Recent content by sirparadek

  1. S

    JamiiForums Tanzania Babu Seya atua Mahakama ya Afrika, Awasilisha hoja tatu

    Imefika kwa watalaamu namba 1,hayupo
  2. S

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuisoma namba kabla ya UKAWA

    Anatekeleza Sera za ukawa CCM haina Sera ya kufuta safari za nje Na mabalozi kuwajibika
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mtanzania Binafsi yeyote mwenye mamlaka ya kumuhoji Rais wa JMT

    CCM Hamna ujanja Sera mtakazozitekeleza no za ukawa tayari mmeanza
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Sita wameachia nyadhifa Zanzibar

    Kwani kuachia Leo kuna tatizo gani
  5. S

    JamiiForums Tanzania HESLB watoa awamu ya pili wanafunzi waliopata mkopo 2015/16

    Wanaumia nini kwani usingeiba kura zao wao wasingetoa mikopo ila ungesoma bure we we mpumbavu unafurahia mkopo?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

    Manchester IPO uingereza tu je simba IPO Uganda IPO Tanzania utajuaje? Acha kupinga tu Fanya utafiti
  7. S

    JamiiForums Tanzania Baraza kuu la CUF lakataa kurudia uchaguzi Zanzibar!

    Wabara wanafiki sana wataendelea kula matapishi yao milele Na milele
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kama sio Lowassa, Magufuli asingetumia kauli ya "Mabadiliko ya kweli"

    Heko Mh.magufuli uliiga m4c uliiga mabadiliko hatimae umeanza kutekeleza Sera za Ukawa umefuta ziara za nje, misamaha ya Kodi endelea kuzitekeleza
  9. S

    JamiiForums Tanzania Nembo ya klabu ya Simba haina jina la nchi

    Ninashindwa kuelewa kwanini viongozi na wanachama wa Klabu ya Simba hawajaiona dosari ya Nembo ya klabu ya Simba kutokuwa Na Jina la nchi ya Tanzania.Nembo ni alama ya klabu na inatakiwa kuwe na vielelezo vitakavyokuwa vinaitambulisha klabu hiyo.Klabu ya Simba imekuwa inashiriki mashindano...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

    Chadema mbona mnataka wanachama tukihame chama? Walipeni mawakala Na teueni wanachadema
  11. S

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Kama in mgeni Wa Edo mbona magufuli Na mkewe walienda kumpokea ina maana nani aliwatuma?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, kwanini una mlaghai Lowassa?

    Msemaji ukweli mbona mkuu unatafuta sifa? Hayo maneno unaweza kuyathibitisha mahakamani? Kumbuka makosa ya mtandao Sheria imepamba moto mkuu
  13. S

    JamiiForums Tanzania SMZ: Suala la kurudiwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar halina mjadala!

    Jamani hesabuni kura vinginevyo kura za raisi Wa jamhuri Nazi no batili
  14. S

    JamiiForums Tanzania T.B Joshua na Askofu Gwajima!

    Wizi Wa kura ulikuwa no ushindi Wa kishindo
Back
Top Bottom