Tatizo maombi Utumishi Portal

Mar 11, 2015
16
5
Wakuu habari, akaunt yangu ya utumishi ni mwaka sasa sijaapply kazi yoyoye inagoma.

Mfano kuna nafasi za Forest wametoa upande wa udereva ambacho sina ni cheti cha ufundi.

Kinaweza kuwa ndo sababu unapokosa sifa fulani au inakuaje msaada jaman!

Screenshot_20210623-163524_Samsung%20Internet.jpg
 
Huyu katibu wa hii sekretarieti mbona amelala sana anapaswa kupumzishwa sasa
Na hiki Kitengo cha ICT hapo PSRS wana kazi gani haswa maana kila siku system yao inalalamikiwa na upuuzi wao wa hiyo portal, vijana kila siku wanaangaika nayo katika kufanya application
 
Hii nchi ina sekta nyingi watu wanakula mishahara ya bure halafu bado wanataka kodi ya simu ya masikini.
 
Back
Top Bottom