyia kwenye mzunguko wananiambia niwapelekee mawakala sasa nikawauliza nitamjuaje huyo wakala na wapo wengi
Nimeenda nimemkuta mtu wa dawati wale customer care akaniambia niende kwa teller nimefika namkuta binti namueleza nae kamiluita sijui ni bosi au supervisor jamaa kakataa,, na nna acc kwao
Tawi la kariakoo narungmbe tena noti hazijakatika zimechakaa tuu na nna account crdb ipo ila wamekataa wanasema eti wakizipeleka wanakatwa hela nikawaambia nnayo 40000 nikateni mimi inayobaki wekeni kwenye acc yangu wakagoma nimepiga simu huduma kwa wateja customer care wanasema walitakiwa...
Kama mnavyojua hali ngumu na mm ni mteja wao hela nlizipata humo humo kwnye mizunguko ya mawakala kama mnavyojua hali ngumu 40000 si haba
Nimeenda tawi lao la kariakoo hata kuzipokea wamekataa na ni hela ambazo no zote zipo pande mbili zimechakaa tu nna nna account kwao na nawauliza...
Instagram kwa sasa wanajeuri kwa sababu wamekosa mpinzani hada ticktock wangekuwq vizururi tungehamia huko, kwa sasa wamekuwa majeuri haswa wanafunga funga account hovyo na ukifungiwa moja wanafunga zote hata ukifungua mpya hadi ubadili sim hawa jamii forum nao wamelala kuna kipindi niliwashauri...
Naam nimekaa nikajiuliza sana Ulimwengu kuna mahali tulikosea sana au kuna nini hadi Malaika hawaji tena kama zamani.
Mimi kwa Dini ni Mkristo na Mara ya mwisho naamini Malaika kushuka Duniani ni Kipindi cha Mtume Muhammad S.W.A Miaka 1400 iliyopita aliposhukiwa na Malaika Jibril na baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.