Recent content by sindano ya kushona

  1. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya msanii Batuli yaungua moto

    Hakuna kitu apo Uyu dada Ni jirani yangu iyo nyumba alihamisha vitu vyote iyo sinema tu Ili ccm wamjengee Au wamnunulie vitu mjin apa
  2. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Dah rops wameniua
  3. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz has done it again! Well done king of Bongo social media, Le bebez

    Dah Yule jamaa usimuite Uko na maboss wako! Kesho unakuta yeye ndo anakutambulisha Wewe tena! Hana lolote kujipendekeza adi aibu! Ofcoz anatusaidia kutukuwadia wanawake nin na nin Afu Hana aibu! Ukiwa na pesa unaweza kumpasua naniluu
  4. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mwapachu Kuhusu Lowassa

    Mwapachu hawez kuandika iyo takataka apo! Mimi Ni team lowasa lakin sikubaliani Ni huu utoto
  5. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Eti kashika nafasi ya nne! Huo Ni upotoshaji, sema kawa wa mwisho!!!
  6. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Kwa anayehitaji Laptop jamani

    Laki 4 Tufanye biashara
  7. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Ubunge kwa mwenye uraia wa nchi ya kigeni

    Hawez kupata kwaiyo mwache tu ata awe na uraia wa nchi kumi
  8. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Diamond avunja rekodi ya umati mkutano wa Dewji Singida

    Mtoa posti ebu rudi kwanzaaa....kavae nguo utoke upya! Umekurupuka sanaaa! Dah!
  9. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa Mil 2.5, nifanye biashara gani?

    Watafute madem wa bongo movie watakupa dira nzuuuuriii
  10. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa alipo Athumani Saidi Janguo

    Saivi apeche alolo chezea bandi Wewe
  11. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Nimeibiwa kiboya kweli, hata sijielewi

    Bora hawajakupasua glop
  12. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za uongo kuhusu ndugu yangu

    Dah hii Si Sawa! Zisi iz noti rait
  13. sindano ya kushona

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Marehemu Wakili Nyaga Mawalla yaanguka na kuharibika 'write-off'

    ni Bob sambeki au Jamal? mbona sielewi apo?
Back
Top Bottom