Recent content by Sinamboga

  1. S

    Who The Cap Fit -- Bob Marley

    Man to man is so unjust, children You don't know who to trust Your worst enemy could be your best friend And your best friend your worst enemy ### Some will eat and drink with you Then behind them so-so 'pon you Only your friend know your secrets So only he could reveal it Hypocrites and...
  2. S

    Ni sababu zipi zilimfanya Magufuli akashindwa kujenga hata kiwanda licha ya kusema Serikali yake ni ya viwanda?

    Kwa kiwango hichi cha kufikiria cha wachangiaji wa mjadala huu Nchi ina safari ndefu kufika na Inapoteza kodi nyingi sana kama wachangiaji ni wanufaika wa Bodi ya Mikopo Tanzania.
  3. S

    Sheikh Nurdin alivyokuwa kisiki kwa hayati Magufuli

    S
  4. S

    Ni kwanini Hayati Magufuli alipata Mental na Spiritual Immortality?

    Nakubaliana nawe. M/mungu ni mwenye Huruma kwa waja wake. Kwa namna wananchi wa kawaida walivyoumia na kusononeka kwa kifo chake ni nadhiri ni Miongoni mwa waja wema wa M/mungu.
  5. S

    Tazameni Ulevi mwingine wa Madaraka wa huyu RC

    Mkoa wa RUKWA huna hali mbaya sana wa watoto wa Mitaani (machokoraa) Na vibinti kubeba Mimba ndio Balaa zaidi. Mkuu wa Mkoa yuko sahihi kwa hili.
  6. S

    TBC MPYA: Ushauri, Maoni na Mapendekezo ya ubora wa vipindi (Television Content)

    Sina uhakika kwa Dunia hii na Afrika kwa ujumla kama kuna shirika la habari lenye Archive kubwa[Maktaba] kama TBC. kuanzia mziki, hotuba na kadhalika mfano wa sasa kwa miaka 20 baadae ni kama watakavyokuja kumsikilia kwa wakati huo Mwl Kashasha say 2040. Ifanyeni hii archive ya kibabe iwe hai na...
  7. S

    GE2020 Ukimya wa Tume ya Uchaguzi na kauli tata za wagombea

    Tume yetu ya uchaguzi imekua kimya sana kuchukua hatua kwa kauli tata zinazotoka kwa Wagombea katika uchaguzi huu. chaguzi hasa Barani Afrika hazijawahi kuwaacha salama waafrika na bila ya mifakano ya kutosha. Inawezekana Imeshatoka miongozo mbalimbali lakini kadri tunavyozidi kufanya chaguzi...
  8. S

    GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    Its real Joe. Kwa mfano yeye anasema angetengeneza diversion za kisasa pale Tazara badala ya lile, kisha kilichobaki angekwenda kwenye mnada wa matreka klaaus Germany ama John deere Brazil kwa zile B kadhaa ambazo zitakua zimebaki. Atachukua matrekta na excavators za kutosha.Mto Ugalla kama...
  9. S

    GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    Asante Buddy kwa kuliona kosa la kimaandishi. Mzee Hashimu Rungwe naamanisha. Inawezekana kilo kua chini hata ya 400 inategemeana wazalisha vipi na mara ngapi kwa Mwaka kwa Technologia ipi. Fanya Power tiller ziwe na bei ya chini zaidi ya Bodaboda. Fanya wawe na hamu ya kununua matrekta zaidi...
  10. S

    GE2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

    Nakuelewa sana Mzee wangu. Na kama ulivyosema jana inawezekana kula wali kuku sio issue. Kama tunakula kuku kutoka mpaka Brazil kwa elfu 5000/-hatushindwi kuwazalisha wenyewe. Inawezekana pia kilo ya mchele ikauzwa sh 400/- Kama mbuga nzuri za kulima mpunga toka Magu mpaka Kwimba, Misungwi...
  11. S

    Usafiri wa Mwanza to Dar Jioni hii

    Wasogee mpaka Tinde ni rahisi pale'kuunganisha hata bus toka karagwe.
  12. S

    Kwanini namlilia Bi Sharifa Hussein Kalala, mama mlezi wa wanamarekani na Dkt. Ramadhani Dau

    Inna lillah wa inna ilayhi rajiuun. Usiache kuandika unatoa hamu ya waja kuwafanyia waja wenzao mema na mazuri na kwamba watu wema hawajesha bado wapo hata leo.
  13. S

    Kwa wizara hizi: Viwanda&Biashara na Kilimo

    Kama wizara ya mambo ya ndani asilimia kubwa imejiri watu wa ukanda fulani kwa ukakamavu na ushujaa basi wizara ya viwanda na Biashara wangepewa wachanga na wakinga. Makabila yetu yanachangia sana matokeo ya jitihada zetu katika maendeleo
  14. S

    Start where you are, use what you have and do what you can do-Joseph Kusaga

    Kwa vijana huu ni ujumbe wenu Either upate ajira, labda iwe serikalini sehem nyingine kwa nyakati hizi Ni hell of gamble on your life unaweza kopwa mshahaha hadi miezi 6 Lakini kuna fursa za kipekee katika mikoa hii RUKWA&KATAVI kwa anayeweza kukomaa.
Back
Top Bottom