Mwenye taarifa alipo Athumani Saidi Janguo

Mwenye taarifa alipo Athumani Saidi Janguo

Kiriku

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
345
Reaction score
134
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosomeka mhusika hapo juu alikuwa mbunge wa Kisarawe miaka ya 90, ni miaka mingi imepita sijamsikia huyu mzee mwenye taarifa zake aziweke hapa tafadhali.

========

[h=5]General Information[/h]Hon. Athumani Saidi Janguo; was born on 5th December,1936 (78 years old). He holds a Masters Degree in Business Administration from Northeaster University (1972 - 1972). He has been a Member of Parliament for 2 Terms ( 2005 - 2010, and 2000 - 2005 ).
 
Mimi nilidhani ni yule Janguo aliyekuwa akitajwa na Twanga Pepeta! Kumbe ni Janguo huyo, Mh. jafo atakuwa anafahamu alipo.
 
Miaka ya mwanzo ya 1990 alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania
 
Mkuu, et al, nikuhakikishie kuwa huyo Mzee yupo fit na anaendelea na maisha yake.

Ni mteja wetu ofisini, ana mgogoro wake kortini.
 
Nenda nyumbani kwake mikocheni utamkuta
 
Wakuu nashukuru kwa taarifa
 
.... He holds a Masters Degree in Business Administration from Northeaster University (1972 - 1972). ...Hivi ni geneous kiasi hiki...!? Ama umekosea muda aliotumia kusoma hiyo 'mastaazi'...!?
 
Back
Top Bottom