Hukutaja dini gani na unahitaji wa umri gani
Awe na umri gan?
Pole sana brother.... Huenda unatafuta wanawake wa kileo...madada duu...hawa hawajui kitu zaid ya kuangalia status na kutumia peza zako unazopata kwa jasho na mateso...
Kimsingi mwanamke yeyote atakuumiza tuu kwa namna moja au nyingine...jambo la muhimu ni kutafuta yule ambae ana thamani ya chozi lako.... Tuliza akili potezea na soon utamuona yule ambae mungu amekutafutia maana maandiko yanasema mungu hukupa yule unaefanana nae...
Kwa miaka hii inatakiwa uombe Mungu sana akusaidie kumpata msichana unaemtaka kuishi nae. Kuna jamaa juzi alikuwa analalamika kampata binti wakakubaliana kuwa marafiki na hatimaye waje kuishi wote. Binti alikuwa na simu ya kawaida. Jamaa akajaribu kumpandisha hadhi akampa smartphone. Yule binti akaingia mitandao ya kijamii akapata marafiki wengi wa kiume. Sasa hivi hata maelewano hakuna tena. Hayo ndio mambo ya kisasa. Kwa hiyo inatakiwa uvumilivu na kumuomba Mungu akuongoze kutafuta mwenza wa maisha.
Pole xana mkuu,ila inavyoenekana we ndio ulimpenda shemeji ila shemeji alikukubal kutokana na misaada yako.
nenda pale kwa kimboka buguruni utawakuta kibao ukimtoa pale barabarani ukaweka ndani unaanza nae maisha na kila kitu kinakuwa fresh kabisa no stress
Pesa unazo lakini au?
Maana sie tunajijua, bila pesa sawa na kusubiri daladala la Mbagala Bagamoyo
Awe na umri gan?
Kwa miaka hii inatakiwa uombe Mungu sana akusaidie kumpata msichana unaemtaka kuishi nae. Kuna jamaa juzi alikuwa analalamika kampata binti wakakubaliana kuwa marafiki na hatimaye waje kuishi wote. Binti alikuwa na simu ya kawaida. Jamaa akajaribu kumpandisha hadhi akampa smartphone. Yule binti akaingia mitandao ya kijamii akapata marafiki wengi wa kiume. Sasa hivi hata maelewano hakuna tena. Hayo ndio mambo ya kisasa. Kwa hiyo inatakiwa uvumilivu na kumuomba Mungu akuongoze kutafuta mwenza wa maisha.
Kuna jamaa yangu alitafuta dalali wa kumsaidia kuwowa.
Yamenishinda kwaherin, mwenda kwao haogopi giza mademu wa mjini wamenishinda naenda bush kukamata wife. Jambo kubwa niombeeni yasijekunikuta yale ya NIKUSAIDIAJE, kijana fuata nyendo zangu utafanikiwa.
Watu tunathamini pesa mapenzi taarabu.
Nitafutee mkuuu!