Recent content by SirQuaker

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nifatilie toka shambani kilimo cha mahindi, maharage na alizeti hatua kwa hatua

    Excellence...... Yani huku JF kuna watu hatuwajui Wala sio ndugu zetu na Wala hawaringi... Tunashukuru kwa kuwa walimu wa kujitolea kwa muda na kwa vitendo pia. Mwenyenzi Mungu azidi kuwafanyia wepesi katika kazi za mikono yenu ili nà sisi tunaotafuta maarifa kwa vitendo siku Moja tufanikiwe...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 250 Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Tanzania 2021

    Wadau kwa mliotuma maombi makao makuu, selection mmepata
  3. S

    JamiiForums Tanzania Fire and safety course

    Ndio ipo. Inapatikana Fire and rescue training institute kipo Dar es salaam, Ilala. Pia soko lake lipo wazi. Kwa maelezo zaidi unaweza kunitafuta.
  4. S

    JamiiForums Tanzania NEMC kufanya msako wa wanaopiga kelele nyakati za usiku kwa kiwango kilichozidi Desibeli 40

    Nemc your absolutely right... But sina uhakika kama mwananchi anayeenda kuchukuliwa hatua anayo elimu juu ya hicho kiwango Cha kelele na namna gani ya kuzipunguza au kuzicontrol hizo kelele..... Kwa maana hiyo Basi, nemc kabla ya kuanza hiyo kamata kamata wangeanza kwañza kutoa elimu kwa...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Dar: Mkuu wa Mkoa, Amos Makala aagiza Mabasi yote kushushia abiria Stand ya Mbezi

    Mheshimiwa angetoa ufafanuzi zaidi kwenye maelezo yake, kwani kutokana na maelekezo yake hayo kutakuwa na mrundikano mkubwa wa mabasi ndani ya kituo Cha mabasi pamoja ya usumbufu mkubwa kwa abiria kwani kuwepo na vituo vidogo dogo vya mabasi Kunasaidia wasafiri wenye watoto pamoja na mizigo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Ahsante sana kiongozi..., Natumaini kàtika yale mengi uliyonayo kuhusu cryptocurrency umejaribu kushare nasí yale machaçhe ambayó ni ya muhimu zaidii Ikikupendeza tumaomba uendelee kutupa elimu na mwongozo juu ya uwekezaji huu wa kidigitali ili tuweze kunufaika nao na kuenenda na kasi ya...
Back
Top Bottom