Hiyo ni topic ingine,Yupi wa UKWELI yupi wa UONGO???
Tutakuja na thread ya namna ya kuwatambua wa Kweli na wa UONGO!!
Hiyo ni topic ingine,Yupi wa UKWELI yupi wa UONGO???
Ila wengi ni WAONGO na ni wezi. Mmoja wao ni yule aliyeiba Mke wa Mtu kule KaskaziniHiyo ni topic ingine,
Tutakuja na thread ya namna ya kuwatambua wa Kweli na wa UONGO!!
Hahah so Masheikh na Maparoko hakuna kuwapa hata thumni..Dini ni za watu, asilimia 10 ya nini? Maujanja tu! Labda usaidie wanaokuzunguka kwa kuwa unajua shida zao. Hapo umesaidia watu wa Mungu.
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Mzee wa kabobo! Man of the peopleHii rule ipo kwenye nyanja 5;
1. Kibinafsi
2. Kifamilia
3. Kiimani
4. Kikazi
5. Kimahusiano
Naomba nizungumzie kwa upande wa Kibinafsi na Kiimani.
Sisi binadamu tumekuja Duniani kuishi na kumuabudu Mwenyezi Mungu. Basi tujitahidi katika kuishi Tuishi kweli kweli na katika Kuabudu tuabudu Kwelikweli, 10 percent rule inataka hivyo.
Mimi binafsi kwa kila hela inayoingia natenga 10% ya kufarahia maisha (Starehe). Natenga 10% kwa ajili ya Sadaka na mambo ya kijamii, ambayo kiimani inaitwa Fungu la Kumi. 80% zingine nazielekeza katika mambo mengine ambayo sitayaweka wazi.
Nakushauri kama kijana mpambanaji kila hela unayopata basi tenga 20% pembeni. Ambayo 10% inaenda katika starehe na 10% inaenda katika Sadaka na Jamii. Hela yoyote upatayo iwe kihalali au kwa wizi hii rule itakusaidia sana.
Nakuasa kuanzia leo tekeleza 10% percent rule, watu wengi wanafariki/kufa bila kuishi maisha. Just enjoy maisha, tenga 10℅ kwa kila kipato chako kufurahia maisha hapa Duniani.
Haujui siku yako ya kufa utaacha hela nyingi (labda) watu watagombania na kuzitawanya. Muda huo wewe hujazifaidi hela zako. Faidi hela zako kabla haujafa, kifo kipo anytime.
Ukipata 100,000 tenga 10,000 ya starehe, tenga 10,000 nyingine ya Sadaka.
Ikumbukwe sadaka sio lazima uipeleke Msikitini au Kanisani, unaweza mpa mtu yeyote ambae unahisi itamsaidia kwa lolote. Faida yake ni kubwa kuliko hicho kidogo ulichotoa.
Kuna watu wanafanya kazi mpaka wanakufa hawajawahi kuishi.
Ukithibitisha Kiongozi wa kiimani ana TABIA ya kuzini na waumini,Ila wengi ni WAONGO na ni wezi. Mmoja wao ni yule aliyeiba Mke wa Mtu kule Kaskazini
But TAFSIRI ya ndoto ni fumbo.. unaweza kuota KIFO kumbe tafsiri yake ni KUPANDA kwa Cheo.Ukithibitisha Kiongozi wa kiimani ana TABIA ya kuzini na waumini,
Au ukiona kiongozi wako ndotoni anazini,
Kimbia , toroka huko haraka sana, ni WA UONGO.
Wizo Bro wako anayaweza jamani, sio kwa hili sebene analonipa mpaka mtoto wa kike nashika adabu khaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] wizo niwacheeeee puliiiiizzz
Nacheka mpk machozi khaaaaaaa [emoji119]
Bro angu anakupatia sana inaelekea
Bro anaupiga mpk unamwagika 🤣🤣🤣Wizo Bro wako anayaweza jamani, sio kwa hili sebene analonipa mpaka mtoto wa kike nashika adabu khaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85][emoji85][emoji85]
"Mgeukie jirani yako mwambie BWANA anakupenda"Hivi mtu anakuambia "Yesu anakupenda" mimi sijui kuwa ananipenda? Halafu unataka nikupe sadaka kwa kuwa umenikumbusha kuwa Yesu ananipenda!! Hamapati senti yangu!
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]Starehe yetu kula, kunywa, kuvaa na kupata kikunio boraa [emoji85][emoji85]
Pesa inaendana na style[emoji23]Me nikiwa na pesa zangu nakuwa jeuri huwezi kuniweka mbuzi kagoma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo style za mademu wasio na pesa ebooh [emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23]Km wanatimiza mahitaji yote wataheshimika mpk washangae!!
Pesa hunipi, show za kusuasua afu unikataze vicoba thubutuuuu!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Una balaa sio dogo[emoji23][emoji23]Kosa pesa uone chuchu inavyozungushwa km anasearch frequency za DW [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa na finger coils?? [emoji23][emoji23][emoji23]Utakalishwa kila style, usiombe uwe na nywele ndefu zitavutwa mpk upate kizungu zungu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nina pesa uanze kunipangia “Panda juu” Thubutuuuuu!!! 🤣🤣🤣Pesa inaendana na style[emoji23]
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️Una balaa sio dogo[emoji23][emoji23]
Fridge lako haligandishi 🤣🤣🤣Ukiwa na finger coils?? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] utaishi miaka mingi sana kwenye hii dunia.Nina pesa uanze kunipangia “Panda juu” Thubutuuuuu!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]