Mjue jasusi Paul Kagame

Mjue jasusi Paul Kagame

Umehadithiwa au ulikuwa sehemu ya washirika wa PK.

Au ni Stori ya kukufurahisha wewe mwenyewe?

Maana hadithi za kijasusi lazima msimuliaji awe sehemu ya Ujasusi. Sasa sijajua Mtoa Post upo upande gani.
Huyo ni mtusi kitengo cha ICT PROMO.
Kwa ajili ya kumtukuza mfalme.
Inaelekea wanapata hela ndefu maana wanamfanya His Excellency PK kuwa ni mtu kajaliwa maarifa ambayo binadamu wengine hawana na kwamba Africa nzima hakuna mtu intelligent kama PK. Hiyo ndio picha wanayoijenga.

Sio mbaya mradi Banyarwanda wote waishi vizuri kwa amani na upendo na historia itaonyesha uhalisia anavyojenga nchi ktk kila eneo uchumi kuondoa ukabila na maendeleo ya nchi kwa ujumla.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ujasusi tu hata maendeleo hana mpinzani



IMG_20191223_055015.jpg
IMG_20191223_060417.jpg
 
Hakuna muunganiko wa story yako jasusišŸ˜‚,anyway tunasubiri sehemu ya pili ili uendelee kutueleza kuhusu "intelejinsia" ya huyo ok.
Kama utasubiria uone intelijisia yake hautaambulia kitu. Maana kuna siri kubwa juu ya hizi kazi. We tambua Ushindi wa vita yeyote kuna mchango wa majasusi. Wajuzi hawasubirii hii simulizi kama wewe unavyosubiria
 
kama unalipwa kuandika hadithi za abunuasi juu ya PK...sawa

but kama unajisemea kwamba PK ndiye aliyemtimua Amini...INA kupasa utoe maelezo ya kutosha..yaliyoshiba

na si abrakadabra

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo ndio naileta sehemu ya Pili. Vipi nifungue uzi mpya au niutipie humu humu kwenye huu uzi?
 
Hayo waliyokuwa wanafanya akina Kagame na Museveni yalibarikiwa Ikulu ya Magogoni na usikute hata unavyomsifia Kagame Backup ya Intelligence alikuwa anaipata kutoka TZ, Jiulize swali kama anaijua vizuri Intelligence mbona Kashindwa kumuondoa Kaguta pale UG, Mbona M23 ilikufa kifo cha mende baada ya General Mwakibolwa kuwapiga mizinga ya kutosha hadi Kagame akaingia bifu na JK?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom