Recent content by simba wa dodoma

  1. simba wa dodoma

    Natamani sana kuacha pombe ila nashindwa

    Mimi kwa upande nikiwaga serious kwenye kipindi Cha maombi au kufunga au nikiwa karibu na mungu kipindi flani najikutaga automatic pombe naichukuia na naacha na hata zile kampani za pombe uwa hazinitafuti ZINAKIMBIA na hii kitu sio mara moja ni zaidi ya mara mbili na hapa uwezi amini nimemaliza...
  2. simba wa dodoma

    Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  3. simba wa dodoma

    Aina Nne za Utajiri: Njia ya Kuelekea Maisha Yenye Mafanikio

    Umeongea mengi ujakutana kukosa hela alafu una madeni mengi aalfu jobless wewe acha kabisa
  4. simba wa dodoma

    Madeni Yanakutia Stress? Fanya Hivi...

    Madeni hayaepukiki ila sio yakuyaendekeza Mimi Nina madeni Hadi nakosa amani na mengine hayalipikii ila katika Uzi wako nimekuelewa Sana ila kiukweli ukiona mtu aliefanikiwa ndio anamadeni mengi mfano mo dewji yee ndio tajiri no moja ila ndio anaongoza kwa madeni hapa Tanzania mfano hata...
  5. simba wa dodoma

    Uliishi maisha gani baada ya kupoteza Kazi au Biashara?

    Ukisha ajiliwa ukitegemea mshahara uwezi kuweka akina Ndugu yangu subiri yakukute mfumo wa ajira ulivyo wanakulipa hela hela ya nauli, Kodi na kusurved kwenye kula tu wanakupigia mahesabu ndio maana hata ukifukuzwa kazi leo mwezi tu Ile hela kiunus mgongo ikiisha unaalia pia hata ukisema iingie...
  6. simba wa dodoma

    Nifanye nini niongezeke uzito?

    Nicheki whatapp 0786426284 nikupe dawa ambayo itakuongeza appitete ya kula haina ghalama
  7. simba wa dodoma

    Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Karibuni mniungishe perfume 0786426284 piga simu sema TIBA_PERFUME nauza perfume za aina zote boss zangu, duka langu lipo (EXTERNAL UBUNGO) watu wa dar es salaam nafanya free delivered NA mkoani natuma kwa ghalama za mteja pia unaweza ukatembelea page yangu ya instagrame natumia kama...
  8. simba wa dodoma

    Nina mpango wa kukopa benki milioni 17, biashara gani inanifaa?

    nichek whatapp 0786426284 tupige biashara ninauziefu wa biashara ya urembo miaka 5 sasa hivi nipo kwenye game
  9. simba wa dodoma

    Jamani mwanaume Msafi anavutia asikwambie mtu

    Haya karibu kwenye page yangu insta TIBA_PERFUME wakaka tunukie sasa perdume zipo OG KWA bei rahisi
  10. simba wa dodoma

    Nahitaji kuongeza mwili (Kunenepa)

    Nipigie au nichek whatapp 0786426284 nikupe dawa itakuongezea appetite ya kula na utanenepa mstokeo yake week tu
  11. simba wa dodoma

    Pafyumu gani ni nzuri kwa wanawake na wanaume?

    Karibuni mniungishe perfume 0786426284 piga simu sema TIBA_PERFUME nauza perfume za aina zote boss zangu, duka langu lipo (EXTERNAL UBUNGO) watu wa dar es salaam nafanya free delivered NA mkoani natuma kwa ghalama za mteja pia unaweza ukatembelea page yangu ya instagrame natumia kama...
  12. simba wa dodoma

    Uzi maalum kwa Ajili ya perfume na manukato mbalimbali yenye kukonga

    Karibuni mniungishe perfume 0786426284 piga simu sema TIBA_PERFUME nauza perfume za aina zote boss zangu, duka langu lipo (EXTERNAL UBUNGO) watu wa dar es salaam nafanya free delivered NA mkoani natuma kwa ghalama za mteja pia unaweza ukatembelea page yangu ya instagrame natumia kama...
  13. simba wa dodoma

    Maswali tunayoulizwa watu wembamba mara kwa mara

    Tunaulizwa tuache pombe ngumu
  14. simba wa dodoma

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Tafuta hela wanawake wengi watakufata hadi utawakimbia huyo unamngania nini embu fikilia mtu diamond, hamornize au fred vunja ni mwanamke gani akimtaka atamkataa shida yako unatumia nguvu kutafuta mtu sahihi wakati hizo nguvu zibadilishe kutafuya hela utakuja kupata watu sahihii
Back
Top Bottom