Kama moyo wako unashindwa kujua nn unataka sisi wengine ambao hata hao mabinti hatuwafahamu tutakusaidia nn?? NB; kama unaowa mwanamke kwa ajili ya kazi KAOWE PUNDA! mwanamke ni pambo la nyumba!
Mzee ambae alikuwa anatoa huo utajiri alishakufa, alikuwa akiishi sehemu moja inaitwa isagwa , unaingilia ilula unashika boda ndo unafika, alijenga haswaa, ukifika mwenyewe unakuwa mpole! ila mikoba alibaki nayo mwanae wa kiume! ila nasika hawiki kama baba yake,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.