Kwanza kabisa huyo anakupenda sana na anafuture nawewe ila sasa ukisema uwe unampa hela direct wakati hataki usikae kimya kuna vitu ambavyo inabidi uwe unavifanya kama kumtumia zawadi za nguo viatu pia weekend moja moja unamwambia Leo nataka uende saluni kwa gharama yangu unamtumia hata arobaini...
Kwanini unakuwa mjinga kiasi hicho wewe unamuacha mke kitandani unafuata mgeni khaa!!! Ebu badilika mkeo hata kama kaambiwa amekusamehe koma kabisa huo ni udhaifu na ujuha nakama utashindwa kubadilika uwe unawapeleka guest tena kwa makubaliano sio unavamia chumbani na kijinoti mkononi.... Koma...
Mbona wewe unapost page huku ukionesha wazi wewe ni team mondi?! Kuhusu kiba kupigiwa kura nikutokana na hit single yake ya mwanadsm ilivyofanya vizuri kama Mwaka jana mondi alivyotoa hit single yake ya my no 1 ambayo ilipelekea kubeba tuzo saba na kuibuka na tuzo 3 katika Africa.
Mke wake Malaya tu kwanini alimkubali jamaa yake?! Ukiona hivyo dili namkeo jamaa hana kosa kwasababu mkeo anatoka nyumbani anaenda hadi guest halafu wewe unaenda kufanya vurugu ni kujidhalilisha tuu, mkeo hakukubali acha udhaifu katika kufanya mapenzi na uache ubahili. TIMIZA WAJIBU WAKO!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.