Huyu mwanafunzi atanipeleka Jela

Huyu mwanafunzi atanipeleka Jela

kwa hali hii sitaki kuwa na mtoto wa kike hakuna mazingira rafiki kwake.
 
Wanasemaga ukiona unapendwa sana na wanafunzi ujue una nyota ya chips mayai ila Mkuu. Mpole mimi amesema una nyota ya segerea..........ushauri wangu KAPOTEZEE TUU KASIJE KAKAFANYA SHULE NZIMA IKAKUDHARAU

Ndugu mwalim hata hutaniwii? huyo dent alikuwa anakutania tu.
 
kwa hali hii sitaki kuwa na mtoto wa kike hakuna mazingira rafiki kwake.

wakiume nao hatari huko mabording binadamu hawana maana! Ni kumwomba Mungu tuu atulelee watoto/wadogo zetu na sisi wenyew tuwe care nao! walim wenyewe kama huyo YAHOO TEACHER.
 
Wapo wengi wanafunzi wa aina hyo mwl mwenzangu.SIMAMIA ETHICS ZAKO NA ZINGATIA MAISHA YAKO NA YAKE YA BAADAE.
1.UKIMGONGA YEYE ATAFURAHI KWA KUWA LENGO LAKE LIMEKAMILIKA.
2.JIANDAE KUITWA SHEMEJI NA MARAFIK ZAKE,MWISHO WANAFUNZI WOTE WATAKUWA MASHEMEJI ZAKO.
3.WAPO WENG KICHWAN HAMNA KITU NA WANAWAZA NGONO TU
4.UKISHAMGONGA UJUE HATOSOMA TENA KWAN MUDA WOTE UKIWA CLASS YY ATAKUWA ANAWAZA MUDA GAN UTAMGEGEDA
5.WALIMU WENZAKO WOTE WATAKUWA MASHEMEJ ZAKE SO HATA KM CIV ALIKUWA ANAPATA 10 MTIHAN UJAO ATAPATA LESS THAN THAT COZ ANAFUNDSHWA NA SHEM WAKE.
6.BAADHI YA VIJANA WA MTAANI,WATU WAZIMA,BABA ZAO,NDUGU ZAO NDIO AMEMWANZISHIA HAYO MAMBO SO PLEASE USIWE SEHEMU YA MUENDELEZO WA HYO KITU.
NB;NILIFIKIA MAAMUZ YA KURESIGN KUWA MWL MKUU WA NIDHAMU KUENDELEA KUWA MWL WA KAWAIDA KTK SHULE 1 BAADA YA KUGUNDUA KUWA NILIMFUKUZA SHULE MWANAFUNZI WA KIKE KWA KUTOROKA BWENINI NA KULALA NJE YA SHULE BAADA YA WIKI 1 NIKAGUNDUA KUWA ALITOLEWA NA MWL MWENZANGU PALE SHULENI.
JIEPUSHE NA WANAFUNZI,KAA MBALI NAO
 
dunia ishaharibika tayar mkuu tupo walimu wachache tunaoweza kumlea mwanao

Watoto wa kike mbele ya walimu wengi wa kiume ni kama mbuzi mbele ya chui , muda wowote anaweza kuliwa. Naogopa wanetu ni VULNERABLE!
 
Inategemea nawe unajiwekaje. Hebu jiweke kama mwl mwenye kuelewa maadili!
 
Mimi namfundisha yupo form two ni mzuri jamani nyie anapenda kuwa close na mimi nikiwa nafundisha ananiangalia usoni mda wote yaani hana akili ata za darasani.

Aliniandikia barua eti kananipenda mimi sikumjibu akataka niwe namfundisha tution nikakataa akasema anataka awe anaweka hela za matumizi kwangu nikakubali jana usiku akatoroka prepo akaja kwangu hana sababu nikamrudisha class.

Leo asubuhi amekuja eti kunisaidia kazi za nyumbani nikakataa nikamfukuza ila natamani kumla ila nitavunja ethics za uwalimu. Jioni hii kalikuja eti kupiga simu alivyomalizaakanipa barua nikaichukua nikachana

jamani sijui nimfanyaje huyu mwanafunzi.

Amtazamaye mwanamke kwa kumtamani ameshazini naye moyoni!! TUBU NDUGU HII KWARESMA NA HATA BAADA NA MFUNGO HUU MUNGU ANAPENDA WATIIFU!
 
Mimi namfundisha yupo form two ni mzuri jamani nyie anapenda kuwa close na mimi nikiwa nafundisha ananiangalia usoni mda wote yaani hana akili ata za darasani.

Aliniandikia barua eti kananipenda mimi sikumjibu akataka niwe namfundisha tution nikakataa akasema anataka awe anaweka hela za matumizi kwangu nikakubali jana usiku akatoroka prepo akaja kwangu hana sababu nikamrudisha class.

Leo asubuhi amekuja eti kunisaidia kazi za nyumbani nikakataa nikamfukuza ila natamani kumla ila nitavunja ethics za uwalimu. Jioni hii kalikuja eti kupiga simu alivyomalizaakanipa barua nikaichukua nikachana

jamani sijui nimfanyaje huyu mwanafunzi.

Hadithi yako inatufundisha nini!?
 
Pole mwl mtihani huu umempata na jamaa yangu hapa ,hadí nilipoona uzi nimeshituka nikadhani ndo yeye,,,ila yeye amekanyonya mate tayari bado kukavua tu anaogopa katakolea hivyo katamponza na baba amepewa umbea wa jujuu na amesema anafuatilia na atahakikisha yeyote mwenye mahusiano na binti yake anamfunga jela. Afanyeje mwl huyu jamani?akipiga chini dogo analia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom