Tuna teseka mpaka sasa tunaenda kutimiza week tausi portal haifanyi kazi sasa sisi wafanyabishara tuna umia Leo ukifungua biashara ukiripa ikifika wakati wa malipo ukipitisha saa au siku faini dah!! Haha nawenyewe waturipe fidia
Mimi maoni yangu serikali ingeweza ndoa za muda mfupi kama siku 3 au week, mwezi, mwaka ili kupunguza wimbi kubwa la madanguro lakini hivi hivi ni ngumu na kwa sasa jiji la Dar es salaam kote pamechafuka akuna jipya naamini ndoa hizo zitapunguza ukahaba na ukienda guest bila cheti cha ndoa upesi...
Bob unajua vita au ndio unasoma ktk makaratasi tu na kuangalia movies hahahaaa bwana mkubwa pole sana mimi nimewahi kwenda Somalia kulikuwa na vita mimi nimeenda burundi kuna vita mimi nimeenda jongo kuna vita najua kilichotokea mpaka hivi siwezi sahau maisha yangu zilipigwa maeneo ya Burundi...
Kweli kak
Kweli kaka unajua kipofu akiona kwa nguvu za shetani au baadhi ya njia atatamani kwenda sehemu alizowahi kusikia haswa za anasa pia kipofu alifunguliwa kwa njia ya miujiza atakuwa anamshukuru Mungu na kumwabudu so hata hao wanawake walienda kwa kazi hiyo na watakuwa hivyo na watarudi...
Hahaha Tanzania hiyo ndio Tz ukiambiwa huku ndio mbele basi jua nyuma ndio mbele. Tema mate kushoto funika mwanaharamu hapite Aisee watu wanaanza project kampuni zipate tenda duh lol Aisee.
Unajua hapo kuna utani leo mtaniwako ukava nguo aliwai vaa yeye zamani alaf wewe vaa sasahiv lazima apate njia ya kukutania so swala hilo ktk simba na yanga lipo hivyo okey natumaini umeelewa
Hiyo ni kiasi kubwa sanaa
Lakini naona kama vile unawa support hivi kwa mbali heti wanarudi na simu macho 3 alaf anakupigia simu uende tuwekumchukua airport eeh! Ulitaka arudi na pesa!! ulitaka aichukue familia yake aipereke huko alikotoka!!! Duh kweli ! Mimi na wazo unajua baadhi ya nchi...
Unajua mkapa ndio Rais bora ktk maendeleo Tz bila mkapa sidhani technology ingekuwa tz bila mkapa kusingekuwa na mapato serikalini zaidi watu walikuwa wanakimbia kodi ya kichwa so hivi unakatwa na wameongeza kodi ya miamara ya simu so bila mkapa barabara sizingejengwa yeye katengeza Tanroad N.b...
Akuna
Akuna kisicho na kasoro
Hata wewe kuna vitu ulikosea na ukabakia unajiraum aah ingekuwa hivi au hivi eeeh and the day ukajifunza alaf unapokuwa kiongozi sio wewe tu unaongoza wapo washauri wako so kuna baadhi unapotezwa
Baadhi ya sifa umeamishia kwa jk wakati ni upande wa mkapa maana mkopo mkapa ndio alianzisha jk akaja kutanua na kufanya kutengeneza nathami kitengo cha mikopo na kuruhusu viongozi wa chuo kuhusika nadhani aliboresha tu
Mimi naamini awamu ya 3 maana niliona mabadiliko makubwa ktk serikali maana ilitengeneza vyanzo vya mapato serikalini e.g Ewura, TRA, TAKUKRU na kadhalika pia uhuru wa vyombo vya habari ndipo ulipo anza kukuwa so barabara zikaanza kujengwa JK na Magu ndio wakaja kuendeleza kujenga barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.