Recent content by Simba mundu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ilidhani itafanya "Cheap bargaining" na Lissu huko mbele ya safari kwenye kesi. Mwamba kakaza mpaka mwisho!

    Hay o maneno yanaumiza sana kina Yona na mwaipopo wakiona yupo tayar kufa na kasema hakuna kesi ndogo eti afungwe miaka 3 Kwa kesi ya uhaini
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na utimamu wa kihisia na kiakili, maneno ya mwisho ya Tundu Lisu lazima yatakufikirisha na kukuumiza

    Ngoja mwaipopo asikie hicho alichoandika mtashangaa
  3. S

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Ni haki ya kila mtanzania kuishi na hapaswi mtu yeyote kupotezwa kila nafsi inastahili kulindwa ,hata mtesi wa CDM akipotea Bado watamuulizia ,hata mwaipopo pamoja na mabaya yake na vikos vyake vya ugaidi alivyounda kuua na kutesa watanzania vya "chui weus" akipotea ni lazma auliziwe Kwa nguvu zote
  4. S

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Tulia PhD amseme form 4 failure,unataka division 4 form afundishe nn watu wenye PhD ?
  5. S

    JamiiForums Tanzania BASHITE HAWAJUI VIZURI WAKRISTU, ATAJUTA SANA.

    Apigweeeeee adui apigweeeeee!! Apiiiiiiiigweee nduli apigweeee
  6. S

    JamiiForums Tanzania CCM Yawaondoa Makatibu Wooote Wa Mikoa 32 Nchini Kwa Mkupuo Na Kuweka Makaimu Wapya Watakaopigwa Msasa Wa Semina Kwa Siku 2. Haijaacha Hata Mmoja

    Luka pamoja na kujikomba kote na uchawa ule wote haujateliwa???
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu si mahiri kwenye sheria, bali ni mahiri sana katika kuwahadaa wafuasi wake, hususani wasio jua sheria

    Ww jamaa una roho ya wivu sjawai ona ,Kwan kukubali ukwel Kuna shda gan? Yaan penye ukwel kubali tu ukwel ukiendelea kuumia Kwa kua lissu ni wakili mzur kulko vilaza wengne unaowaamin utazid kuumia tuu ,hata hao vilaza waliokushuhudia kuwa ni wakili wa Kawaida walikua wanakupa matumain tu,,pili...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Hapa hakuna wa kuhama watahama mashoga waende nchi za mashoga wenzao
  9. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Hii vita Mungu asimame na Dudu maana shetan amejiinua haswa kutetea upinde
  10. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Upinde ni taasisi kubwa na imejipenyesa sehem nyingi haswaa yaan ulipo pia wapo kila mtu aliona yule upinde wa visiwan ambaye yupo kwenye moja ya jeshi letu skumbuk ni jeshi lip!! Kwan kafanywa nn?? Nan anaweza kukemee huo ouvu? Makonda alikemea baadae kila mtu anajua alichokutana nacho baada ya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Yes tangu sku ya kwanza kuingia mahabusu kitendo Cha kuweka kwenye "death row" kilionyesha kunyogwa ni 100%
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    Weee usinkumbushe Ile fedheha Kwa viongoz wetu ,kwel kabsaa Rais wetu wa Afrika wanapakiwa kwenye coaster ,nkawaza mara dereva awe kichwa awadumbukize Kwenye mto itakuaje? Yaan Afrika kuwe na Giza na kilio Kwa sku moja?
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa kiafrica wanatembea kwa miguu huko New York na ulinzi hafifu wakati wakiwa hapa nyumbani ni miungu watu?

    Yaan hapa ndo wamejaa wañaume wazma na miuboo Yao uchawa mpaka unashangaa
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri Mahakamani Septemba 25, 2026, kesi ya Uhaini Tundu Lissu vs Jamhuri

    Hata ajitete vip hukumu ya kunyogwa mpaka kufa ipo pale pale,,. tetee vip hukumu ipo pale pale ya kifo
Back
Top Bottom