Uchaguzi 2020 SPECIAL THREAD: Taarifa za Kampeni na Sera za Mgombea Urais kupitia CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda

Hata jina lake tu kuandika huwezi!!

Unataka ununue mchele 400/- kwa kilo, huoni ni dharau kwa wakulima!
Asante Buddy kwa kuliona kosa la kimaandishi. Mzee Hashimu Rungwe naamanisha. Inawezekana kilo kua chini hata ya 400 inategemeana wazalisha vipi na mara ngapi kwa Mwaka kwa Technologia ipi.

Fanya Power tiller ziwe na bei ya chini zaidi ya Bodaboda. Fanya wawe na hamu ya kununua matrekta zaidi ya Toyota wish kule vijijini????

Majimoto Rukwa mwezi july kg 1 ya mchele ilikua 700/- mchele msafi.
 
Nadhan huu ni Uzi wa ndoto za alinacha! Andikeni vitu real
Its real Joe.
Kwa mfano yeye anasema angetengeneza diversion za kisasa pale Tazara badala ya lile, kisha kilichobaki angekwenda kwenye mnada wa matreka klaaus Germany ama John deere Brazil kwa zile B kadhaa ambazo zitakua zimebaki.

Atachukua matrekta na excavators za kutosha.Mto Ugalla kama umefika wanayatega maji pale halafu zile tractor zinachafua ile mbuga
Anachukua na vijana kadhaa kutoka Vietnam.

Kwa Shinyanga kuna B kadhaa zimelala pale station Bandari kavu. umeshafika Mwakitolyo? Salawe? Mpaka ulipo anza mradi wa maji ziwa victoria?

Mbuga ile sio mchezo na maji ni ya ziwa victoria excavators zitafanya kazi, ni Wakulima wazuri wa mpunga na Dengu japo zao la dengu uzalishaji umepungua baada ya kuzinguliwa wanunuzi na wanunuzi wakubwa kupeleka mbegu Australia ambako wanazalisha kwa wingi sasa. Mkulima 1 Australia sawa na wakulima 1000 Shinyanga, kwa uzalishaji

its real Joe mpe kura Mzee uone.
 
Mgombea Urais Mh. Hashim Rungwe: Mafao ya Wafanyakazi lazima yalipwe kwa wakati.

Huyu Mzee ana hoja nzito, Laiti wafanyakazi wangejua siri kwenye hii mifuko yao ya akiba? Duh! wangeingia barabarani kuitoa CCM madarakani mapema sana.

Hivi ni wanini Ukaguzi huru wa Mahesabau ya NSSF na PSSSF haifanywi na wafanyakazi kupewa ripoti kila mwaka?

Malipo ya Mafao (Fao la Kukosa Kazi/kujitoa) na Fao La Wazee kipindi hiki hayatoki. Watu wanasumbuliwa, miezi 3 mpaka 4 hadi 6.

Kipindi hiki wafanyakazi wanasumbuliwa, fao la kukosa ajira na wazee. Pesa zimeenda wapi?

Usikute mmeshafanya yenu Tena eeh
 
Kutoka kwa hashimu rungwe anasema

Muda tuliopoteza shuleni kusoma LOGARITHM bora tungefundishwa kubet hahaha huyu mzee ana mambo kweli kweli

Lakini mzee ana hoja nzito sana ukichukulia juujuu unaweza sema ni upumbavu tu vijana wengi sana wamekuwa na uraibu wa kamari hizi za betting hii ni kwa sababu ya wengi ni jobles
 
FB_IMG_1597209921282.jpg

Au kusoma hii kitu
 
Daah Mzee wa kura mbili na hoja zake nzito za kufurahisha genge.
 
Mzee huwa napenda kumfuatilia sana,

2015-alisema atanunua ndege za kumwagilia mashambani

2020-ameahidi ataleta bahari pale dodoma,wanaDom mjiandae
 
Mzee huwa napenda kumfuatilia sana,

2015-alisema atanunua ndege za kumwagilia mashambani

2020-ataleta bahari pale dodoma,wanaDom mjiandae
Alinifurahisha alivyokuwa anasema sasa yani eti ni jambo la kawaida kabisa, nitafanya na wala sitasema sema nikishafanya basi jambo limefanyika limeisha.
 
Mzee hajasoma electronics kutengeneza spika inakupasa kitaalamu kutumia logarithm kuweza kujua unataka sauti ya spika isafiri umbali gani
 
Back
Top Bottom