simonsize
Member
- Oct 25, 2014
- 37
- 39
Kweli kak
Kweli kaka unajua kipofu akiona kwa nguvu za shetani au baadhi ya njia atatamani kwenda sehemu alizowahi kusikia haswa za anasa pia kipofu alifunguliwa kwa njia ya miujiza atakuwa anamshukuru Mungu na kumwabudu so hata hao wanawake walienda kwa kazi hiyo na watakuwa hivyo na watarudi vile vile na zaidi watarudi na magonjwaMkuu pole kama kwenye maelezo nimekosea kueleza. Ila mimi nashangaa yaani mtu ukimfatilia mitandaoni anavaa manywele ya ghali, anakunywa pombe za ghali kwenye makumbu makubwa ya starehe tena kwenye nchi za wenzetu. ALAFU ANARUDI NA IPHONE T