Wasichana Mabinti pisi kali na mmomonyoko

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
370
Reaction score
1,227
Wasalam.

Naomba nisiwachoshe sana niwapeleke tu kwenye dhumuni la hii thread [emoji3468]

Kwa Muda sasa wa kama miaka miwili kumekua na wimbi kubwa sana la wale wadada wanaojiita pisi kali, Mali safi na Slay Queens kuvuka border kwenda mataifa ya nje. Wenyewe husema wanaenda kwenye ajira, masomo, au kusalimia ndugu lakini ukifatilia kwa ukaribu unakuta kilichowapeleka ni biashara haramu ya kuuza mwili.

Vibinti hivi, vingi unakuta ni miaka 23-30. Wasichana ambao tayari wengi wao wameacha watoto wadogo kwa wazazi wao, ndugu na marafiki ili wao wakayatafute maisha kwa kufanya zinaa.

Mara nyingi mabinti hawa wakirudi hurudi wanashida kuliko hata walivoondoka. Ilikua ukifuatilia status na maisha yao ya mtandaoni wakiwa huko nje ni full Bata tuu. Ila akirudi kama alibahatika simu macho matatu ndo hio. Mtu ameenda nchi ya watu kaishi mwaka mzima. Kasema ameenda kutafuta maisha yake yeye na mtoto wake, ila akirudi Tanzania, kufikia airport tuu inabidi akuombe ukamchukue au umtumie nauli ya Tax!

Ukimchunguza labda hela alikua anatuma kwa mtoto hakuna, akirudi amefubaa kama Mandonga mtu kazi. Unashindwa kujua je, ni sababu hii kazi ni ya laana na haina maendeleo au ni kushindwa kupangilia maisha na ulimbukeni wa kuishi ardhi ya kigeni?

Je, Kisheria iko vipi? Je hawa wanaojiita ma madam ambao wao ni watanzania ambao wako Dubai, Uturuki na india na wao kazi yao ni kuwapa michongo wadada walioko huku bongo kwenda huko nje na kufanyiwa ukuadi.
 
Huko dubai si ndio tulisikia wanakula mpaka...

images - 2022-08-04T090708.768.jpeg
 
Human trafficking hiyo,ni kesi kubwa sana,criminal case hiyo,sexual slavery,

Mamlaka husika wachunguze hili jambo.

Sasa mbona kuna hadi ambao wana admit kabisa kwamba ndio wanafanya hivo. Ndio wanachukua wadada bongo na kuwasafirisha.

Sasa inakuaje hawachukuliwi hatua?

Zipo pia cases kadhaa za wadada wanalalamika kwa kutoroka, je balozi za nchi husika hapa kwetu na balozi zetu kwenye nchi husika wana nafasi gani katika hili?

Mfano binti akipelekwa kule kwa kurubuniwa akafika akakuta biashara ni mwili wake, je ndugu zake huku wakifika ubalozi wa nchi husika i.e ubalozi wa India, atapata msaada gani?
Au dada kule akaamia kwenda ubalozi wa Tanzania pale india, atapata msaada gani?
 
Kama kweli ni kosa na mhusika haoneshi ushirikiano ina maana anafurahia na hakuna wa kulaumiwa!
 
Sasa mbona kuna hadi ambao wana admit kabisa kwamba ndio wanafanya hivo. Ndio wanachukua wadada bongo na kuwasafirisha.

Sasa inakuaje hawachukuliwi hatua?

Zipo pia cases kadhaa za wadada wanalalamika kwa kutoroka, je balozi za nchi husika hapa kwetu na balozi zetu kwenye nchi husika wana nafasi gani katika hili?

Mfano binti akipelekwa kule kwa kurubuniwa akafika akakuta biashara ni mwili wake, je ndugu zake huku wakifika ubalozi wa nchi husika i.e ubalozi wa India, atapata msaada gani?
Au dada kule akaamia kwenda ubalozi wa Tanzania pale india, atapata msaada gani?
Ndio maana mkuu,mstari wa mwisho nimeandika "Mamlaka husika wachunguze hili jambo"
Kuchunguza ni pamoja na kua na evidence.
 
Hiyo ni kiasi kubwa sanaa

Lakini naona kama vile unawa support hivi kwa mbali heti wanarudi na simu macho 3 alaf anakupigia simu uende tuwekumchukua airport eeh! Ulitaka arudi na pesa!! ulitaka aichukue familia yake aipereke huko alikotoka!!! Duh kweli ! Mimi na wazo unajua baadhi ya nchi zilizo endelea wana utaratibu juu ya mahusiano, naona wanaume awapendi kuowa na baadhi ya wanawake awapendi kuolewa, ingetungwa sheria kuwe na ndoa ya siku 3 week, mwezi, hata mwaka ili kupunguza wimbi la stress na ukahaba na umalaya unakuta mtu anarudi nyumbani mwanamke mkali kisa tu anajua wameza nae au awezi muacha anamtukana mwanaume anamnyima unyumba so mara 5 au mara 3 aendi nunua mapya vile vile hata mwanaume alimfanyia mwanamke na yeye atafuti mchipuko
Maoni ktk katiba mpya kuwepo na ndoa za muda mfupi na mrefu hata siku 3
Wasalam.

Naomba nisiwachoshe sana niwapeleke tu kwenye dhumuni la hii thread [emoji3468]

Kwa Muda sasa wa kama miaka miwili kumekua na wimbi kubwa sana la wale wadada wanaojiita pisi kali, Mali safi na Slay Queens kuvuka border kwenda mataifa ya nje. Wenyewe husema wanaenda kwenye ajira, masomo, au kusalimia ndugu lakini ukifatilia kwa ukaribu unakuta kilichowapeleka ni biashara haramu ya kuuza mwili.

Vibinti hivi, vingi unakuta ni miaka 23-30. Wasichana ambao tayari wengi wao wameacha watoto wadogo kwa wazazi wao, ndugu na marafiki ili wao wakayatafute maisha kwa kufanya zinaa.

Mara nyingi mabinti hawa wakirudi hurudi wanashida kuliko hata walivoondoka. Ilikua ukifuatilia status na maisha yao ya mtandaoni wakiwa huko nje ni full Bata tuu. Ila akirudi kama alibahatika simu macho matatu ndo hio. Mtu ameenda nchi ya watu kaishi mwaka mzima. Kasema ameenda kutafuta maisha yake yeye na mtoto wake, ila akirudi Tanzania, kufikia airport tuu inabidi akuombe ukamchukue au umtumie nauli ya Tax!

Ukimchunguza labda hela alikua anatuma kwa mtoto hakuna, akirudi amefubaa kama Mandonga mtu kazi. Unashindwa kujua je, ni sababu hii kazi ni ya laana na haina maendeleo au ni kushindwa kupangilia maisha na ulimbukeni wa kuishi ardhi ya kigeni?

Je, Kisheria iko vipi? Je hawa wanaojiita ma madam ambao wao ni watanzania ambao wako Dubai, Uturuki na india na wao kazi yao ni kuwapa michongo wadada walioko huku bongo kwenda huko nje na kufanyiwa ukuadi.
 
Hiyo ni kiasi kubwa sanaa

Lakini naona kama vile unawa support hivi kwa mbali heti wanarudi na simu macho 3 alaf anakupigia simu uende tuwekumchukua airport eeh! Ulitaka arudi na pesa!! ulitaka aichukue familia yake aipereke huko alikotoka!!! Duh kweli ! Mimi na wazo unajua baadhi ya nchi zilizo endelea wana utaratibu juu ya mahusiano, naona wanaume awapendi kuowa na baadhi ya wanawake awapendi kuolewa, ingetungwa sheria kuwe na ndoa ya siku 3 week, mwezi, hata mwaka ili kupunguza wimbi la stress na ukahaba na umalaya unakuta mtu anarudi nyumbani mwanamke mkali kisa tu anajua wameza nae au awezi muacha anamtukana mwanaume anamnyima unyumba so mara 5 au mara 3 aendi nunua mapya vile vile hata mwanaume alimfanyia mwanamke na yeye atafuti mchipuko
Maoni ktk katiba mpya kuwepo na ndoa za muda mfupi na mrefu hata siku 3

Mkuu pole kama kwenye maelezo nimekosea kueleza. Ila mimi nashangaa yaani mtu ukimfatilia mitandaoni anavaa manywele ya ghali, anakunywa pombe za ghali kwenye makumbu makubwa ya starehe tena kwenye nchi za wenzetu. ALAFU ANARUDI NA IPHONE TUU
 
Back
Top Bottom