Jesca Kishoa Amhamisha Mkurugenzi Wa Iramba

Jesca Kishoa Amhamisha Mkurugenzi Wa Iramba

Huyu Jesca ana akili kama za Josefin Myshumbusi, Kafulila kala hasara
 
Huyo mkurugenzi kahamishiwa wapi mbona hamtujuzi!!!!! Semeni kahamishwa lini na nani kaletwa hapo iramba.
 
Jesca Kishoa amhamisha mkurugenzi wa Iramba baada ya kutoa ufisadi wa kutisha katika halmashauri ya Iramba. Jesca Kishoa aliwaeleza wananchi juu ya ufisadi uliofanywa na halmashauri hiyo katika mikutano ya hadhara wiki iliyopita.

Baada ya heka heka ya jimbo la Iramba kwa Mwigulu Nchemba , Jeaca, George Gunda, Binti ChDEMA (HANJE), Pembe Msafiri pamoja na kamanda Emmanuely Shango.

Sasa inaonyesha dhahiri kuwa uozo wa serikali kuwahamisha watuhumiwa wa ufisadi kutoka eneo moja kwenda jingine unaendelea kwa kasi yake badala ya kuwawajibisha.

Hongera Jesca kwa kazi nzuri Iramba.

pamoja sana makamanda. twanga kote kote mpaka magamba waombe poo!
 
mleta mada ungedadavua na sababu au ufisadi uliofanywa na huyo kiongoz
 
Back
Top Bottom