Huenda hana nia ya kumrudia tena huyo mzazi mwenzie na amechoshwa na tabia zake kiasi kuwa ameamua kumdhalilisha tu.Huu ni ufala, demu wako analiwa kiboga we unakusanya watu unaenda kupigana ndio iwe nini sasa?
ujinga mkubwa huu... unapigiwa demu halafu unarusha picha??
Huenda hana nia ya kumrudia tena huyo mzazi mwenzie na amechoshwa na tabia zake kiasi kuwa ameamua kumdhalilisha tu.
Mhhhh, kweli ucelebrity unatafutwa kwa fujo kwelikweli! Kama angekua baba yangu sijui ningejisikiaje!
Halafu aka kana maswali ya kijingaduuhh
alichapiwa kwa nini??
Weka na picha ya huyo mwanamke.View attachment 251240
Mlinda mlango mkongwe Aldina Hashimu ambaye amechezea AFC Arusha,Mtibwa,Mount Meru Warriors na Nyota ya Arusha akipata kibano baada ya kufumaniwa akila vyombo vya mke wa aliyewahi kuwa beki wa kulia Emmanuel Mwambinje huko Guest Kasoli makao mapya
Aibu hii ya kumla mke wa mchezaji mwenzake na beki wa kulia imemletelezea kula kichapo cha haja na kupata manundu mwilini
View attachment 251241
Kisheria hao jamaa waliomshika mshikaji na kumvua nguo wapo hatarini labda wawe na ushaidi mwingine kama picha za fumainzi wote wakiwa watupu la sivyo bwana emmanuel mwaminje ana kesi ya kujibu afanye mpango wa kuandaa fungu kubwa na good lawyers wa kumtetea kesi yake