Kifo kilimchukua yule malaika Angel Frank kila nikilala naona taswira yake kwenye mboni zangu, huzuni inaniingia, nakosa cha kufanya.
I fuckin miss her, I wish I had a death Cure.
Kwenye mpunga kuna hela ila wasiwasi wangu ni pale ambapo mtu ananunua mpunga afu anaenda kuweka kwenye godown au mashineni. Huwa sikaamini hawa watuzanji. Mwenye experience atufahamishe.
Us
Sioni kama ni jambo zuri kuhusisha imani ya watu au kumuhusisha Mungu wa waislamu "Allah" katika mijadala ya kisiasa.
Mkristo mwenye maadili hawezi kumkejeli Allah. Wala muislam mwenye maadili hawezi kumkejeli Yehova.
Ninashawishika kuwa ni huwa Mungu mmoja ila majina ni tofauti.
Basi kama kuna mtu Huwa namuona ni mpumbavu ni yule anayesema hakuna Mungu. Kuna vitu vonatia hasira sana.
Nimeumia sana kwa ajili yako. Kwa hiyo na wewe unajiweka kwenye kundi la wanasayansi ambao hawaamini kuwa kuna Mungu.
Hao wanasayansi deep down wanaamini Mungu yupo sema wameshindwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.