TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
20/07/2016
TAREHE 23/07/2016 SIKU MUHIMU KWA CCM NA TAIFA KWA UJUMLA
Ndugu waandishi wa habari na Watanzania kwa ujumla, poleni na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa.
Sote tunaelewa kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya Mkutano Maalum Julai 23...
Katika kipindi ambacho makundi ndani ya CCM yanaonekana kupwaya, lakini inaonekana kama kuna vita ya chini kwa chini inayoendelea ndani ya chama hicho. Kutokana na figisu za chini kwa chini, hivi sasa wameibuka vijana ambao wanajipambanua kama 'CCM Imani' ambao wanasema wamedhamiria kupambana na...
Kauli ya Rais ya Kuzuia Vyama vya Siasa Kufanya Shughuli za Siasa kwa Miaka Mitano ni Tangazo la Vita dhidi ya Demokrasia na Mfumo wa Vyama vingi Nchini
Tumepokea kwa MSHTUKO na masikitiko makubwa kauli ya Rais kwamba vyama vya siasa havipaswi kufanya siasa isipokuwa wakati wa Kampeni na...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
TAREHE 23/06/2016
UTAFITI
MIEZI 8 TOKA MHE RAIS JOHN MAGUFULI AMECHAGULIWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Ndugu waandishi wa habari habari za leo na pole kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Taarifa yetu itajikita katika maeneo makuu...
Wakuu,
Tangu kutumbuliwa kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, Mei 20, 2016 na Mhe. Rais John Magufuli kwa madai ya kuingia Bungeni akiwa 'amelamba kinywaji', kumekuwa na mivutano mingi ya kisiasa kuanzia huko Bungeni hadi jimboni Misungwi.
Kuna kundi la madiwa 19 ambao...
Wandugu,
Lile sekeseke la kufutwa kazi kwa aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Charles Kitwanga, kwa tuhuma za kulewa akiwa kazini limechukua sura mpya ambapo sasa madiwani wa Wilaya ya Misungwi katika jimbo ambalo analiwakilisha Kitwanga, wamekuja na kali baada ya kuamua kufungua kesi...
Wadau, nimepokea taarifa hii hapa:
KASHFA ya Lugumi, madai ya uswahiba wake na Rais John Magufuli na kasi ya utumbuaji wa majipu wizarani kwake ni miongoni mwa sababu zilizohalalisha mtandao kumng’oa Charles Kitwanga katika Wizara ya Mambo ya Ndani.
Taarifa zilizopatikana mwishoni mwa wiki hii...
Kuna taarifa kwamba, Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) imetuhumiwa kupokea Shs. 30 milioni ili kuzima kesi ya mauaji ya mwanafunzi Joel Chacha kabla haijafikishwa mahakamani.
Machi 21, 2016 baba wa marehemu, Peter Chacha, amemwandikia barua Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji George Masaju...
For 24 years Bill and Hillary Clinton have courted Wall Street money with notable success. During that time the New York banks contributed:
* $11.17 million to Bill Clinton’s presidential campaign in 1992.
*$28.37 million for his re-election in 1996.
*$2.13 million to Hillary Clinton’s...
Dawn Paley is one of the best journalists covering the Drug War in Latin America in the English language. Her work has been published in NACLA and many other international publications, covering Latin America extensively.
Dawn’s book, Drug War Capitalism (AK Press 2014), provides a provocative...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.