Recent content by sindo

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa Mtu

    hata akipima DNA, hataweza mchukua na kuwa na uhuru nae, kasaidia tu hapo lol
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nimezaa na mke wa Mtu

    Una uhakika gani kama ni wako
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mapenzi hayathaminiwi kabisa siku hizi

    Smart phone sio tatizo kwa mabinti tu hata wanaume nao ni balaa, tusilamu wanawake tu, hata wanaume pia ni hivyo hivyo, balaa kote kote. Ni kumuomba mungu sana kukuepusha kupata mtu asiyefaa
  4. S

    JamiiForums Tanzania Kiwanda cha General Tyre cha Arusha kufunguliwa

    Ndio uwekezaji huo, unauza kiwanda, wawekezaji wanakiuwa halafu unachukua marehemu wako
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kibamia au dushelelee, Ukweli ni upi?

    Mambo mengine ufundi tu sio maumbile,
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tujadili na toa ushauri

    makubwa! kumsaidia mzazi wako unauliza mtandaoni, Eti yeye chama kingine wewe kingine, kuwa tofauti kisiasa kuna uhusiano gani na vinasaba? Haya kama una watoto waulize hilo swali wakupe jibu.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kapata bwana Instagram

    Hiyo ni hakika kabisa,
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mke wangu hajawai kuniomba tendo la ndoa, yapata miaka sita tangu tufunge ndoa

    Tatizo mkuu, maubavu hata pasipo stahili, mfanye rafiki, akuzowee, ubabe punguza.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Sijui nimshtue

    Soma alama za nyakati, umetafuniwa hata kumeza huwezi lol kazi kwelikweli
  10. S

    JamiiForums Tanzania Suluhisho: Kuangalia picha za ngono na kupiga punyeto

    Acha hizo, hapo walioingia hawatoki
  11. S

    JamiiForums Tanzania Baraza Kuu la Waislam Tanzania latoa tamko kuhusu Mahakama ya Kadhi na Katiba iliyopendekezwa

    Wakristo nao wanazo mahakama zao mfano kanisa Katoliki lina mahakama yake ambayo inaanzia katika parokia, jimbo na mwisho ni Vatican lakini hata siku moja hawajawahi kudai igharimiwe na serikali au lazima serikali iitambue. kwa nini wwaislamu wao wanataka mahakama yao tu itambuliwe? Masuala ya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akutana na Rais Kikwete

    Kiongozi wa dini kuonana na mkuu wa nchi ni tatizo? kweli humu majuha ni wengi. Eti mmoja anadai kwa nini walizugumza peke yao bila kup mtu mwingine. Kweli humu waropokaji ni wengi liko thnkers.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Kwa nini mnawasaliti wenzi wenu? leo nataka tukate mzizi wa fitina

    Halali yao, acha wafanye, ila ikibidi na wanawake wafanye pia walete na mambo mapya kama wao Lol
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mke wa Polisi afia nyumbani kwa dereva wa bodaboda

    Kazi kwelikweli, Bodaboda limemuangukia hilo. Kuna utata hapo wa tukio. kama uwezekano wa kumtenda ni mkubwa, Mh kaumbukaje ingawaje aibu kubwa inabaki kwa wafiwa, Maiti haina haibu. Ila kuzika mke aliyefia kwenye mchepuko inataka moyo tena wa kusamehe sana otherwise ni ngumu maana mfiwa...
Back
Top Bottom