Akaunt yngu ni mda sasa inagoma ku apply, nikijaribu inaandika Failed na nina sifa zakutosha kuomba kaz za udereva. Kama kuna mwenye solution, naweza ata kuja ulipo kama ni Dar.
Thanks.
Habari wakuu,
Mimi ni dereva na natamani niendeshe Uber hasa ya mkataba. Nimetafuta sana kazi za kuajiliwa sijafanikiwa na cjakata tamaa ila nimeona nijaribu na hili. Mwnye msaada wakuu.
Wakuu habari, akaunt yangu ya utumishi ni mwaka sasa sijaapply kazi yoyoye inagoma.
Mfano kuna nafasi za Forest wametoa upande wa udereva ambacho sina ni cheti cha ufundi.
Kinaweza kuwa ndo sababu unapokosa sifa fulani au inakuaje msaada jaman!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.