Wanandoa wazikwa pamoja huko Moshi, Kilimanjaro

Wanandoa wazikwa pamoja huko Moshi, Kilimanjaro

Mkuu msiba wa wapendwa hawa unahusiana chochote na siasa au wapendwa walikuwa wana siasa, naona umekonekt na UVCCM tena, sio ingekuwa poa ungesema tu Juma Raibu jirani yao kasema bla bla bla?
Hako kajamaa lazima katakuwa kameifanyia unaa rambirambi .
 
Umeandika vizuri sana ila hapo kwenye UVCCM umeharibu kabisa
 
Sasa huyo jirani kulikuwa na ulazima wa kutaja na chama chake????

Rip mke na mume
 
Je, hao jamaa walikuwa ccm?? Mbona Juma Rajab ndiye tu kapewa kipaumbele hapo kwenye kifo cha mkristo?? Atii, kifo hiki kimewagusa "CCM!!??" sana.
Pasua ni ngome ya CDM hata mbunge hukaa huko. Hapa ni siasa imezidi wala sio kifo hicho.
Alaf we Mangatara acha upimbi,mada inasema wanandoa wazikwa pamoja..sasa wewe sijui hao jamaa walikuwa ccm?mara ooh juma rajabu kapewa kipaumbele kwenye msiba wa mkiristo,kwani ni dhambi au hairuusiwi?acha kuwatofautisha watu wewe kipwinto.
 
Hapana " sikuizi kabla sijasema R.I.P lazima nijue kwanza kama ni ccm au ni wale wengine, maana hatuzikani"
 
Hivi Uvccm kuna msiba hautowagusa kweli??? Hata ambao hauwahusu wataingia kulia na kijani chao.

RIP wapendanao
 
Back
Top Bottom