CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

CHADEMA wateua wakala wa CCM kuwa mbunge

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kiongozi wa CHADEMA mkoani Rukwa na katibu wake wamejiuzulu kupinga uteuzi wa mbunge viti maalum ambae alimpigia kampein mgombea wa TLP, pia wanadai mawakala hawajalipwa na makao makuu wamejikausha licha ya kupewa taarifa, hivo bora tujiuzulu.

Chanzo: ITV
 
Mbowe ni msanii,, mpaka yule dada aliemnyima ubunge Mtatiro Segerea amezawadiwa ubunge,, ni wakati sasa wa Mbowe kufukuzwa uenyekiti wa Chadema hana jipya, uwezo wake wa kufikiri umefikia mwisho.
 
Hivi Chadema itakuja kutokea muweze kukwepa mitego ya ccm??? Mbona mnanasa kilaini hivyo????
 
Mbowe ni msanii,, mpaka yule dada aliemnyima ubunge Mtatiro Segerea amezawadiwa ubunge,, ni wakati sasa wa Mbowe kufukuzwa uenyekiti wa Chadema hana jipya, uwezo wake wa kufikiri umefikia mwisho.

mzee umerudi Lumumba?
 
Hao watu wanaohusika na uteuzi wa na mapungufu makubwa ndo hao miezi miwili iliyopita walimteua said nkumba kugombea ubunge siku mbili akarud ccm
 
kwa hili la sumbawanga chadema mjisahishe. nendeni mkamalize mgogoro. kumbukeni chama ni watu...mkifanya uzembe mtaikosa halmashauri kizembe....
 
kwani jina la huyo mwanamke lililetwa na Mbowe au na wao wenyewe wameamua kushirikisha hasira zao kwenye mambo ya chama kama mulishapendekeza jina yakaenda tume akina Mbowe wafanyaje kila mtu anajuwa majina yanapendekezwa toka eneo husika
 
Mbowe ni msanii,, mpaka yule dada aliemnyima ubunge Mtatiro Segerea amezawadiwa ubunge,, ni wakati sasa wa Mbowe kufukuzwa uenyekiti wa Chadema hana jipya, uwezo wake wa kufikiri umefikia mwisho.

Naona umevaa tena koti la zamani....wewe si mwanachadema mambo ya chadema yanakuhusu nini
 
Kwa mtindo Huu ni halal Ccm kuendelea kutawala kwa Ustawi wa taifa letu.ndiyo maana Marais wastaafu ilibidi waingie kufanya siasa.Chadema too low kutawala, imagine viti ma alum tu vinawatoa kamasi
 
kwani hiyo midabwada inaweza kuendesha nchi miaka 54 familia kumi wanajineemesha mwanzo mwisho malapulapu kama wewe unakenua na kuona swa tu
Kwa hiyo mbadala wake ni chadema?
Mkiitwa malofa mnachukia!
 
CHADEMA walipeni Mawakala kwa kazi nzuri waliyofanya - 'kulinda kura zetu'
 
Kwa mtindo Huu ni halal Ccm kuendelea kutawala kwa Ustawi wa taifa letu.ndiyo maana Marais wastaafu ilibidi waingie kufanya siasa.Chadema too low kutawala, imagine viti ma alum tu vinawatoa kamasi

Siku wakipewa nchi hadi housgirl ,wa mtei atahamia ikulu kuwa katibu kingozi
 
Siku wakipewa nchi hadi housgirl ,wa mtei atahamia ikulu kuwa katibu kingozi

nchi kwenye mikono ya majangili kama watu wenye akili finyu wasiokuwa na maono wala uwezo kuongoza bado wana ongoza ni kwa sababu ya wajinga wengi kama wewe
 
hili la chadema kutowalipa mawakala wake ni vizuri likatolewa tamko na msemaji wa chama ni aibu...
 
Back
Top Bottom