Msaada kwa mnaoijua Ajira Portal Acc

Msaada kwa mnaoijua Ajira Portal Acc

Joined
Mar 11, 2015
Posts
16
Reaction score
5
Akaunt yngu ni mda sasa inagoma ku apply, nikijaribu inaandika Failed na nina sifa zakutosha kuomba kaz za udereva. Kama kuna mwenye solution, naweza ata kuja ulipo kama ni Dar.

Thanks.
 
Akaunt yngu ni mda sasa inagoma ku apply, nikijaribu inaandika Failed na nina sifa zakutosha kuomba kaz za udereva. Kama kuna mwenye solution, naweza ata kuja ulipo kama ni Dar. Thkx.
Weka barua ya maombi
 
Back
Top Bottom