Mke wangu kapata bwana Instagram

Mke wangu kapata bwana Instagram

Tafadhali huyo ni moja ya matatizo yalioletwa na ccm
Ccm wameshindwa kupambana na ujinga
ccm hawana subira
ccm hawana ustaarabu
ccm kila kitu wanajua
ccm wanaona kila asiyemuelewa haeleweki kumbe wao ndio hawaelewi

kwa hasira tuwaondoe ccm ili kuwapunguza wajinga kama fasols

Ha ha ha! Yaani eti nisipokuelewa badala ya kunielewesha unaniita Mpumbavu (nina IQ ndogo), mimi ni lofa!

Kweli hili ni janga.
 
Haya masimu sio ya kuzoea kabisa yanafunga ubongo wako usiwaze kitu kingine
 
Ilianza facebook
mara bbm
mara watsap
sasa instagram

After few years tutakuwa tunaongea vipya vingine
 
Habari zenu,

Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu.

Sasa dada yake akaja akamnunulia simu pana kubwa hapo ndio balaa ilipoanzia yaani amekuwa mgonjwa wa simu yuko instagram kila saa hadi usiku ni huko huko hakuna cha mapenzi wala nini salama labda iishe charge na umeme uwe umekatika.

Nina siku 14 na zaidi hakuna cha mapenzi wala nini akishapika anaingia kwenye simu,mume wake amekuwa simu hasa instagramu.

Sasa nifanyeje?
sidhani kama una stahili kuwa na mke...
 
Inawezekana huna jipya kwake aliokutana nao huko wana swagg
 
Habari zenu,

Najuta mke wangu kujua haya masimu ya kufuta futa.Yani mwanzo kwa hela yangu nilimnunulia simu hiyo ya kisasa ili aendane na wenzake akaja akaiuza kwani ilikuwa inajizima na istack akarudi kwenye tochi nikaona afadhali tukakaa miezi kadhaa akawa hana simu.

Sasa dada yake akaja akamnunulia simu pana kubwa hapo ndio balaa ilipoanzia yaani amekuwa mgonjwa wa simu yuko instagram kila saa hadi usiku ni huko huko hakuna cha mapenzi wala nini salama labda iishe charge na umeme uwe umekatika.

Nina siku 14 na zaidi hakuna cha mapenzi wala nini akishapika anaingia kwenye simu,mume wake amekuwa simu hasa instagramu.

Sasa nifanyeje?

nitajie account yake nim-follow
 
Back
Top Bottom