Recent content by simcard1

  1. simcard1

    Hisa za kampuni ya almasi ya Petra zapata anguko kuu, zaporomoka kwa 23%

    Hahahha nahisi intelligence ndan ya hii comment. Nadhani inabidi watanzania tupate elimu kwanza. Rushwa na wazungu kutuibia ni kwa sababu uelewa wetu bado mdogo sana kwa ujumla. Nadhani tunahitaji kuja na njia yetu tofauti ya kutufanya tuendelee kama nchi za kiafrika. Hawa wazungu wamekuwa...
  2. simcard1

    Haki haitendeki, tumeamua kusimama na #FreeMaxenceMelo

    Nina pata shida kuelewa uwezo wako wa kufikiria kama upo chini ya miaka 18 nadhan tatizo ni umri wako lakini kama una zaidi ya miaka 18 basi wewe utakuwa na shida
  3. simcard1

    Wizara ya Elimu: Mikopo tumetoa kwa vigezo. Wanafunzi wengine hutumia mikopo kununulia Tv na pombe

    Kauli mbovu [[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] Kama viongozi ndo hawa tuna shida kweli watanzania
  4. simcard1

    Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Hii tabia ya kuharibu viti sio kitu kizuri au sisi watanzania tumezoea majukwaa ka ya ccm kirumba.. Referee na wasaidizi wake nao wamekuwa pumba sana... Lakini ndo mpira ...kikubwa tujifunze kutunza vyetu
  5. simcard1

    Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Huo usawa unaoongelea haupo.. Mbona haujalalamika utofauti wa ufaulu wa hao madaktari na walimu ili wadahiriwe kwenye hizo degree.. Fikiria kabla ya kuandika
  6. simcard1

    Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

    Hili Jambo kama ni kweli basi hii serikali inawabidi wajiulize tena, huyo raia wa kawaida wanayempigania awe na maisha mazuri ni nani, kama sio huyu daktari anayetoka chuo na kufanya mafunzo ya vitendo... Maisha ya intern ni sehem ngumu sanA mtu anafanya kazi hata muda wa kupumzika inakuwa...
  7. simcard1

    Ukweli na uwazi kwenye mapenzi

    Kweli kabisa.... Tuache kuuana kisa kukomoana tufe wengi.... Haina maana kabisa
  8. simcard1

    Faini Tshs 300,000 kucheza pool table asubuhi

    Kuna wanaocheza asubuhi sana tena jumatatu kwenye tablet, simu na computer... Haaahaaa
  9. simcard1

    Serikali yatangaza Operesheni Kamata Makahaba na wateja wao

    Hii kweli ni kushindwa kazi Hivi huyu waziri na hawa makamanda wa polisi wameona njia sahihi ya kupunguza maambukizi ya ukimwi ni kukamata makahaba, Hapa ni kutafuta kuandikwa kwenye kurasa za mbele za magazeti yetu. Wanashindwa kuona elimu ya ukimwi haitolewi kama awali, kwa kiwango cha juu Ka...
  10. simcard1

    Wafanyakazi wa hospital ya Butimba Nyamagana wagoma

    Mkuu, Hawa jamaa hata hawaoni Dr anahangaika na nini Daktari wa tz waliowengi wanapata shida sana. Hawa wanasiasa inabidi wawe makini na maamuzi yao hizi kiki wanazotaka zitaleta shida
  11. simcard1

    Tetesi: Mzungu/Muitaliano wa January Makamba kuongea na waandishi wa Habari kesho Saa Nane, Hyatt Hotel

    Hhahahaa Huyo muitaliano hajui kutoa rushwa ni kosa pia Yeye pia atasota nyuma ya nondo. Au anataka kifo cha wengi na wazir tajwa .. Kupanic kubaya Duh!! Bongo patamu sana
  12. simcard1

    Trafiki akijitahidi kumtongoza mzungu kwa kiingereza huku akivunja sheria za barabarani

    Huyu jamaa ni shida.. Hii ni aibu kwa jeshi na raia wa Tanzania
  13. simcard1

    Wakati tunafurahia usomaji wa namba na Majipu, nchi inakwenda huku...

    Shida yako ni kwamba sijawahi kukuona ukiongelea kitu kwa mtazamo chanya siku zote kulalamika ndo kusema wewe ni bingwa wa kutafuta matatizo au wewe ni mbinafsi sana huwezi kumsifia mtu mwingine. Basi jifunze kusifia watu wengine hao ndo watakusaidia ukiwa hoi kitandani na kukuzika. Nadhani...
Back
Top Bottom