Recent content by Sir £mmanyo

  1. Sir £mmanyo

    Halufu kali ya choo

    Habari wana Jamii forum wenzangu. Msaada tafadhali haja kubwa kuwa na halufu Kali (mbaya)ni hali ya kawaida au tatizo, msaada tafadhali mwenye uelewa na hili. Ahsante
  2. Sir £mmanyo

    Anayeshona suti za Rais Magufuli arekebishe mikono

    Mtoa post magu anakuona aisee. ila hizi suti sio za kushona kwa vipimo zinaagizwa kama zilivyo
  3. Sir £mmanyo

    Lugola: Bodaboda kufungwa matela kudhibiti ajali

    Boda boda kufungwa Tela, ili kuzuia Ajali. Dar es Salaam. Ni siku saba tangu ameteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekuwa mjadala katika vyombo vya habari kutokana na kauli na mikakati yake mbalimbali anayopanga kuifanya. Jana Julai 7, 2018 katika maonyesho ya kimataifa ya...
  4. Sir £mmanyo

    5 research backed facts about your pubic hair

    Mm tangu yaanze kuota sijawahi yakata na Niko fresh tu, pole yenu mnayoyafukuza kisirisiri na viwembe bafuni
  5. Sir £mmanyo

    Kauli za viongozi wa Tanzania zenye utata!

    " kama unaona mshahara haukutoshi acha kazi ukalime".....
  6. Sir £mmanyo

    Joto kali laua mamilioni ya samaki China

    Hii itakuwa mojawapo ya athari za majaribio ya mabomu ya nyukilia toka North Korea. Nawaza tu.
  7. Sir £mmanyo

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) yawateua 8 kuwa Wabunge wa Viti Maalum CUF

    Siasa za Afrika "pasua kichwa" ndio maana atuendelei unafiki mwingi
  8. Sir £mmanyo

    Inawezakana CDF na IGP wakapiga salute kwa mkuu wa Wilaya?

    Ngoja waje wajuzi wa Haya mambo, subiri kidogo
  9. Sir £mmanyo

    Nafasi za ajira ya walimu wa arts na biashara

    AJIRA! AJIRA! NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA ARTS NA BIASHARA. *NAIS* organization ya watu wa Marekani inatangaza nafasi za kazi za walimu wa masomo ya ARTS na COMMERCE Eg. Kiswahili,Literature,geography, commerce, book keeping, nk kwa walimu wa biashara hakikisha walau una ufaulu wa *D* pass...
  10. Sir £mmanyo

    Binti wa kazi anahitajika

    Natafuta binti wa kazi za nyumbani, majukumu ni kulea mtoto na kufanya kazi za kawaida za nyumbani. umri kuanzia miaka 18 mpaka 23 lakini hata chini ya huo umri pia nitampokea . Awe tayari kufanya kazi mkoa wowote hapa Tz (mjini au kijijini) mshahara ni mzuri na nimaelewano pia. mawasiliano...
  11. Sir £mmanyo

    Wandugu naomba kujua Yule Mwafrika kwenye Filam ya Yesu walimpata wapi

    hii ni filamu tu ambayo iliigizwa hivi karibuni, hivyo hiyo ngozi nyeusi uliyoiona ilikuwa imeshatawanyika Siku nyingi sana by the way Israel ipo Jirani sana na Africa especially nchi za Africa ya kaskazini
  12. Sir £mmanyo

    Kwanini baadhi ya watu viatu vinaisha upande mmoja tu wa soli?

    Hii Mara nyingi inasababishwa na uzito wa mwili ulipoelemea either unaweza kuelemea kushoto au kulia pia matege nayo yanachangia kwa kiasi kikubwa pamoja na namna mtu anavyotembea, nadhani nimekujibu mkuu.
  13. Sir £mmanyo

    Wandugu naomba kujua Yule Mwafrika kwenye Filam ya Yesu walimpata wapi

    Inasemekana hata wayahudi(waisirael) halisi ni weusi
Back
Top Bottom