Recent content by siriusblack

  1. S

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 linamaliza muda wake miezi 3 ijayo watanzania tutalikumbuka kwa lipi?

    tutalikumbuka kama bunge la 12
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wadau, hivi maneno haya yasiyoeleweka wakati wa maombi ni kuigiza au kipawa maalum?

    "Rabasheka talalabasa katokoto rabababababa..." "Shekerebosanda lalalalaba hushakatatata..." "Makatalibosha rabakandire tobosha..."
  3. S

    JamiiForums Tanzania Enyi wakiristo Kimaandiko hakuna Nabii au Mtume hata mmoja aliyekuwa Mkiristo, ila upo ushahidi mkubwa kuwa Mitume wote walikuwa Waislamu

    Sawa wawe wakristo au waislamu - ujumbe umeupata ? ufalme wa Mungu utauona ? Hilo ndio la msingi
  4. S

    JamiiForums Tanzania Msingi tu 3.5M? Au Kuna namna napigwa wakuu

    Hii fair kabisa tena kama uko maeneo yenye uhaba wa vitu kama mchanga au materials nyinginezo tegemea ziongezeke zaidi lakini inategemea unajenga kitu cha aina gani
  5. S

    JamiiForums Tanzania Usaili wa TRA Ulikuwa wa Haki

    Kujibu vizuri hoja kama hizi unamjibu kibobezi kabisa na kusight vifungu vya sheria na namna sahihi ya kucalculate kama unajua kweli - kuita hoja ya mwenzako upuuzi na huku hujaweka hoja/majibu kinzani haijakaa vizuri...anyways keyboard ni yako lakini siwezi kukupangia
  6. S

    JamiiForums Tanzania Degree 5 Bora Zinazotakiwa Kupewa Heshima

    Dunia inahitaji balance - hapana shaka degree ulizozitaja zina umuhimu na heshima yake , lakini pia imagine dunia nzima ingekua watu wamesoma degree hizo peke ake bila kua na wataalamu wa vitu vingine , ingekua ni dunia ya ajabu au pengine ya kipekee. Mtu wa medicine anamtegemea mtu aliyebobea...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ndio tuseme Wahariri wanaamini Tanzania hakuna ‘Electoral fraud’?

    Tatizo la nchi yetu ni kwamba watu wengi wanadhani kuwa chaguzi zikiwa mbovu, barabara zikiwa duni, au huduma za afya zikiwa hafifu, basi hayo ni matatizo ya Chadema pekee—kana kwamba ni Chadema peke yao wanaoteseka. Ukweli ni kwamba, mfumo mbovu wa taratibu, ikiwemo haki za msingi, unawaathiri...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Nimepiga punyeto asilimia 75 % ya umri wangu sasa namashaka na sperm zangu

    Tafuta hausigeli upige utakuja kunishukuru ...hausigeli asipobeba nenda hospitali sasa ukapime sperm mortility
  9. S

    JamiiForums Tanzania Wewe unaweza kurudisha kwa muhusika

    Kama pesa sio yako iache kwenye account /wallet ili watu wa mitandao wareverse na kumrudishia mwenyewe...ukiitoa ni kama wizi mwingine wowote tu ni vile hujakamawatwa na mamlaka au wananchi wenye hasira kali
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanye nini katika hali kama hii, nataka kucheza fair

    waoe wote
  11. S

    JamiiForums Tanzania Sababu za coolant kuisha upesi ni nini?

    Natafuta fundi anaeweza kuondoa hewa kwenye pipes zinazopitisha coolant kwenda kwenye cooling system ? Pia kama ana ile machine ya vacuum inayotumika kujaza coolant itapendeza sana . Kama upo naomba nii DM tafadhali
  12. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Mhandisi, Afisa Elimu Sekondari, Mkurugenzi nawasimamisha kazi, mnapelekwa Mahakamani

    uko sahihi ! Lakini taarifa za hivyo zinamuathiri mhusika moja kwa moja hata kwa mfano kama Mh Mkurugenzi alikua anaplan za kugombea Ubunge au nafasi nyingine yeyote hapo amekua amechafuka sana. Hata kama Takukuru wata mclear bado anabaki na doa kubwa sana ukizingatia hizo ni pesa za umma
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?

    unapata vizuri tu 1.JKT hawakulipii huo mkopo 2.Sio kigezo cha kupata mkopo - hakipo ukisoma katika vigezo vya heslb 3.Mkopo ni haki yako kama unatimiza na kukizi masharti yote ya HESLB 4.Kumbuka mkopo sio zawadi - utaulipa baadaye - kama una uwezo wa kusoma we jisomeshe mkopo waachie wanaohitaji
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tujuzane: Je, ni samaki gani mtamu kuliko wote?

    dagaa wabichi wa baharini hawana mshindani
  15. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    1.tumia Goffen kama suluhisho la muda mfupi 2.Suluhisho la muda mrefu nenda kwa dakatari wa kinywa na meno
Back
Top Bottom