Recent content by simwela

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada

    jamani naomba kusaidiwa ili niweze kudownload movies katika pc yangu niende link ipi??
  2. S

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Zitto Kabwe kuhusu Gazeti la Taifa Imara

    ulikua wapi kusema mwanzo mambo hayo?? mpaka leo mwenyewe mengi kasema wasisi wake eti na wewe ndo unajitetea...
  3. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanafunzi atanipeleka Jela

    we ticha nahis wewe sio mzima wa kulaaa nyama hyo
  4. S

    JamiiForums Tanzania PCB na PCM ipi ni ngumu advance kusoma

    ugumu wa PCB unakuja kwenye urefu wa sylubus basi,, bt PCB pia ili uweze kuipenda pale utapofaulu ni lazima umake sure umefaulu BAM(APLIED MATH) hapo utapata kozi nying sana chuo. PCM haina range kubwa kama PCB. kwangu naona PCB ngumu kuzid PCM bt kwa matokeo ya science kwa bongo wote PCM na...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sehemu ya kufanyia biashara ya Chips inahitajika

    sehemu ya kufanyia biashara aina ya chips(kiepe) inahitajika.. maeneo yoyote yale ya UBUNGO, KIMARA, MBEZI YA KIMARA... kama una hyo sehemu plz tuwasiliane.. 0755175252 au 0769225102...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kipi bora, kujiunga chuo au kidato cha tano?

    Ukiwa form 4, huwez kwenda kusoma elimu ya juu, coz elimu ya juu inaanzi na DEGREE. Labda useme kumpeleka chuo cha kawaida akaanze huku kusaka DIPLOMA.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Tahadhari ya picha! Inatisha

    RIP ndugu
  8. S

    JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    ronaldo kachukua akimzid mess takribani mara mbil ya kura za mess. jaman jamaa anajua
  9. S

    JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    ww ata hvo goli la hames"james" liko pouwa sema RVP lake lilikua extra odinary
  10. S

    JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    kma wamemalizabkupga
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zurich-Switzerland: Fifa Ballon D'Or 2014 award

    matokeo yalikuaje
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada sehemu ya kufanyia Field

    jaman natafuta sehemu ya kufanya field mwez wa pili.. mahali hapa hapa DAR, nasoma agriculture engineering... ata ukinambia kampuni tu linalojihusisha na mambo hayo ntafurah sana...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    unajua nin baba ako ndo mwanaune
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ana lips pana!

    kama ana lips pana tufanyaje sasa????
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ana lips pana!

    toa habar ya kijinga humu....
Back
Top Bottom