Recent content by sinajinasasa

  1. sinajinasasa

    Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

    Una umri gani, nakushauri anza kuvuta bangi utakaa vizuri, acha ujinga na mseazo yako ya hovyo, hiyo ni mind tu esla huna tatizo
  2. sinajinasasa

    Utafutaji wa pesa unaathiri afya za watu, mfumo sahihi wa maisha unabadilika

    Naunga mkono hoja. Pesa ina tabia ya kuleta uraibu, addiction ndo maana inapendwa, na waliolta pesa wanajua kuwa pesa hutengeneza watumwa kwa vile kila mtu hupenda kazi ngumu ifanywe na mwingine kwa sababu ana pesa, pesa sio tatizo tatizo ni kuifanya pesa kuwa karatasi, yaani un print tu then...
  3. sinajinasasa

    Changamoto za Spa za Dar es Salaam kwa wafanyakazi

    We nawe toka kwenye uzi huu
  4. sinajinasasa

    Msaada wa muhimu zaidi kuwahi kuuhitaji maishani mwangu!

    Afu we mtoto bado mbichi kabisa
  5. sinajinasasa

    Nina Mgogoro kwenye ndoa, kila pesa anayopata Mke wangu anaenda kujenga kwao. Naomba msaada

    Not easy as you suggested! Divorce is something very complex, it has some ambiguities that no one want it
  6. sinajinasasa

    Ni wazi kwa sasa nahitaji msada nipate kazi. Nahitaji kazi

    Nahisi wewe ni kajizi fulani, yaani unataka uibe kwa maandishi, mbona unapenda kazi za pesa pesa? Unataka kuwa tajiri haraka haraka!! Tafuta kazi yako, mimi sina ya kukupa
  7. sinajinasasa

    Kanuni ya 10%: Jitahidi uishi

    Mzee wa kabobo! Man of the people
  8. sinajinasasa

    Msaada: Nimekuta kibubu kina 30,000/- tu baada ya kuweka pesa karibu miezi 5, nifanyeje?

    Yaani unahifadhi pesa nyumbani wakati benki zipo, na hujui zipo kiasi gani! Acheni ujinga mnaishi karne ya 18 huko nyie?
  9. sinajinasasa

    CCM msikubali, leteni mgombea mpya

    Sina haja ya kutoa salamu, ila ninyi CCM ni chama kinachotegemewa hakuna namna maana kwenye Chadema nako hakuaminiki kabisa , hawa jamaa hata wakichukua nchi nao hawatabadili katiba. Ila nyie Ma CCM uchaguzi wa mwaka 2025 msiruhusu huyu mama agombee tuleteeni majembe mengine hasa yale...
  10. sinajinasasa

    Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

    Hebu elezea mwanamke ambye umeishi naye zaidi ya miaka 20 na amezaa matoto usiongee kama unaongea na na kabinti ka miaka 20, assume wewe una kilo 73 mkeo ana kilo 95 kanenepa afu eti umuweke kifuani..
  11. sinajinasasa

    Mungu Yuko wapi?

    Mungu ni adui yetu, yaacheni ya Mungu huko huko juu, atuachie dunia yetu ssisi watu
  12. sinajinasasa

    Mungu Yuko wapi?

    Mimi niliachaga dini mazima mwaka 2012 hivi kuja huku, siabudu chochote zaidi yangu, kama Mungu yupo basi ninaishi naye mimi humu ndani yangu kusikoonekana, na hivyo mimi kuwa Mungu kama sehemu ya mawazo yake. Dini ni ushenzi kabisa unazidi kufunga watu na kuwa wajinga.
  13. sinajinasasa

    Nasumbuliwa na bawasiri

    Mimi nishaumwa na kupona ugonjwa huu, na unatesa na kujisikia huna hamu ya kuishi.. Lakini nimepona baada ya kutumia dawa za asili nikionyeshwa mti nikanywa majani yake na mizizi. Pia kubadilisha mfumo wa maisha wa ulaji ndo unapona kabisa, bawasili ni ugonjwa wa mgongo, hata godolo unalolalia...
  14. sinajinasasa

    Ni aidha uwe na mvuto au uwezo wa kuwahudumia. Vinginevyo wanawake hawana simile na wewe

    Ila ukikutana na mashine ya maana utatoa tu na hutojuta!
Back
Top Bottom