Kwa wizara hizi: Viwanda&Biashara na Kilimo

Kwa wizara hizi: Viwanda&Biashara na Kilimo

Sinamboga

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
86
Reaction score
38
Kama wizara ya mambo ya ndani asilimia kubwa imejiri watu wa ukanda fulani kwa ukakamavu na ushujaa basi wizara ya viwanda na Biashara wangepewa wachanga na wakinga.
Makabila yetu yanachangia sana matokeo ya jitihada zetu katika maendeleo
 
Hatutaki ukabila wote ni watanzania kila kabila lina fursa sawa na lingine kikubwa uelewa wa mtu na utendaji wenye vigezo vilivyokubalika
 
Back
Top Bottom