Recent content by sir venance

  1. sir venance

    Wazee wenzangu wa Rhumba hasa za Miaka ile ya TP. Ok Jazz na Franco

    Nzele,vice versa,mamou, dah nyimbo Kali Sana hizi Sent using Jamii Forums mobile app
  2. sir venance

    Wazee wenzangu wa Rhumba hasa za Miaka ile ya TP. Ok Jazz na Franco

    Nadhani nimechelewa kuzijua na kuzifuatilia nyimbo za madilu system na Franco japo Mimi ni wa miaka ya 90 ila hawa jamaa walikua wanaimba sana,kila siku lazima nisikilize nyimbo zao japo naelewa vichache sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. sir venance

    Tanzia

    Daah madilu system nipo nasikiliza vibao vyake vilivyotamba enzi zake,nzele,ya Jean,vice versa,hii ndio ilikuwa rhumba Sent using Jamii Forums mobile app
  4. sir venance

    Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

    Anaanzia nyumbani Sent using Jamii Forums mobile app
  5. sir venance

    Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

    Simba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad AC na Esperance vs Constantine Simba itaanzia nyumbani kutokana mfumo wa michuano hiyo kwa kuwa...
  6. sir venance

    Matokeo As Vita vs Al Ahaly yaweje?

    Ahly amfunge Vita atafikisha pts 10 Vita atabaki na 4,Simba ashinde atakuwa na 9 akipata droo sio mbaya atakuwa na 7 ila hapa taifa akipata droo au au akishinda atakuwa amefuzu hatua inayofuata. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. sir venance

    Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

    Huwa tunawaonea huruma wanawake ktk daladala hasa wakiwa wajawazito,wazee au wagonjwa ila shida huwa inakuja kwao ni wagumu mno,alafu hawapendani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. sir venance

    Rc Makonda na Steve Nyerere matatani, Msanii wakazi kumuandikia barua Rais kuwashitaki kwa kutowapa wasanii mwaliko maalum kwenda Leaders Club

    Kiufupi kujisafisha kwa maji baada ya kujisaidia kwangu ndiyo njia salama na bora,haya mambo ya toilet paper huwa nahisi ni kuongeza uchafu tu,halafu huwa naona huwezi mtu kutakata,Yani utumie toilet paper dah hapana Sent using Jamii Forums mobile app
  9. sir venance

    Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Unataka niandikaje ili ujue Mimi Simba au niseme tuna kikosi kipana? Sent using Jamii Forums mobile app
  10. sir venance

    Mtanange wa Klabu Bingwa Afrika: Al Ahly 5 vs Simba SC 0

    Kiukweli wanatuumiza Sana mashabiki wa simba wachezaji wengi ni mizigo hawana hadhi ya kuwa pale,kipa hana changamoto amerelax nae ni mzigo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. sir venance

    Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Daah hii aibu ni kubwa mno Sent using Jamii Forums mobile app
  12. sir venance

    Simba hii aibu mnayoendelea kutupa tumeshindwa kuivumilia

    Sijui tunafeli wapi tukiwa ugenini wachezaji wanapata karibia kila kitu lakini matokeo yake hawajitumi,Hadi dk hii nakwenda kulala tumeshapigwa na mwarabu 5 daah Sent using Jamii Forums mobile app
  13. sir venance

    Je, Wazazi mnayajua wanayofanya mabinti zenu wawapo vyuoni?

    Hii ipo sana vyuoni na mbaya zaidi hawazingatii kilichowapeleka vyuoni,wazazi wanajitahidi sana kwa Hali na Mali watoto wao wasome lakini wakifika vyuoni wanachukua majukumu ya kuwa wake au waume,hakuna ndoa itakayodumu baada ya maisha ya hapo na Kama ikitokea ni chache Sana. Sent using Jamii...
  14. sir venance

    1884: Wamisionari wa Lutheran na Catholic walivyogawana maeneo Moshi

    Ila hii post ni ya Malisa gj niliisoma Facebook katika page yake,ni wewe mwenyewe umeileta huku mkuu au umefanya kuicopy na kupaste bila ya kumpa walau credit aliyeiandika? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom