Sababu zilizosaidia ndege ya Nkurunzinza isitunguliwe Bujumbura

Nimesoma vzuri ila najiuliza kwani kama wangeruhusu ndege kutua japo hawakuwa na uhakika sio ndio wangemkamata kiulaini tu?

Mkuu nijaribu kukusaidia kidogo. Waendesha ndege waliokuwa uwanjani walikuwa wanajua kinachoendelea na walikua ni sehemu ya utii kwa Rais kama waajiriwa. Tatizo walikuwa wamezingirwa na askari na waliwajibika kufanya mawasiliano bila kuwaonyesha wanajeshi waasi kuwa wanayemtaka yumo kwenye hiyo ndege. Walifanya mawasiliano kwa akili kwanza kwa kujifanya wanamuuliza pilot abiria alionao, mwisho wakamjibu huku k47 zikiwaangalia "you can land at your own risk..." Pilot alipochanganya na zake akageuza kurudi alipotoka na ndiyo ikawa salama ya dogo
 
Ndugu RUGAHIMBILA E R swali zuri sana tena lina maana kubwa nashangaa nimeperuzi posts zote hakuana aliyetaka kudadisi.

Mosi,Upo uwezekano mkubwa uwanja wa ndege ulikuwa unadhibitiwa na wanajeshi watiifu kwa serekali ya Nkurunzinza na ndio maana alikuwa tayari kutua kwakuwa majasusi walishampatia taarifa hali ya mambo ilivyo.

Pili,Kutungua ndege si lazima udhibiti uwanja wa ndege.So wapinzani inawezekana walikuwa na uwezo wa kutungua ndege lakini hawakuwa na udhibiti na uwanja wa ndege.

Tatu,Kuna uwezekano mkubwa wapinzani hawakuwa na udhibiti mkubwa, bali sehemu kadhaa so kuja kwa Nkurunzinza kungeweza kuvuruga mipango yao ya kupindua nchi.Rais akishaingia Ikulu na kudhibiti sehemu muhimu kama matangazo ya TV na Radio kungeongeza ugumu wa kupindua serekali.

Nadhani Nkurunzinza pamoja na wanausaama wake wanastahili pongezi katika sakata hili.

Naomba kuuliza:Kwa kuwa wanajeshi walishaudhibiti uwanja wa Bujumbura kwa nini hawakumwacha atue halafu ndo wamkamate baada ya kushuka? Je kama issue ilikuwa kumuua isingewezekana akiwa nje ya ndege tena ndani ya nchi yake?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nijaribu kukusaidia kidogo. Waendesha ndege waliokuwa uwanjani walikuwa wanajua kinachoendelea na walikua ni sehemu ya utii kwa Rais kama waajiriwa. Tatizo walikuwa wamezingirwa na askari na waliwajibika kufanya mawasiliano bila kuwaonyesha wanajeshi waasi kuwa wanayemtaka yumo kwenye hiyo ndege. Walifanya mawasiliano kwa akili kwanza kwa kujifanya wanamuuliza pilot abiria alionao, mwisho wakamjibu huku k47 zikiwaangalia "you can land at your own risk..." Pilot alipochanganya na zake akageuza kurudi alipotoka na ndiyo ikawa salama ya dogo
Wewe umekuja na taarifa mpya au niseme umekuja na nyongeza yako.

Hata hivyo,watu wanapaswa kujua kuwa the whereabout ya Nkurunzinza lazima ifanywe siri kwa wakati huu na hata maafisa usalama wanaweza kutengeneza story nyingi na tofauti tofauti kwa usalama wa Nkurunzinza.

Ukweli wa kilichotokea unaweza ukaja fahamika baadae na inaweza ikawa siri jumla.

Majasusi wana mbinu nyingi za kuchota akilu za watu.

Leo hii barafu kaja na hii habari ila ni swala la muda tu kabla hatujawa na version zingine kuhusu issue hii hii.
 
barafu una uwezo mkubwa wa kufisha ujumbe
Pengine habari hii hii ingeandikwa na mtu mwingine pengine isingekuwa na mvuto kiasi hiki

Ni kama dada mmoja hivi huwa ana mtiririko mzuri sana wa kiuandishi japo huwa siko interested na vitu anavyoongeleaga lakini nalazimika kusoma tu kwa sababu ya stail ya usimuliaji katika maandishi

Na kinachonifurahisha zaidi huna jazba hata watu wakuconfront vipi, unajibu ukiwa umetulia with settled mind na wala hutukani wala hutumii lugha za matusi.

Nimejifunza jambo kubwa sana kwako

Big up mkuu

Lara sio?
 
Last edited by a moderator:
Atarudi.Subiri.
Waasi Walikataa kuruhusu hiyo ndege kutua sababu waliogopa wakihisi ina makomandoo wa Tanzania WENYE UWEZO WA KUCHUKUA AIRPORT ILIYOTEKWA KWA MUDA MUFUPI.Walipoambiwa imekodiwa na mteja dar-bujumbura-dar.Ikawatisha. Wakaanza kujinyea airport.Wakasema utue at your own risk wakazima taa zote za aiport wakatokomoe kusikojulikana maruhuni wakubwa.Ndege ikawa haiwezi kutua gizani
Kwa kulisha watu matango pori,hujambo aisee.
 
Atarudi.Subiri.
Waasi Walikataa kuruhusu hiyo ndege kutua sababu waliogopa wakihisi ina makomandoo wa Tanzania WENYE UWEZO WA KUCHUKUA AIRPORT ILIYOTEKWA KWA MUDA MUFUPI.Walipoambiwa imekodiwa na mteja dar-bujumbura-dar.Ikawatisha. Wakaanza kujinyea airport.Wakasema utue at your own risk wakazima taa zote za aiport wakatokomoe kusikojulikana maruhuni wakubwa.Ndege ikawa haiwezi kutua gizani

samahani..naomba kukuuliza...wewe ni mwanachama wa CCM?
 
wakuu samahani najua nitawaudhi wengi kwa maoni yangu but then again nimejaribu kuisoma mara nyingi sana hii post sioni chochote kilichoongelewa zaidi ya uji mtupu aisee.. yani kawasimlia muvi za rambo zile halaf na nyie mmetoa macho kabisa kumskiliza na kumsifia. ngoja niwambie wakuu haya mambo sio rahis kama huyu kunguni mtoa mada anavotaka tuyaone sana sana mnaishusha tu hadhi hii forum kwa kuamin stori nyingine za kipuuzi ambazo sio hadhi ya jf. anyway mna uhuru wa kusikiliza na kukubali bwana

Yan wewe umemzidi mpk shetan kwa akili.
 
Daah mkuu umelezaaaa vizuri saanaaa yaani nimejionaa kamaa niko kwenye lecture flani hivi amaizing… nakupongezaa kwa hilow true great thinker..
 
barafu una uwezo mkubwa wa kufisha ujumbe
Pengine habari hii hii ingeandikwa na mtu mwingine pengine isingekuwa na mvuto kiasi hiki

Ni kama dada mmoja hivi huwa ana mtiririko mzuri sana wa kiuandishi japo huwa siko interested na vitu anavyoongeleaga lakini nalazimika kusoma tu kwa sababu ya stail ya usimuliaji katika maandishi

Na kinachonifurahisha zaidi huna jazba hata watu wakuconfront vipi, unajibu ukiwa umetulia with settled mind na wala hutukani wala hutumii lugha za matusi.

Nimejifunza jambo kubwa sana kwako

Big up mkuu

Yaani nimefuatilia huu uzi nimejifunza vitu vingi saaanaa,mtoa mada anaonekana kufahamu vitu fulani in deep lakini hajataka kumwaga vyote hadharani.

Hata kama,lakini katuelemisha sana juu ya mambo fulani fulani muhimu sana,kwa kweli wanaombeza ni kama hawajamuelewa au wanatimiza wajibu wa kubisha.

Kwanza jamaa anajibu kwa kutulia sana bila matusi wala kuhamaki,Mkuu #barafu umeiva sana sana sana!!!Asante JF,hongera barafu.
Kweli JF tamu,nimepata Presentation iliyoshiba bureeeee
 
Last edited by a moderator:
Bila kusahau sign call ya helicopter ya mwenyekiti wa CCM ni fisi one.
JF ukiisoma hata kama uko msibani utaangua kicheko tuu. Najaribu kufikiria kama ni muongoza ndege halafu unamsikia rubani anasema ".......CONTROL TOWER! THIS IS FISI ONE READY TO LAND ....." waweza kupigwa bumbuazi ukazani ni wale wa Sumbawanga wanatua kwa ungo
 
barafu nimekuelewa sana ila kwann hali ya Burundi haieleweki je kuna watu ambao wanataka pierre aendelee au ni yeye mwenyewe anataman pia jenerali aliempindua ni kutoka kabila lipi je ni tofauti na lake. Humu siku mbili hizi cjawaona wazee wa msituni jMali na mwenzie GENTAMYCINE

Wewe Tena UKOME! Aliyekuambia Mimi Mzee Wa Msituni Ni Nani? Acha KUNITANGULIZA. Oya Hujambo Lakini? Ebwana Nilikoswakoswa Kidogo Sehemu Za Kitonga J/pili Iliyopita Ila Sasa Nipo Njema Na Naliendeleza. Nimekumisi Na Nimewamisi Pia Mamentali Humu.
 
Ulikoswa koswa na nini?
 
Back
Top Bottom