Nimeshangaa Barbara wa Simba kukataa kutumia mic ya njano

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
733
Reaction score
570
Wakuu habar zenu

Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze

itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?

Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la ajabu

Kama wewe mshabiki wa SIMBA au YANGA basi swala la kutotumia rangi ya timu pinzan kwang mm naona ni ufinyu wa fikra

Naomba nielimishwe kama nimekosea

BARBARA WA SIMBA AIKATAA MIC YA NJANO
 
Usichukulie serious sana, vitu vingine ni jokes tu za kuchangamsha ukumbi.

Kaona tu kulikuwa na red akaitaka badala ya njano ila isingekuwepo angetumia tu njano

Sio kama utopolo wanaowavimbia hadi sponsor wabadili rangi kisa eti ni ya Simba

Mbona green ni rangi ya yanga pia ila hajawaambia CRDB waibadilishe?
 
SWALI: LOGO registered ya GSM ina rangi gani? LOGO ya NBC ina rangi gani?

Mbona YANGA MLIGOMEA KUVAA REGISTERED LOGO with their original colors?
Kaa kwa kutumia Meku

Uhuru wa kuongea ni wako mkuu
 
Wakuu habar zenu

Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze

itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?

Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la ajabu

Kama wewe mshabiki wa SIMBA au YANGA basi swala la kutotumia rangi ya timu pinzan kwang mm naona ni ufinyu wa fikra

Naomba nielimishwe kama nimekosea

BARBARA WA SIMBA AIKATAA MIC YA NJANO

wewe si unaona jambo hilo ni dogo kwa sababu huujui ushabiki wa kimpira
 
Wakuu habar zenu

Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze

itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?

Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la ajabu

Kama wewe mshabiki wa SIMBA au YANGA basi swala la kutotumia rangi ya timu pinzan kwang mm naona ni ufinyu wa fikra

Naomba nielimishwe kama nimekosea

BARBARA WA SIMBA AIKATAA MIC YA NJANO

Shangaa tu
 
Huenda haitaki Ccm mana na wao wanavaa yelo, haswa akikumbuka bei ya 'wese' ilivyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]!
 
Wakuu habar zenu

Watalamu wa mambo ya mpira Naomba mnijuze

itikad za ushabiki wa mpira zinamahusiano gani na rangi?

Kitendo cha Barbara kutaaa kutumia mic ya njano mm naona Kama ni jambo la ajabu

Kama wewe mshabiki wa SIMBA au YANGA basi swala la kutotumia rangi ya timu pinzan kwang mm naona ni ufinyu wa fikra

Naomba nielimishwe kama nimekosea

BARBARA WA SIMBA AIKATAA MIC YA NJANO

Ila hukushangaa Yanga SC walivyokataa Kuvaa Jezi za waliokuwa Wadhamini wa Ligi Kuu za Vodacom ambazo zilikuwa na sehemu ndogo mno ya Rangi Nyekundu katika Jezi zao kwa Vilabu vyote.

Kumbe aliyekuwa Kocha wenu Mkuu Yanga SC Luc Eymael Raia wa nchini Belgium aliposema ( ipo YouTube ) kuwa Yanga SC ni Nyani, Mbwa na Sokwe wala hakukosea.

Mnafiki mkubwa Wewe.
 
...Usichukue Kila Kitu Serious mno. Barbra alikuwa anafurahisha Baraza TU. Ni utani TU amefanya. Haina maana kwamba ingekuwepo Mike ya Njano TU asingehutubia. Sana Sana umsifu Kwa kuona opportunity ya kufanya utani na akaichamkia haraka!
Yeye Sio wale waliochachamaa na Logo!
 
Back
Top Bottom