Recent content by SIONI MBELE

  1. S

    JamiiForums Tanzania Makamba kutangaza nia saa 10 jioni ya leo Live kutoka Mlimani City

    HIZI SMS KWENYE SIMU ZETU HUWA ANALIPIA??? "Ukiwa nguzo muhimu katika ujenzi wa Taifa, napenda kwa heshima na taadhima kukualika kwenye mkutano maalumu wa kutangaza nia yangu ya kuomba utumishi kuiongoza nchi katika nafasi ya Uraisi kupitia CCM. Karibu tuanze pamoja Tanzania Mpya, leo katika...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Msaada: Neno 'yamejuzu' lina maana gani?

    Neno YAMEJUZU lina maana gani???
  3. S

    JamiiForums Tanzania Sababu zilizosaidia ndege ya Nkurunzinza isitunguliwe Bujumbura

    Lara sio?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa Amhamisha Mkurugenzi Wa Iramba

    Asante kwa taarifa beki 3 wa Tumbili.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nimekuelewa #mtzedi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Nilianza na hii
  7. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Yap tatizo la vidonda vya tumbo, nilianza na hii week 2, ndio nimeanza hiyo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Wataalamu wa madawa hii dawa inanichosha, kila siku kidonge kimoja, natamani sana bia. Je haina shiidaaah
  9. S

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    WALIOPANGIWA MKURANGA WANIPM namba zao niwaunge group la walimu Mkuranga..watapata taarifa za kutosha.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    “ACT haina ugomvi na mtu ina ugomvi na mifumo ya unyonyaji"
  11. S

    JamiiForums Tanzania Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    Team ACT wazalendo..pamoja sana.
  12. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imehamharibu sana huyu Dada kisaikolojia! Any help out?!

    Uzi umejaa mipasho tupu kama “ngoma ya kumtoa ndani mwali wa kizaramo."
  13. S

    JamiiForums Tanzania January Makamba& Prof Makame Mbalawa kazi imewashinda?? au Mnapewa rushwa?? na hii mitandao ya simu

    Yaani huyu February siku hizi namuona mbwiga kweli Cybercrimes
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mchungaji: Josephine Mushumbusi tulijuana Facebook

    Dr. anamegewa kisera.
Back
Top Bottom