Klabu ya Simba yapangiwa TP Mazembe kwenye robo fainali Ligi ya Mabingwa Africa

sir venance

Senior Member
Oct 26, 2017
151
222
Simba imepangwa na TP Mazembe ya DR Congo kwenye mechi ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika kwenye droo iliyochezeshwa mjini Cairo

IMG_20190320_223802.jpg


Mamelodi Sundowns wakikutana na Al Ahly, Horoya AC vs Wydad AC na Esperance vs Constantine

Simba itaanzia nyumbani kutokana mfumo wa michuano hiyo kwa kuwa walimaliza wakiwa nafasi ya pili katika Kundi D.

IMG_20190320_223942.jpg


Simba ilimaliza kundi D katika nafasi ya pili na ikajulikana mapema Kuwa ina nafasi ya kukutana na kati ya timu tatu zilizokuwa vinara wa makundi ambazo ni Waydad Casablanca, TP Mazembe au mabingwa watetezi, Esperance.
=====

Droo ndio hiyo wenzangu wa Simba nafasi yetu ipoje?
 
Back
Top Bottom