Hakuna maongezi zaidi ya kumwambia JK asikomalie benki yetu ya Mkombozi Bank.
Mh kavaasuti ya aina moja tangu jana akina nassib walipoenda na leo, same suit
Ahsante PCCB kwa kutuwekea ukweli.Kweli watu mna akili fupi sana. Ndiyo maana mnaishia kulalamika tu maamuzi yakitolewa kwa sababu hampendi kuutafuta ukweli. Mmejawa kuendekeza hisia na masimulizi kuliko kujikita kutafuta ukweli. Mkombozi bank si kama Efatha Bank, Pengo hawezi kuwa na maamuzi juu ya benki ya Mkombozi. Tukitaka kuwa wakweli ni vyema tukajikita kwenye kutafuta ushahidi wa yale tunayoyafikiria. Lakini kuzigeuza hisia eti ziwe ndio ukweli tutakuwa tunajidanganya sana.
Hata mimi sipingi mtu kujuliwa hali, tatizo ni kwamba, sijawahi kumuona Jakaya Kikwete kapigwa picha Ikulu anapitia karatasi la kikazi! Au anafanya mkutano wa kikazi na aids wake. Au anafikiria jambo au anafanya press conference kujibu maswali ya issue za nchi. Yeye ni vishughuli na wageni, vishughuli na wageni, vishughuli na wageni. Wageni wenyewe Diamond au Hashimu na Mama yake, na vishughuli vyenyewe Ikulu ni vikao vya futari au kusalimiwa na Maaskofu wenye mabenki ya ku launder mahela ya wizi.
Huyu mtu labda hana hata dawati la kazi. Nani amewahi kuliona presidential desk la JK?
daa ebana JK nani huwa anamshonea nguo??hebu ona kisuruali kinavyoninginia
Tumefika pabaya sana kama nchi. Yaani kiongozi wa dini kuonana na rais raia tunaona ni tatizo!!! Wanaongea mema tu. Wangeweza onana kimya kimya kama wangekuwa na nia mbaya.
1. Eti ameenda kumpa pole rahisi!? Pole anapewa leo baada ya kupona?
2. Ukizingatia hali ya sasa ya taharuki nchini kuhusiana na skendo ya fedha za umma "zilizochotwa" toka katika acount ya escrow iliyokuwa BOT na kupitishwa katika benk ya Stanbic na Mkombozi inayomilikwa na hilo kanisa analoliongoza huyo askofu, je pamoja na kupeana hiyo pole hawakuzungumza chochote kuhusiana na hii skendo?
3. Eti ni kwanini huyo askofu kama kiongozi wa watu na hata huyo rahisi hawakutaka awepo mtu mwingine yeyote zaidi ya mlizi na mpiga picha wa rahisi? Ni ili asijevujisha siri ya pole aliyopewa rahisi na kiongozi wa kanisa linalomiliki benki ilikopitishwa fedha iliyochotwa BOT!?
Tumefika pabaya sana kama nchi. Yaani kiongozi wa dini kuonana na rais raia tunaona ni tatizo!!! Wanaongea mema tu. Wangeweza onana kimya kimya kama wangekuwa na nia mbaya.
Watanzania! Kweli binti wa Tibaijuka alisema- kila kitu tunajua!
Huyu ni kiongozi muhimu sana kila mtu anajua sioni tabu kumjulia hali Rais na kumpa update za ujio wa Pope Francis.
Haitabadili dhana kuwa ni bank ya kutakasa pesa chafu.
Kanisa limekuwa sehemu ya uozo na uhujumu uchumi.