Recent content by simba songea

  1. simba songea

    Naomba kufahamu kuhusu driving Course pale NIT

    Nina Leseni Class "D" Ina mwaka mmoja chet cha udereva kipo.nataka nikaongeze daraja "E" je, inawezekena? Na nikasomee wapi NIT au VETA mwenye experience atujuze kidogo.
  2. simba songea

    Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    Afisa wa jeshi anaetakiwa kupigiwa salute ni 2lt hadi CDF na kuwa afisa wa jeshi lazima ukamisheni na rais ndo anatoa kamisheni warant officer ni mteule wa rais siyo kamisheni kama hutaelewa sema tukueleweshe ndgu Kwani nani kasema Warranty officer ni Kamisheni? Kama umenireply mimi basi...
  3. simba songea

    Kumbe Magereza wanawapigia salute JWTZ?

    Upo sahihi, zidi kutoa darasa kwa vichwa ngumu wasioelewa[emoji106] [emoji106] Pamoja man. Mkuu unajua hivi vyeo uchanganya kama haupo chomboni au si mfuatiliaji wa haya mambo. Nashangaa watu wanavyobishana na ukweli. Ila Mkuu nmekubali Reply zako zipo Correct
  4. simba songea

    Kwanini duniani kuna watu weusi (black people) na weupe (white people) wakati asili yetu ni moja?

    Jibu ni hayo mabadiliko hayajafanyika kwa siku moja. Ni miaka na miaka si chini ya miaka milion moja. Maana kumbuka binadamu wa kale aliishi miaka zaid ya 600 mfano Nuhu. So Mabadiliko hayakutokea mara moja.
  5. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Search Mjue Jasusi Paul Kagame sehemu ya pili Nimetupia
  6. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame - Sehemu ya Pili

    JASUSI PAUL KAGAME ALIEITOA RWANDA KWENYE ARDHI YA DAMU (Simba Wa Vita Alieikimbia Rwanda Kwa Mtutu na kurudi kuikomboa Kwa Mtutu). version. 2 Naam Baada Ya Maombi mengi kuhusu muendelezo wa Jasusi Kagame, Leo nimeona niwaletee Simulizi ya kweli ya Paul Kagame. Kuhusu vita...
  7. simba songea

    Ukiniunganusha na kazi yoyote 250k, 50K nakupa wewe mwaka mzima

    Duh! Mkuu ulivyo rahisisha kama Kumeza mate vile😂😂
  8. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Leo ndio naileta sehemu ya Pili. Vipi nifungue uzi mpya au niutipie humu humu kwenye huu uzi?
  9. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Naileta leo Mkuu
  10. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Kama utasubiria uone intelijisia yake hautaambulia kitu. Maana kuna siri kubwa juu ya hizi kazi. We tambua Ushindi wa vita yeyote kuna mchango wa majasusi. Wajuzi hawasubirii hii simulizi kama wewe unavyosubiria
  11. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Sana Wewe Subiri sehemu ya pili utaamini unachosema
  12. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    Ina sehemu ya pili. Ngoja iishe yote utaelewa
  13. simba songea

    Mjue jasusi Paul Kagame

    MJUE JASUSI(intelejinsia) PAUL KAGAME SIMBA WA VITA. (Aliyeiweka Uganda Kiganjani Mwake). Version. 1 Unaposikia jina Paul Kagame kama mwana diplomasia mbobezi lazima ushtuke, Huyu jamaa ni mtu hatari sana katika uwanja wa vita. Ni moja ya majasusi wachache wanao ingia mapambanoni wenyewe bila...
  14. simba songea

    Hii kali!

    Mmalinyi huyu
  15. simba songea

    Hii kali!

Back
Top Bottom