Nafasi za ajira ya walimu wa arts na biashara

Sir £mmanyo

Member
Dec 25, 2012
23
9
AJIRA! AJIRA!
NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA ARTS NA BIASHARA.
*NAIS* organization ya watu wa Marekani inatangaza nafasi za kazi za walimu wa masomo ya ARTS na COMMERCE
Eg.
Kiswahili,Literature,geography, commerce, book keeping, nk
kwa walimu wa biashara hakikisha walau una ufaulu wa *D* pass in Mathematics)
Shule zipo 4 zinazomilikiwa kwa jina la NEFERTARI
ambapo mbili zipo morogoro maeneo ya mzumbe, na mbili zipo Arusha maeneo ya kisongo kwa TZ.
Tulianzia CAIRO-MISRI, na ETHIOPIA pia KENYA.
Mshahara:
TGTS D1 950, 000/=(Digrii)
TGTS C1 820, 000/(diploma)

Nafasi nne za ukuu wa shule kigezo uwe na Masters ya elimu na theatre arts.
Mshahara kwa wakuu ni Mil. 1,200 000/=

Aliyetayari kufanya kazi private schools za organization hii atume nakala zifutazo:
1.BIRTH CERTIFICATE
2.O-LEVEL ACADEMIC CERT
3.A-LEVEL ACADEMIC CERT
4.COLLEGE/UNIVERSITY (certificate/transcript)
5. COMPUTER LITERATE CERT (kama ulisoma)
6. CURRICULUM VITAE (CV)
7. DIFFERENT AWARDS ATTAINED (eg. pccb club,femaclub,theatre arts groups, malihai club membership etc)

OUR MOTTO: "Education is all about new talents and skills to archive the goals in life"

EMAIL: (adverts director) karenshelmith@gmail.com

Nefertari American International SchooLs
Land Lines: 26573978 - 26573979
School Mobile Phone: 01066682296
Fax: 26578709
School E-Mail: naisinfo@niscl.com
School Superintendent: nhafez@niscl.com
Vice-Superintendent for International Schools:
inas@niscl.com
School Director: aeissa@niscl.com
High School Supervisor;
rallam@niscl.com

©TZ mobile phones (Arusha) MAELEZO:
+255757 248021
+255754 623488
 
Nina ajira serikalini, nahitaji nifundishe hizo shule. Niko daraja E na ninafundisha Mathematics. Ni degree holder. Je, nitapata nafasi hapo maana ume specify arts tu
 
AJIRA! AJIRA!
NAFASI ZA AJIRA YA WALIMU WA ARTS NA BIASHARA.
*NAIS* organization ya watu wa Marekani inatangaza nafasi za kazi za walimu wa masomo ya ARTS na COMMERCE
Eg.
Kiswahili,Literature,geography, commerce, book keeping, nk
kwa walimu wa biashara hakikisha walau una ufaulu wa *D* pass in Mathematics)
Shule zipo 4 zinazomilikiwa kwa jina la NEFERTARI
ambapo mbili zipo morogoro maeneo ya mzumbe, na mbili zipo Arusha maeneo ya kisongo kwa TZ.
Tulianzia CAIRO-MISRI, na ETHIOPIA pia KENYA.
Mshahara:
TGTS D1 950, 000/=(Digrii)
TGTS C1 820, 000/(diploma)

Nafasi nne za ukuu wa shule kigezo uwe na Masters ya elimu na theatre arts.
Mshahara kwa wakuu ni Mil. 1,200 000/=

Aliyetayari kufanya kazi private schools za organization hii atume nakala zifutazo:
1.BIRTH CERTIFICATE
2.O-LEVEL ACADEMIC CERT
3.A-LEVEL ACADEMIC CERT
4.COLLEGE/UNIVERSITY (certificate/transcript)
5. COMPUTER LITERATE CERT (kama ulisoma)
6. CURRICULUM VITAE (CV)
7. DIFFERENT AWARDS ATTAINED (eg. pccb club,femaclub,theatre arts groups, malihai club membership etc)

OUR MOTTO: "Education is all about new talents and skills to archive the goals in life"

EMAIL: (adverts director) karenshelmith@gmail.com

Nefertari American International SchooLs
Land Lines: 26573978 - 26573979
School Mobile Phone: 01066682296
Fax: 26578709
School E-Mail: naisinfo@niscl.com
School Superintendent: nhafez@niscl.com
Vice-Superintendent for International Schools:
inas@niscl.com
School Director: aeissa@niscl.com
High School Supervisor;
rallam@niscl.com

TZ mobile phones (Arusha) MAELEZO:
+255757 248021
+255754 623488
Deadline lini mkuu!?
 
sababu ya kuweka kiwango cha mshahara ni nn?..deadline mbona haipo? alafu hizo shule zinafundisha arts tu?...mmm wana arts tumeni ila kwa step
 
Matapeli washatembea na gap la serikali kutokuajiri walimu wa sanaa na biashara... vijana kuweni makini na hili tangazo.
 
Back
Top Bottom